Kifo cha Dkt. Magufuli chaacha sintofahamu kubwa kwa wafanyakazi

Ni
Ni Wakati wa kuangalia uwezekano wa kuirudisha Bodi ya Mishahara na Maslahi katika utumishi wa umma ili iendelee na majukumu ya kuhuisha mishahara katka utumishi wa umma. Bodi hii imefutwa na majukumu yake kuhamishiwa Idara Kuu ya Utumishi mwaka 2020.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo la nyie Chawa ni kutoamini kwamba mtu wenu kafa kweli. Yaani mnadhani mnaota mkiamka kesho mkute habari tofauti.
 
Kwa siku zote toka alipochaguliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2010,
Nikaona bandiko reefuuu; kumbe limejaa hewa!
Tukitazama miradi mbalimbali aliyoitekeleza na inayoendelea kutekelezwa kwahakika tunaona fahari kubwa na kutembea kifua mbele kama yeye mwenyewe alivyotutaka na kutuhimiza siku zote kuwa Tanzania ni nchi Tajiri na Watanzania tutembee vifua mblele.
Utatembeaje "kifua mbele" huku wewe ni mateka. Huna uhuru, huna haki!
 
Watumishi kupandishiwa mishahara fedha zinatoka wapi wakati wachangiaji wakubwa wa pato la serikali "wafanyabiashara" wanazidi kufunga biashara zao? Ni ujinga kunadhani mishahara itapanda ikiwa sekta binafsi inadorora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…