Kifo cha Dkt. Magufuli kuipasua CCM 2025

Kifo cha Dkt. Magufuli kuipasua CCM 2025

Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.

Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.

WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.

Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu CCM.

Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
Corona huwa haipendi dharau.
 
Magufuli kwenye CCM alikuwa mtu mdogo Sana,CCM Ina wenyewe kina Kikwete,Rostam, Kinana na wengineo , magufuli aliupata tu urais kwa bahati bahati, hakuwa na nguvu yoyote ndani ya chama
 
Yaani kwa umri wako bado unategemea kuajiriwa, bora Magufuli aliwafungiua watu wakajiajiri na amewaacha vizuri, isipokuwa wewe unayesubiri kuajiriwa
Mi siyo mbinafsi nasemea mass kubwa ya watanzania walioachwa solemba na private sector nayo ikafa kiasi ambacho hata ukianzisha kuuza nyanya au kiosk unafiriska ndani ya wiki moja mana mzunguko wa pesa haupo yaani kwa siku unauza buku mbili wakati gharama za uendeshaji ni kubwa. Mpaka akina mo walitaka kusepa. Sijui huo uchumi ulikuwa upi wa kuwasambaza machinga barabarani nchi nzima. Trust me ingefika hatua serikali ikashindwa mpaka kulipa mishahara na ingrpinduliwa na jeshi mana wigo wa kodi ulikuwa umebaki kwa machinga ambao ni almost negligible katika ulipaji. Jpm alikuwa analizika taifa hili. Thank mungu kumchukua fasta
 
Tulijua tu mtalalamika mlijifanya nchi ya kwenu tangu 1960, sasa cha moto mtakiona mlizoea kutumia rasilimali za nchi kuwekeza kwenu. Mna tofauti gani na aliyofanya magufuli, mnalalamika kwa kuwa magufuli aliwatemesha tonge. Na hamtalipata tena
bro hutakaa uweze kushindana na mtu aliyekeza kichwan chief. nataman nikuelweshe lakn nahc hutanielewa. kwa kifupi hela iliyohamishwa baada ya Mh Baba kuanza kuwagusa Wachagga ni Mungu anajua. ndio maana alifika mahali akaishiwa hela na kutishia kuchapisha noti mpya. katika dunia hii sehem muhm ya kuwekeza ni kichwan mzee. ndio maana cc Waafrika tumebaki kuwalaum Wazungu lakn hatupig hatua. wao ni kuwekeza kichwan tu ndipo walipotuacha. nakupa home work. fuatilia wadada wa kichagga walioolewa na wasukuma miaka hii ya karibun ndio utajua hela zote mlizoiba zisharud.
 
Jinga mkubwa wewe, miradi ya mafuta Ohima to Tanga, Miradi ya SGR & umeme Rufiji, Njia nane ubungo to kibaha, ujenzi wa vituo vya afya, uboreshaji wa bandari, meli kwenye maziwa makuu, uboreshaji wa viwanja vya ndege, barabara, ujenzi wa stendi kila mikoa na (w) n.k, halafu unaandika ujinga hapa
Haya yote yamefanyika ndani ya miaka 5? Ccm oyeee.
 
Ukiambiwa uthibitishe hayo unao ushahidi??

Kwamba magufuli alikua immortal ama??
Ilifika zamu yake kufa kama ilivyo wanadamu wote, sijui kwanini watu kama wewe hamuamini kua alikufa kama binadamu wengine.
Wamekufa kina TB joshua na upako wao halafu huyu aliekua anakandamiza haki za wenzie kikanda na kisiasa eti ndo hakustahili kufa.
 
Hadi kufika 2014 CCM ya jk ilikuwa inaokota makopo na wakajua bila jpm wasingerudi madarakani. Wakamtumia jpm kuwafool raia na kweli tukawapa kura na hata mtaani sare za chama zikaanza kuvaliwa tena. Sahivi CCM ya bila jpm imerudi kuwa ile ya mafisiadi na sahivi ukivaa sare za chama mtaani unaonekana ama huna nguo za kuvaa ama nusu chizi. Sasa subiri hiyo 2025 wakibugi wakamleta huyu madera na mawani hawatakaa wasahau picha ikitoka ..wape salaam!
 
Yawezekana pia yasingefanyika mauaji ungekufa wewe, waulize wakazi wa kibiti wanajua hili.

Uhuru usio na mipaka ni vurugu ndio maana wewe kama unaishi na wazazi wako huwezi kupita na demu sebuleni walipokaa wazazi wako ukaingia nae chumbani kumkaza. Au huwezi kukubali binti yako akupite sebuleni ulipokaa aingie chumbani na jamaa yake kukazwa japo ni sehemu ya uhuru.

Huwezi kujiona mjanja sababu kuna mtu usiyempenda amekufa wakati hata ndugu zako unaowapenda wamekufa na wataendelea kufa. Yawezekana hapo huna wazazi au mmojawapo alishakufa.
Huna hoja za msingi .
 
Wewe ndiye hujui sasa. Mwendakuzimu alipendelea nyonyo zone asilimia 💯
Bora ungekaa kimya tungetambua una busara kuliko unavyoendelea kuharibu.

Haya ni hivi uwanja wa ndege wa mkoa wa mara ulikuwa upanuliwe toka enzi za JK, Magufuli alipoingia alisema hakuna pesa, inshort kuna mengi ila mpaka anafariki wananchi waliambiwa pesa imetoka but Nothing.

👉🏾So unapoongea japo weka evidence usiwe bendera fuata upepo, shubamit!.
 
Hii tabia ya baadhi ya watu waliokuwa na maslahi yao binafsi wakati wa Magufuli kulalamika na kuhusisha watanzania wengine kwamba nao wanalalamika na kuhuzunika wakome mara moja,mtu ukilalamika jisemee mwenyewe.
 
Hapana lets be fair Magufuli alijitahidi kila mkoa kugusa kimaendeleo angalia Miradi ya Dodoma uwanja ndege msalato, barabara za jiji, mradi wa maji na mji wa serikali/ikulu,hospitali kuu ya dodoma nk,kwa Dsm angalia flyovers,barabara njia 8,Kigoma barabara Nyakanazi na uboreshaji wa Bandari kuu, meli ziwa Nyasa, Karagwe barabara, angalau musoma hospitali kanda,je vipi daraja la Wami pwani kuelekea kaskazini,kwa Arusha mradi kabambe wa maji jiji na barabara njia mbili hadi himo etc,SGR ilianzia DSM Morogoro hadi Singida, mradi wa Umeme Rufiji Pwani, Miradi ya standi na masoko kila mahali kila mahali mwanza ndiyo inajengwa! ujenzi wa mashule na vituo vya afya kila mahali nchini etc. Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Huyu ndiye Rais Pekee aliyesukuma maendeleo kila sehemu ya nchi angalau bila kusahau kanda ya ziwa kidogo sana ambapo tawala zilizopita ziliibagua by 100%. Mfano uwanja ndege Mwanza aibu miaka 30 mbovu kabisa wakati maeneo mengine KIA,Songwe na JNIA mkeka kimataifa, barabara za jiji Mwanza na miundo mbinu ya barabara ya jiji ni Zero! angalia masoko na stendi mapya za mabasi ya Dodoma, DSm, Morogoro etc. Vyuo vikuu Kanda ya Pwani, Kusini, Arusha etc kanda ya ziwa hakuna!Je mlitaka hali hìi ya ubaguzi wa kanda ya ziwa iendelee mpaka lini? The regeneration of socio economic imbalancies.Hata hivyo Magufuli hajaisaida sana kanda ya ziwa kivile ukiacha daraja la Busisi tu. Watu wanaona na kufuatilia huko mbele italeta lawama kwa CCM. SO FAR MIRADI HII NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WA CCM iwapo kanda ya Nyonyo itaendelea kusahaulika kimkakati 2025 Wapinzani watatumia kete hii kurudisha nguvu na ushawishi walioupoteza kanda hii kipindi cha Magufuli. CCM BE VIGILANT AND ACT SRTATEGICALLY ON THIS ISSUE OF LAKE ZONE. Kazi iendelee
Hakuna kitu Cha thamani kinachoweza kuzidi uhai na utu wa mwanadamu.
Nenda kaieleze familiya ya AZORY GWANDA kuwa ili kukamilisha SGR ilipaswa AZORY GWANDA apotee ili kukamilisha ununuzi wa ndege ilipaswa ALPHONCE MAWAZO kuuawa,ili kukamilisha mradi wa maji Arusha ilipaswa BEN SAANANE kupotea pia waeleze watoto w LISSU kuwa ili kuijenga DODOMA ilipaswa Lissu apigwe risasi 38.
 
Hivi wewe hao unaowataja ni watu special sana kila siku Lisu mara Azori mara beni hivi unajua utwala wa kikwete kwakati watu walikufa kiutata ni wengi sana kama waandishi wa habari mwangosi, mzee mtikila,mzee mvungi wa katiba mpya na watu wengi kule arusha maandamano ya kisiasa 2012 matukio ya ujambazi yalishamri leo imekuwa ngonjera hapa kila siku! Mfano Mawazo aliuawa sawa ila unajua alihusika magufuli? Hata huyo lisu anaushaidi gani? Watu wengine wanakutana na mabaya kutokana na matendo yao wewe unafikiri kila mtu akipata shida ni rais aliyeko madarakani ndo kasababisha!
 
Ule wa chattle kufugieni ng'ombe. Mmejengewa mavitu yasiyohitajika. Uliza mji aliojenga mobutu. Sahivi wanaishi popo.

Tukiwasema muwe mnaelewa
 
Bora ungekaa kimya tungetambua una busara kuliko unavyoendelea kuharibu.

Haya ni hivi uwanja wa ndege wa mkoa wa mara ulikuwa upanuliwe toka enzi za JK, Magufuli alipoingia alisema hakuna pesa, inshort kuna mengi ila mpaka anafariki wananchi waliambiwa pesa imetoka but Nothing.

👉🏾So unapoongea japo weka evidence usiwe bendera fuata upepo, shubamit!.
Ule wa chattle kufugieni ng'ombe. Mmejengewa mavitu yasiyohitajika. Uliza mji aliojenga mobutu. Sahivi wanaishi popo.

Tukiwasema muwe mnaelewa
 
CCM ishindane Kidemokrasia au ife, na ikishindwa katika Sanduku la Kura ijue imechokwa na sio kulazimisha.
 
Ule wa chattle kufugieni ng'ombe. Mmejengewa mavitu yasiyohitajika. Uliza mji aliojenga mobutu. Sahivi wanaishi popo.

Tukiwasema muwe mnaelewa
Mkuu Mobutu alijenga kijijini! Chato ni mji na ni halmashauri wewe endelea kubweka tu! Airtanzania inatua chato mara tatu kwa wiki!
 
Ule wa chattle kufugieni ng'ombe. Mmejengewa mavitu yasiyohitajika. Uliza mji aliojenga mobutu. Sahivi wanaishi popo.

Tukiwasema muwe mnaelewa
Huna mantiki umebaki kudandia positive ollegation tu.

POLE!.
 
Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.

Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.

WanaCcm wanaopenda kuwakamua watanzania na kuliibia taifa lao ndio walifanya njama ili hayati JPM asiwepo maana aliwadhibiti ili wasiibe mali za umma.

Kwa wananchi kwenye uchaguzi wa 2025 hii ndio itakuwa fimbo kubwa kama hoja kuiadhibu CCM.

Maana itakuwa ndio kithibitisho kuwa CCM ni chama cha kutetea ufisadi.
naona unajitekrnya na kucheka mwenyewe
 
Back
Top Bottom