Kifo cha Dkt. Magufuli tunajifunza nini?

katika kipindi cha miaka 5 tu ya utawala wake Rais JPM aliiteka na kuikonga mioyo ya watanzania wengi.

asilimia 99% ya watanzania walikuwa na imani na JPM,

kiongozi unapaswa pia uwe mkali pale inapo bidi haswa kwenye kukemea uovu. bora uchukiwe na waovu wachache upendwe na watu wengi wema.
 
Tumshukuru Mungu kwa maisha na utumishi wa JPM, yale mema mengi tuyaenzi na madhaifu machache tuyapotezee.
 
je, wanyonyoji wanaweza kupata nguvu na kurudi kuanza kuzinyonya rasilimali zetu baada ya kifo cha Magufuli?

je mafisadi na wala rushwa watarudi kwa kasi?

je, wafanya biashara wataanza kukwepa kodi bila ya kuchukuliwa hatua?

je, Serikali yetu itakuwa na msimamo imara dhidi ya sera za mataifa mengine? au tutalegeza misimamo?

je, safari za kwenda nje zitaanza na mawaziri watapishana angani?
n.k
n.k
Tuna muombea Rais wetu Mama Samia Suluhu Mungu ampe nguvu na busara za kutuongoza.
 
6. Korona ipo, hatua za kujikinga zizingatiwe
 
Tumejifunza kwamba kubishia sayansi iliyokubalika kimataifa ni ujinga na kunaweza kukuua bila kujali wewe ni rais au kapuku.
 
Kila mtu akitimiza wajibu wake, watu watakutukuza na Mungu atakubariki!
 
Umesahau vyeti feki pia maana hili kundi lina hasira kama nini😭!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…