Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Mar 23, 2021 Thread starter #101 Mishahara kwa watumishi wa umma imekuwa ikilipwa kila trh 22 ya mwezi haijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru. Kipindi cha JPM mishahara haijawahi kuchelewa kulipwa. Pumzika kwa amani JPM
Mishahara kwa watumishi wa umma imekuwa ikilipwa kila trh 22 ya mwezi haijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru. Kipindi cha JPM mishahara haijawahi kuchelewa kulipwa. Pumzika kwa amani JPM
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Mar 23, 2021 Thread starter #102 "Taifa hili sio masikini, ila tulichezewa sana"....."nawambia ukweli ili muelewe " "
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Mar 24, 2021 Thread starter #103 Hayati JPM aliipambania lugha ya taifa ya kiswahili kwa nguvu zake zote ndani na nje ya nchi. Pumzika kwa Amani JPM
Hayati JPM aliipambania lugha ya taifa ya kiswahili kwa nguvu zake zote ndani na nje ya nchi. Pumzika kwa Amani JPM
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Feb 10, 2025 #104 Apumzike anapostahili