Kifo cha Dkt. Magufuli tunajifunza nini?

Kifo cha Dkt. Magufuli tunajifunza nini?

Mishahara kwa watumishi wa umma imekuwa ikilipwa kila trh 22 ya mwezi haijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.

Kipindi cha JPM mishahara haijawahi kuchelewa kulipwa.
Pumzika kwa amani JPM
 
"Taifa hili sio masikini, ila tulichezewa sana"....."nawambia ukweli ili muelewe "

"
 
Hayati JPM aliipambania lugha ya taifa ya kiswahili kwa nguvu zake zote ndani na nje ya nchi.
Pumzika kwa Amani JPM
 
Back
Top Bottom