Leo 2026, miaka mingi imepita tangu Muammar Gaddafi auawe kama mnyama mbele ya macho ya dunia. Waafrika wengi wanazungumza kwa hisia, lakini ukweli mchungu ni kwamba sisi wenyewe tulifungua milango kwa mabeberu ili waje kumuua ndugu yetu.
🟢 UPANDE WA PILI WA SARAFU: MEMA YA GADDAFI 🇱🇾✨
Hatuna budi kusema ukweli, Libya ya Gaddafi ilikuwa ni "pepo" ya Kiafrika kwa upande wa huduma za kijamii:
· Umeme ulikuwa bure na maji yalifikishwa jangwani kupitia mradi mkubwa wa Man-Made River.
· Wananchi walikuwa na akaunti za benki zilizokuwa zinaingiziwa asilimia ya mauzo ya mafuta.
· Elimu na matibabu vilikuwa bora na vya bure kwa kila mwananchi.
· Alikuwa na ndoto ya kuiondoa Afrika kwenye utumwa wa dola ya Marekani kwa kutaka kutengeneza Dinar ya Dhahabu.
🔴 HASARA NA MAKOSA YA GADDAFI: KWANINI ALIPENYA? 🚫🤔
Pamoja na mema hayo, Gaddafi alifanya makosa yaliyowapa mabeberu mwanya:
· Alitawala kwa chuma kwa miaka 42 na hakuweka mifumo (institutions) bali alijiweka yeye kama Mungu wa Libya.
· Alikandamiza uhuru wa kutoa maoni, jambo lililotengeneza chuki kubwa ndani ya mioyo ya vijana wa Libya waliotaka kuonekana na kusikika.
· Aliamini kuwa kuwalisha watu wake vizuri kunatosha kuwafanya wasiandamane, akasahau kuwa binadamu anahitaji uhuru wa nafsi kuliko mkate wa bure.
💔 USALITI WA AU NA NCHI ZA AFRIKA: WASALITI WA KWELI NI SISI 🐍🌍
Hapa ndipo usenge wa uongozi wa Afrika unapoonekana. Wakati mabeberu wa NATO wanapiga kura kule UN kuanza kuipiga Libya:
· Nchi tatu za Afrika (South Africa, Nigeria, na Gabon) zilizokuwa kwenye Baraza la Usalama zilipiga kura ya "NDIO" kuruhusu mashambulizi ya NATO. Huu ni usaliti wa kiwango cha lami!
· Ule Umoja wa Afrika (AU) ulikaa kimya na kutazama huku mwenzao akichinjwa, licha ya kuwa Gaddafi alikuwa ndiye mfadhili mkuu wa huo umoja.
· Viongozi wa Afrika waliogopa mabeberu kuliko walivyompenda ndugu yao aliyekuwa anawajengea heshima ya bara.
🧨 WANANCHI WA LIBYA: KUTUMIA HASIRA KULETA MAUTI 😡⚰️
Wananchi wa Libya walioandamana na kushangilia kifo chake walitumika kama "chambo." Mabeberu walichochea hasira zao, wakawapa silaha, na mwisho wa siku Libya ikageuka kuwa gofu. Leo hii, wale waliofurahi kifo cha Gaddafi ndio wakimbizi wanaozama baharini kuelekea Ulaya kutafuta maisha bora waliyokuwa nayo zamani.
🎯 HITIMISHO LA UKWELI ⚠️🌐
Sisi Waafrika ni "wajinga" kwa sababu tunashindwa kulinda wetu. Tunaruhusu mabeberu watuchagulie nani ni dikteta na nani ni kiongozi bora.
Libya imesambaratika, soko la watumwa limerudi, na mafuta yanachukuliwa na mabeberu huku WaLibya wakiuana wenyewe kwa wenyewe.
Usaliti wa AU na viongozi wetu ndio unaofanya tuendelee kuwa maskini licha ya kuwa na utajiri. Mabeberu hawana njia ya kupenya kama sisi wenyewe hatujawafungulia milango kwa ulafi na uoga wetu.