Kifo cha George Floyd Mmarekani mweusi kuna cha kujifunza dhidi ya ukandamizaji wa haki za binadamu kwa wanaharakati wetu wa Tanzania?

politics

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
211
Reaction score
155
Kifo cha kusikitisha! aliwekewa goti shingoni kwa takribani dakika 8 na sekunde kadhaa. Akakata roho huku akilalamika hawezi kupumua!
Je, wanaharakati wa Tanzania wa kutetea haki za binadamu na ambao siku zote hutumia Nchi ya Marekani kama kigezo cha haki za binadamu wana Cha kuieleza Dunia?
 
Hapa bongo hata raia hasiye na hatia akipigwa risasi huwezi kuona pua za watanzania wakiandamana kupinga uonevu. Sanasana watajazana mitandao kukemea kwa keyboard.
 
Huku akwilina aliuwawa na police ila walihukumiwa wapinzani. Kwa marekani muuwaji kaachishwa kazi na kawekwa ndani. Huku wauwaji wapo kazini na kitaa wanatamba tu.

Wewe apo hujaona tu cha kujifunza?
 
Huku akwilina aliuwawa na police ila walihukumiwa wapinzani. Kwa marekani muuwaji kaachishwa kazi na kawekwa ndani. Huku wauwaji wapo kazini na kitaa wanatamba tu.

Wewe apo hujaona tu cha kujifunza?
Una ubavu wa kumweka ndani Mbowe Mugabe!
 
Huku akwilina aliuwawa na police ila walihukumiwa wapinzani. Kwa marekani muuwaji kaachishwa kazi na kawekwa ndani. Huku wauwaji wapo kazini na kitaa wanatamba tu.

Wewe apo hujaona tu cha kujifunza?
AISEE MASKINI AKWILINA POLISI CCM SIO WATU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…