Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi yule jamaa wa Uganda nae si alizikwa na hela? Kuna mtu alikwenda kufungua kesi mahakamani kupinga yule jamaa kuzikwa n a hela, je yule mfunguaji wa kesi alifanikiwa?
Fresh tu sisi ni nyama ya hamu, ikikaa vizuri unweka tu, maisha ndiyo haya haya, heri unipe binamu kuliko kumpa baharia tapeliBinamu tunatiAna nyege asubuh asubuh ndo mambo gan hayo[emoji23][emoji23]
Yes nimeona jana hilo, sasa nae ajiandae kumtumikia shetani na mambo yake yote binamuNilisikia Ex mke wake ndo atarith mali nyingi
Acha zikupande ni dalili nzuri ya kupata mtoto[emoji8][emoji8]Binamu tunatiAna nyege asubuh asubuh ndo mambo gan hayo[emoji23][emoji23]
Binamu kwa binamu ndugu sisi, nikukutangaza nimejitangaza eti, tutwangane tu akitokea baharia anataka kutoa mahari tunamsoma kwanza je ana mijini na majoka akiwa na hizo mambo, tunaachana nae tunaendelea kulaNikukpa naogopa utantangaza binamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Binamu kwa binamu ndugu sisi, nikukutangaza nimejitangaza eti, tutwangane tu akitokea baharia anataka kutoa mahari tunamsoma kwanza je ana mijini na majoka akiwa na hizo mambo, tunaachana nae tunaendelea kula
Tunalea tu katoto ketu bila vikwazo ndoa ya hiari itapitishwa, uzuri binamu kwa binamu mambo yanakua moto moto sana hakuna kuachana ni kifo tu kitupeleke huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] binamu umejua kunipa raha, mara boom binamu kanipa mimba [emoji16]
Hizo gari una uhakika ni zake kweli?We bwana w kama mtu ana gari zaidi ya ishirini ambazo bei zake kwa kila moja sio chini ama zinakaribiana na dola laki nne kwanini asiwe bilionea kuwa na adabu....
[emoji23][emoji23][emoji23]Utapeli wa level zake huwez kuufanya bila kushirikiana na nguvu za Giza binamu
Ingawa marehemu alikua ni msomi mzuri tu , alikua na masters ya business administration, sasa wenzangu na mie mnataka kuwa kama ginimbi hata certificate hamna
Uzuri matapel wa nchi za wenzetu wako smart sana kichwan , wanatapel had wazungu wenye elimu zao za juu sio bongo hapa, hata kiingereza kuongea shida Sijui wanamtapel nani
👍👍, watu wanaishi vizuri bhana.Sasa kama tunapita jsman ndo tusile bata?? Wacha tujishaue we only live once , rip my hubby ginimbi, your life is my inspiration [emoji177]
TukomeJamaa ana sura ngumu kama matajiri wakinga wa makete
Majini na mizimu unaweza kuona kwa macho? Dark spirits hizo, ukimtoa mwanao, Mzazi wako au kaka yako ndo utajuaHilo joka kwa sasa lipo wapi?
Tunaweza kupata picha ya hilo joka, hasa wakati likimpa pesa?!
Halafu kama kuna uwezekano wa kulipata, ninalihitaji nina kazi nalo...
Kumbuka bado kodi insurance kwa iyo kila gari gharama yake 1 M Us$We bwana w kama mtu ana gari zaidi ya ishirini ambazo bei zake kwa kila moja sio chini ama zinakaribiana na dola laki nne kwanini asiwe bilionea kuwa na adabu....
Sasa Ngwea alikuwa Billionaire?Ukiwa na utajiri fake mwisho wake ni mbaya sana. Subiri tu ushuhudie vijana wa kibongo fleva hapa Bongo uone vifo vyao. Si unakumbuka kuna wengine walikuwa wanaletwa wakiwa maiti toka huko South? Hawa jamaa wana mengi mazito nyuma ya utajiri wao.
Kwakweli watu ni vipofu mbona huyu kama mzuri amekaa kiume zaidi? Achilia wamsemayo ila hii no ni matata.sisi wanawake ndo tunaelewa zaidi.hapa siongelei utajiri naongelea mwonekano wake sura body ni supper.Mbona ginimbi handsome tu Jaman , halafu ana sura ya kiume, au mlitaka awe na sura kama nuhu mziwanda au richmitindo, mi wanaume kama hawa ndo wananilowesha chupi sio weupe watoto wa mama[emoji23][emoji23]