Kifo cha Hayati Dkt. Magufuli kimeipasua CCM. Je, huu ndio wakati wa wapinzani kutusua kisiasa?

Samia hata agombee na mbatia hawezi shinda sembuse asimame na Lisu.Upinzani hawana haja ya dili na mtu aliyechaguliwa na katiba.
Ccm wakimsimama mama wajiandae kifo cha mende.Hadi sasa ccm hawana mtu anaeuzika kwa watz,wa kuweza kupambana na upinzani.
Ukizingatia 98% ya wabunge wa Magufuli Hakuna hata mmoja atakerudi bungeni wakiwemo speaker.
Ishu ya ukosefu wa ajira, suala la machinga,bei ya vitu kuwa juu hasa vya ujenzi,hali ngumu ya maisha hapa ccm lazima itachezea kipigo kitakatifu.
 
Wapinzani hawa hawa ambao hata kujenga chama kinawashinda kazi kuleta maandamano ya mtandaoni tu maneno mengi mtandaoni kwenda front wanashindwa ninamuona mpinzani wa kweli labda heche tu hao wengine wote hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…