Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa.

Yule mzee majirani zake waliuza vile viwanja kwa mamilioni kadhaa cha chini ilikuwa bilioni moja
Ghafla afya ya yule mzee ikaanza kutetereka ,watoto wakaona hapa ndio muda wa kutajirika ,wakawa hawamuhudumii na wanamoaushauri mbovu ili afe wauze wagawane hela.

Yule mzee akawastukia kile kiwanja akakitoa wakfu kwa Bakwata,kwamba akifa ile ni mali ya waislam sio yao,muda si muda akakata kamba.watoto hawakuambulua kitu.leo kuna ghorofa la mwekezaji akiwa na ubia na Bakwata

Steve Makigo boss wa Mayanga Construction alipewa tenda ya kujenga uwanja wa Chato kwa mabilioni ya shilingi.bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa bilioni 18 ila npaka unakamilika zilitumika bilioni 53

Makigo alikuwa best wa Hayati tangu Secondary ,walisoma pamoja na kuna kaundugu kakaibuka hapo baada ya mmoja kuoa kwenye ukoo wa mwenzake.

Siku chache kabla ya hayati kuitwa alitoa maagizo kuwakiasi cha bilioni kadhaa zihamishwe kutoka akaunti ya Mayanga Construction kwa kazi maalumu na zingerudishwa soon.zilihamishiwa kwenye akaunti fulani sitaitaja leo

Kabla hela hazijarudishwa simu ya mheshimiwa kwa wiki mbili haipatikani hakukuwa na mawasiluani ya Steve na John.
Punde taharifa radmi kuwa John hayupo.
Kilichofuata ni Steve kuzimia kuzinduka,kuzimia kuzinduka,mara tatu.

Sasa najiuliza kuzimia huko ni upendo wa dhati aliokuwa nao Steve kwa John au ni kuwaza zile bilioni kadhaa zilizohamishwa toka Mayanga Construction.
 
Tuliambiwa Mayanga ndio alikuwa anapitishia 10% zake. Hata uwanja wa ndege alilazikisha usiwepo ushindani ili Mayanga apate tenda wapige hela. Mayanga na Nyanza zinatakiwa kuchunguzwa. Ilikuwa ukigoma kulipa labda kazi haijafanyika unapigiwa simu toka juu.

Huyo ndio mzalendo wa mchongo
 
Anasimamia mtoto wake
 
Bajeti iliyopitishwa na bunge ni bilioni 18 ila zikatumika bilioni 53
Bilioni 35 hakuna anayejua zilijenga nini oale uwanjani
 
Kuna mwengine kilio msibani.utazani baba yake wa kumzaa
images%20(20).jpg
 
Back
Top Bottom