Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

Toka mzee amekata kamba kuna tenda yoyote kaipata?
 
Wewe ndio hawa hapa!
Mkishatumika mnaachwa kama kondom!
 
Kuna jamaa mmoja aliniambia hata yule bosi wa Tanroad kipindi hiko aliwehuka...

Kulikuwa na tender nyingi zinapita kushoto... Hayati alipotwaliwa aliitwa kwa mahojiano..

Mahojiano makali mpaka pressure ikawa kubwa sana ili atoe ushirikiano fedha ziko wapi.. Na hata za nje ziko wapi... Mzee wa watu akapata degedege sio degedege... Na yeye kwa msongo wa mawazo akaondoka ghafla
 
Kuna uzi wake niliuweka humu mwaka jana utafute Hayati magufuli alivyomponza mfugale mpaka akafa kwa presha
 
Mbona boss alikuwa ni Mwendazake huyo unaemtaja si alikuwa na mbwa tuu wa kutumia?
 
A na B ni sawa
 
Duh!

Wewe bhwanah ni msimulizi mzuri sana wa stori. Ninakushauri uendeleze kipaji hicho, na uwe mwandishi na mtunzi mzuri wa vitabu.

Hapana, sihoji usahihi au la, wa stori yako hapa, bali nimevutiwa na uwasilishaji wake.

Hata hivyo, kama takwimu zako ni sahihi, kwamba ule uwanja wa ndege ni Tsh. bilioni 53, basi kumbe haikuwa hela ndefu sana; hata kama matumizi yake hayakufuata taratibu. Binafsi nilidhani ni pesa kubwa sana kutokana na sifa ya uwanja wenyewe ulivyokuwa ukielezewa humu JF na kwingineko.

Pole zake Steve, lakini stori ingenoga zaidi ungetoa mrejesho wa hali yake ilivyo sasa hivi.
Au pengine hiyo ni sura inayofuata katika kitabu chako?
 
Ule uwanja una running way ndefu karibia na wa Dar es salaam ila jengo kama jengo ni dogo sana,na ujue kule ni porini ardhi walijichukulia bure au kwa gharama ndogo,running way ya km 5 Haizidi billioni 10
 
Ule uwanja una running way ndefu karibia na wa Dar es salaam ila jengo kama jengo ni dogo sana,na ujue kule ni porini ardhi walijichukulia bure au kwa gharama ndogo,running way ya km 5 Haizidi billioni 10
SAWA.
Ila picha iliyojengeka kuhusu ule uwanja, ilinipa makisio ya juu zaidi kuliko hiyo bilioni 53 unayoeleza hapa.
 
Unajua bhana, kuna watu mnatuona sisi ni kama watoto tunaopenda hadithi njoo utamu kolea,

Ngoja nkuswalike swali, kifo cha JPM kilipotangazwa, wewe ulikimbia kwa huyo mzee uone anavyozimia?

Au ni zile za vijiweni mkuu
 
Unafki ni mzigo sana ,ww unajuaje kama alizimia kwaajili ya pesa wangapi walizimia kifo Cha magufuli pale uwanjani ,unawezakuwa mtoto wa kiume
 
Wewe mdukuzi unafahamika kwa sura na nani kakutuma kuleta uzushi na uongo wako hapa ila usije ukabadili utambulisho huko mbeleni.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…