Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kila mbabe na mbabe wake shekhe, alipoasisi kikosi cha siri cha mauaji tulijuua haufiki mbaliInaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.
Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?
Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Kovid 19? Ili hali tulijuzwa alikifa kwa matatizo ya moyo?
Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Huko ni kuanzisha ugomvi wa mawe huku ukijua upo jumbo la vioo. Sukuma Gang tutawauliza why mlimpelekea Makamu Tanga na PM nyanda za juu Kusini. Mtatuambia pia wakiwa huko ni nani aliyewaambia Malaika anachapa kazi na anawasalimia wananchi? Ol in ol, kusubiri ccm kusambaratika ni kama kusubiri mkono wa binandamu anayetembea uondoke.Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.
Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?
Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?
Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
CCM ni imara sana, wala hilo haliwasumbui kabisa.Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.
Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?
Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?
Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Ni maombi yangu Wapasuke, Tujue mbivu na mbichi.Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.
Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?
Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?
Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Litapasuka tumbo lako tutaona mengi yaliyomo, mihogo unayoshindia,dagaaa, mlenda, na yale mengineInaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.
Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?
Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?
Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
JPM ameshaondoka juu ya uso wa dunia. Hawezi tena kurudi ni kama Sokoine alivyopendwa halafu akaondoka na yeye.Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.
Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?
Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?
Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Yaani kule kumuua tu Magufuli ili kutetea maslahi ya mabeberu, CCM imejilaani yenyeweInaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.
Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?
Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?
Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Endelea kuoza na kuliwa na minyoo huko kaburini hata Yesu akirudi ushindwe kufufuka Magufuli. Tanzania haikutendewa haki kuwa na Rais mwizi, muuaji na mwongo kama MagufuliInaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.
Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?
Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?
Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Narudia tena, hata Magufuli akifufuka atakuwa ndiyo kuni za kuchomea moto wa jehanam ambao wakosefu wanaungua.Yaani kule kumuua tu Magufuli ili kutetea maslahi ya mabeberu, CCM imejilaani yenyewe
Haya na tusiandikie mate wakati wino upo, haya na tukisubiri hiyo 2025.Sio namna hivyo unavyodhania. Watu sasa wanahofu ya kuhoji ila 2025 watahoji kwa uwazi.