Ni kesi zipi maarufu nchini aliwahi kuziamua kwa haki kwenye historia ya maisha yake?
zandrano kutakuwa na kitu cha ziada. Mfano Balozi Kijazi tulikuwa wengi hatujui kumbe ndiye alikuwa behind all successful projects za miundombinu ya barabara Tanzania kwa kushirikiana na Dkt Magufuli na Mfugale. Dkt Magufuli ndiye aliyetufumbua macho kusema bila Kijazi Dkt Magufuli asingeweza kufanikiwa kwa vile alivyokuwa anafanya. Cheki leo barabara zikijengwa yaani baada ya muda mashimo kibao na mawimbi kibao. Matokeo yake wakapita nao wote kuanzia Magu, Kijaz na Mfugale. Sasa huyu Jaji alifanya kitu gani tujueHakika Jaji Asha Kwariko alikuwa ni Jaji wa kipekee mfano mzuri wa kuingwa na Majaji wengine walio hai, vyeo ni dhamana tu, ukifa ndio mwisho wako tenda haki.
Jaji Kwariko alikuwa ni mtenda haki wa kweli ndani na nje ya Mahakama asiye penda kuonea watu. Mpole na mwenye kujali utu wa binaadamu.
Asiye penda majungu wala fitina, asiye na majivuno hakuwa na makuu.
Haiti Majaji wote wangekuwa kama alivyo kuwa Jaji Kwariko basi upendo na haki vingetamalaki.
Apumzike kwa amani Peponi ameen.
zandrano kutakuwa na kitu cha ziada. Mfano Balozi Kijazi tulikuwa wengi hatujui kumbe ndiye alikuwa behind all successful projects za miundombinu ya barabara Tanzania kwa kushirikiana na Dkt Magufuli na Mfugale. Dkt Magufuli ndiye aliyetufumbua macho kusema bila Kijazi Dkt Magufuli asingeweza kufanikiwa kwa vile alivyokuwa anafanya. Cheki leo barabara zikijengwa yaani baada ya muda mashimo kibao na mawimbi kibao. Matokeo yake wakapita nao wote kuanzia Magu, Kijaz na Mfugale. Sasa huyu Jaji alifanya kitu gani tujue
Bado mkuu wangu. Hiyo haitoshi kabisa. Nimekupa mfano hapo juu. Kuongezea, mpaka Dkt Magufuli alipewa sumu kisa uadilifu, balozi kijazi aliondoshwa pale ujenzi ili watu waibe akapelekwa ubalozi India, kwa ufupi lete kesi au yeye kukataa rushwa etc. otherwise inabako jambo analolijua yeye anayemsifiaNomeshaeleza tayari hapo juu. Narudia tena, alikuwa ni Jaji mwadilifu wa viwango vya juu.
alitenda haki kwa kila mtu ndani na nje ya mahakama, hakuwa na makuu wala majivuno.
Kwa sifa nyingi alizo kuwa nazo huenda angekuwa Jaji Mkuu wa Tanzabia lakini mungu amempenda zaidi.
Wanasiasa wanachojua ni kutendewa haki watu maarufu tu ndiyo Maana wana siasa wakiona Mtu maarufu ana umwa wanatoa pesa ila watu wakawida kwenye Maeneo yao wanayoishi hawatiki kuwachangia pesa za matibabu, Mfano Rais Anadarko kuwapa mapesa Maaskofu zaidi ya Billion moja wakati kuna wagonjwa hawana pesa za kumudu kulipia Matibabu hospital, urakuta mgonjwa ana fariki kwa kukosa laki moja, Wajati huo Askofu kapewa milioni mia bila sababu za msingi.Sio lazima awe ameamua kesi maarufu sana hapana, bal jambo la msingi ni kuwatendea haki watu wa kawaida ni baraka zaidi mbele za Mungu.
huyu alikuwa mtu mwema mbele ya watu na mbele ya mwezi mungu.