Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
- Thread starter
-
- #21
by who??
Hii posting ya mwisho.. John Paul I alikuwa bado yuko hai. October 16 siku ambayo mrithi wake John Paul. II alipoteuliwa. October. 19,jioni,1978,. John Paul I aliuawa siku tatu baada ya mrithi wake ukutajwa,muda mfupi baadaye,mwili wake ulichomwa moto na majivu kutupwa. Mwisho. Tutaendelea baadaye na hadithi ya. Jimmy Carter kwa sababu naye pia ameuawa na yule anayejiita. Jimmy Carter sasa ni msukule. Kwa hiyo ukisema umesikia Putin hayupo,anything is possible.
huwa nakisoma kila mara, mwandishi mchunguzi alieandika pia habari ya 'calos' kwenye kitabu chake hasemi kama wewe!Mbona unacho kisema kinapingana na kazi iliyofanywa na Bw. David A. Yallop kwa muda wa miaka mitatu na akaandika kitabu kiitwacho In God's Name. Kitabu hiki kinaeleza kinagaubaga how the murder was done
sijui kama nimeeleweka!!!huwa nakisoma kila mara, mwandishi mchunguzi alieandika pia habari ya 'calos' kwenye kitabu chake hasemi kama wewe!
Rose, mimi Yericko Nyerere ni mtoto wa Nyerere lakini sio mtoto wa Julius Kambarage Nyerere,
Andrew Nyerere anaweza kuwa sahihi kwamaana ya mimi sio mtoto wa Julius, lakini anaweza asiwe sahihi kwakuwa mimi ni mtoto wa Nyerere lakini sio Julius Kambarage Nyerere
Ninachotaka kufichua sasa,rafiki yangu,hainipi raha,mimi mwenyewe ni mkatoliki,nimelelewa kikatoliki,nilisomea upadri pia. Lakini kwangu mimi kulikuwa na maswali mengi yaliyokosa majibu. Ni baadaye tu,nilipokuwa porini afrika ndipo kweli nilimfahamu Bwana Yesu Kristu. Naongea kama mtu anayejua kuwa mkatoliki maana yake nini. Lakini lengo langu ni kusaidia na kujenga,siyo kushambulia na kurarua kitu chochote ambacho ni kizuri na sahihi. Hata kama vitu ninavyotaka kuvifichua sasa vitaleta kashfa lazima nikubaliane na maneno ya padri mwenye hekima ambaye siku za karibuoi alinishauri"ni afadhali iwepo kashfa kuliko ukweli ukandamizwe". Ukweli ukibakia umekandamizwa,rafiki zangu siku zinahesabika kwa. Kanisa. Katoliki ka R6a na kutakuwa na athira kwa Dini yote ya Ukristu.
Sasa lazima nifichue kwamba usiku wa. Alhamisi,. September 17,1978. Pope John. Paul I aliondoka Vatican mzima. Hakufa usingizini kama ilivyoripotiwa na vyanzo vya Vatican. Aliishi mafichoni mbali na. Vatican kabla ya kupigwa risasi nyuma ya shingo yake na mtu au watu wasiofahamika. Octoba 4,maziko ya. John Paul I yalihudhuriwa na makumi elfu ya watu na yalitazamwa katika luninga katika nchi 3. Mwili uliokuwa unatolewa heshima ulikuwa siyo wa. John Paul I ambaye alikuwa bado hai.
wanaitwa mafia....sasa lazima nifichue kwamba usiku wa. Alhamisi,. September 17,1978. Pope john. Paul i aliondoka vatican mzima. Hakufa usingizini kama ilivyoripotiwa na vyanzo vya vatican. Aliishi mafichoni mbali na. Vatican kabla ya kupigwa risasi nyuma ya shingo yake na mtu au watu wasiofahamika. Octoba 4,maziko ya. John paul i yalihudhuriwa na makumi elfu ya watu na yalitazamwa katika luninga katika nchi 3. Mwili uliokuwa unatolewa heshima ulikuwa siyo wa. John paul i ambaye alikuwa bado hai.
tafuta kingine kinachohusiana na bank ambrosianombona unacho kisema kinapingana na kazi iliyofanywa na bw. David a. Yallop kwa muda wa miaka mitatu na akaandika kitabu kiitwacho in god's name. Kitabu hiki kinaeleza kinagaubaga how the murder was done
Asante kwa reference Mkuu, samahani waweza nipa jina la kitabu hicho, kionngozitafuta kingine kinachohusiana na bank ambrosiano
utapata mawazo tofauti ya hawa mafia