Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
- Thread starter
- #21
Sasa lazima nifichue kwamba usiku wa. Alhamisi,. September 17,1978. Pope John. Paul I aliondoka Vatican mzima. Hakufa usingizini kama ilivyoripotiwa na vyanzo vya Vatican. Aliishi mafichoni mbali na. Vatican kabla ya kupigwa risasi nyuma ya shingo yake na mtu au watu wasiofahamika. Octoba 4,maziko ya. John Paul I yalihudhuriwa na makumi elfu ya watu na yalitazamwa katika luninga katika nchi 3. Mwili uliokuwa unatolewa heshima ulikuwa siyo wa. John Paul I ambaye alikuwa bado hai.