Mimi nilikua nashangaa basi linatoka Dar kwenda Arusha na abiria 14?
Nakumbuka mpaka kufikia mwaka 2009 hawa jamaa walikua wamebaki na basi moja tu litokalo Dar kwenda Arusha na by that time ofisi zao za pale Arusha zilikua zipo shagala bagala kama dampo.Kuna mdau alinitonya kwamba hii kampuni ilikua inadaiwa kodi kubwa na serikali sababu walikua na mabasi mengi sana sasa baada ya serikali kuamua kutaifisha yale mabasi ndipo wamiliki wa haya mabasi walipoamua kuyatoa mabasi yao kwenye hii kampuni na kuyaweka kwenye route zingine pamoja na kuyabadili rangi na majina.Hicho ndicho ninachokifahamu.
SADIQ LINE " rafiki wa wote" sasa hana basi hata moja baada ya kukaidi amri ya chama
Mi najikumbukia Chai maharage, sijui zilipotelea wapi:A S cry::A S cry:?

hee mkuu sidhan kama yalibadirishwa jina na kuitwa green star sababu enzi zile hakukua na yutong sasa ukisema mengne yalubadirishwa jina ni uongo. labda useme wamilik wa scandinavi ndio wamilk wa greenstar ya sasa.
Nakumbuka mpaka kufikia mwaka 2009 hawa jamaa walikua wamebaki na basi moja tu litokalo Dar kwenda Arusha na by that time ofisi zao za pale Arusha zilikua zipo shagala bagala kama dampo.Kuna mdau alinitonya kwamba hii kampuni ilikua inadaiwa kodi kubwa na serikali sababu walikua na mabasi mengi sana sasa baada ya serikali kuamua kutaifisha yale mabasi ndipo wamiliki wa haya mabasi walipoamua kuyatoa mabasi yao kwenye hii kampuni na kuyaweka kwenye route zingine pamoja na kuyabadili rangi na majina.Hicho ndicho ninachokifahamu.
Na mengine yalikua yanaitwa HEKIMA ROYAL CLASS,siyaoni, yalikua njia ya Dar-Tunduma
Mbona kuna story za mitaani kuwa jamaa alikuwa anabeba illegal business ktk mabasi yake (ngada)
Mojawapo nasikia ni haya yanayoitwa GREEN STARS, wako safi ki-huduma haukna mfano, halafu mabasi yako very clean and tidy kwa ndani
Jamaa walikua kibiashara haswaa..walikua wanasafirisha paseli kama takataka, ofisi zao za Dar zilikua kama benki kubwa tuu