Kifo cha kampuni ya mabasi SCANDINAVIA EXPRESS

Kifo cha kampuni ya mabasi SCANDINAVIA EXPRESS

Nilikuwa nayapenda sana yale mabasi. leo nimebaki tu na kumbukumbu ya tiketi na picha.
mmiliki ameanza biashara nyingine ya kuleta Yutong hapa Tanzania. BENBROS ipo pale Mikocheni karibu na ITV
 
Nakumbuka mpaka kufikia mwaka 2009 hawa jamaa walikua wamebaki na basi moja tu litokalo Dar kwenda Arusha na by that time ofisi zao za pale Arusha zilikua zipo shagala bagala kama dampo.Kuna mdau alinitonya kwamba hii kampuni ilikua inadaiwa kodi kubwa na serikali sababu walikua na mabasi mengi sana sasa baada ya serikali kuamua kutaifisha yale mabasi ndipo wamiliki wa haya mabasi walipoamua kuyatoa mabasi yao kwenye hii kampuni na kuyaweka kwenye route zingine pamoja na kuyabadili rangi na majina.Hicho ndicho ninachokifahamu.

Daah, kumbe? Ahsante kaka. Yan nlitamani sana hii kampuni iendelee kuwepo!
 
Mi najikumbukia Chai maharage, sijui zilipotelea wapi:A S cry::A S cry:?

Haa haa haaa... Time zile bora zingerudi tu. Nakumbuka zamani barabara zilikuwa mbaya na mabasi yenyewe mmh, 1992 tulitumia siku 3 njiani Dar-Lindi!
 
hee mkuu sidhan kama yalibadirishwa jina na kuitwa green star sababu enzi zile hakukua na yutong sasa ukisema mengne yalubadirishwa jina ni uongo. labda useme wamilik wa scandinavi ndio wamilk wa greenstar ya sasa.

Afadhali umemkamata mapema kwa uwongo wake. Hapo tayari alikuwa kaingiza watu "king" kwa stori za mtaani.
 
halafu nahisi tajiri wa moro town hood bus service is falling under the same fate.marcopolo zake tangu 2005 mpaka sasa naona ni zile zile.zimeanza kuchoka na kuwa kama magobore ya route ya mbagara.hakika kuu-control utajiri sio kazi ndogo.abood nahisi u ccm uambeba.
 
Nakumbuka mpaka kufikia mwaka 2009 hawa jamaa walikua wamebaki na basi moja tu litokalo Dar kwenda Arusha na by that time ofisi zao za pale Arusha zilikua zipo shagala bagala kama dampo.Kuna mdau alinitonya kwamba hii kampuni ilikua inadaiwa kodi kubwa na serikali sababu walikua na mabasi mengi sana sasa baada ya serikali kuamua kutaifisha yale mabasi ndipo wamiliki wa haya mabasi walipoamua kuyatoa mabasi yao kwenye hii kampuni na kuyaweka kwenye route zingine pamoja na kuyabadili rangi na majina.Hicho ndicho ninachokifahamu.

Mojawapo nasikia ni haya yanayoitwa GREEN STARS, wako safi ki-huduma haukna mfano, halafu mabasi yako very clean and tidy kwa ndani
 
Mbona kuna story za mitaani kuwa jamaa alikuwa anabeba illegal business ktk mabasi yake (ngada)
 
Hii kampuni unayoisifia ungejua yaliyokuwemo ndani usingetoa hizo sifa maana ulikuwa unapata huduma hiyo kutokana na kuvuja jasho lako, walikuwa wanajaza mafuta BP bila malipo kwa kusaini tu, walikuwa wanachukuwa spare scania kwa kusaini tu, walichukua mapesa benki za walalahoi kuendesha kampuni yao na ndio maana walikuwa na jeuri ya kusafirisha hata abiria kumi. wamiliki wa mabasi hayao walikuwepo na mawaziri pindi walipomaliza muda wao na baada ya mbio zao za kurudi tena kushindikana BP wakakamata mabasi na kupiga mnada, scania, benki nakifo kikawafika
 
Fidel80...unanikumbusha Nyota Nyekundu Dar Tunduma...Magoma Moto...Tawaqal...mwisho Railways..na Leyland CD zao..unakumbuka mkuu?
 
Mbona kuna story za mitaani kuwa jamaa alikuwa anabeba illegal business ktk mabasi yake (ngada)

thats tru , mfano mzuri ni basi yao iliyokuwa inapiga route ya mombasa kupitia kenya, jamaa walikuwa wanabeba mirungi balaaa, ila game ikawashinda maana king wa magendo na kusafirusha dili chafu falcon alimwovetake.
 
Jamaa walikua kibiashara haswaa..walikua wanasafirisha paseli kama takataka, ofisi zao za Dar zilikua kama benki kubwa tuu
 
Jamaa walikua kibiashara haswaa..walikua wanasafirisha paseli kama takataka, ofisi zao za Dar zilikua kama benki kubwa tuu

Wacha kuhusu parcels walikuwa wanatuma pesa pia. Dah long time ukipigiwa simu pesa imetumwa na ukapewa code number unaona hakukuchi ukachukua mpunga wako
 
Mojawapo nasikia ni haya yanayoitwa GREEN STARS, wako safi ki-huduma haukna mfano, halafu mabasi yako very clean and tidy kwa ndani

Kwa sasa Green Star nalo wapo hoi vibaya.Waongoza kwa magari mabovu na kulaza abiria njiani.Kuna kipindi wanakosa hata gari la siku hiyo yoye wamejaa karakana kwa ubovu

Tatizo Yutong wanaendesha kama Scania 124L au 113
 
Back
Top Bottom