Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

Okay. Ngoja tusubiri report ya daktari ambayo kwa kiasi kikubwa itatoa direction ya kesi nzima na hata uchunguzi wa polisi.
 
Mkuu Saidon, this is serious and not a joke!. Nakuomba anzisha thread yenye heading yoyote ifuatayo!.
- KIFO CHA KANUMBA: NI KAFARA YA ILLUMINATI?!.
au
KIFO CHA KANUMBA: LULU ALITUMIWA BILA KUJIJUA?!.
au
KIFO CHA KANUMBA: ILLUMINATI AT WORK!-WENGINE WAWILI KUMFUATA SOON!.

Mini nitachangia kuhusu kikundi kiitwacho "Rosae Crussis" ambao members wao huitwa rosecrussians wana nguvu za ajabu!. Ukiwa member wake unakula kiapo cha damu na unapata mafanikio makubwa, ukitaka kujitoa utakumbwa na kifo cha ajabu!.
 
Mkuu Saidon ukikubali kuanzisha hii thread unaweza kuanza na hizi nondo za posti yako hii!. Please do!.
 


I am not kidding, I am very very serious and very sure of what I have posted!! Vicent kigosi naye ameishakapitia vizuri tu tangu enzi hizo

jamaa wanatia kinyaa kwani katoto haka kalikuwa na ujinga wa dunia na ulimbukeni wa mapenzi na umbumbumbu wa hali halisi ya dunia hii

kalianza umaarufu tangua hakajabalehe......wakakakuza haraka

baadaye kakasema yeye ni 'kubwa shoo' na sio 'toto shoo'

hawa watu... marehemu, akina Lulu...bongo flavour ndio wanaopelekea matokeo mabaya ya form four...( I am also not kidding)...............wae-influence kila kitu

k
 


You are truly mwanafalsafa....imefikia wakati watanzania wasikie kile ambacho huwa hawapendi kusikia

kanumba mzinzi, amekufa akifanya uzinzi!
 
Ooh,yeah this is jamii forum kama una akili kila siku unajifunza kitu kipya au unaongeza kitu.
ni Kweli hapa nako pakufunguana macho na ubongo zuri chukua baya wacha au yote beba lol! Mie pia Kuhusu Freemason na hizo taka zengine na wasiwasi nazo ila Fact 10 za jamaa kuhusu Uzembe ni kweli kabisa. Tukija sasa kwenye ma freemasons na mengine je zile Safari za Nigeria inakuwaje zile je Monalisa naye awe Makini?
 
From Ba Mdogo kwenye ile clip ka Lulu Ba mdogo nipeleke Shule mpaka hapo dah Lulu akiweza kutoka amrudie Mungu asipofanya hivyo ndio basi tena, Inshallah mwenyezi atawafungua wengi macho siamini mambo ya Nyota ila mtoto wa sheikh Yahya nasema ni Kubahatisha alibahatisha kwenye Michuzi kwamba 2012 kutatokea Kifo cha superstar atauliwa na superstar mwenzake hapa Tanzania.
 
Naunga mkono hoja mkuu Pasco. Ni uchelewevu mkubwa sana umefanyika. Labda watu wakiwa wengi mambo kwangu Mimi huharibika maana kila mtu husema lake. Hata Kama Lulu alimsukuma Kanumba, alikuwa akijijitetea kwa kipigo, Na ishu hapa ni kuua bila kukusudia.
 
I think with knowledge I have this is what was to be followed by our police force….
All murder investigations start with the murder itself, which is usually reported by someone who comes across the victim. The person who finds the victim is asked to remain on site, and a law enforcement team arrives at the scene, along with a medical team. The first thing that occurs on any murder site is verification that the victim is actually dead. Usually paramedics arrive first, followed by the coroner, who pronounces death and turns the scene over to law enforcement. Next, an officer is put in charge of the murder investigation, and he or she sets about securing the scene to minimize contamination of evidence. An officer in charge has usually had prior experience with murder investigations.
A log of all individuals on or around the site is immediately established. Usually the medical response team will be finger and foot printed, along with any bystanders, so that markings found on the scene can be readily identified. The next step for murder investigations is to observe and photograph the scene. Nothing is moved, including the body, until the scene has been fully written up and photographed, to ensure that nothing is missed. As crews photograph the scene, they put tags on items that should be collected for evidence, such as bloodstained clothing, weapons, and other objects of interest on the site.
During all murder investigations, the people on site are very careful to avoid contaminating evidence by accident. Gloves and protective booties for shoes are worn, and suits are used to cover clothing so that fibers, hair, and other detritus from the investigators do not contaminate the scene. The scene is tightly controlled by the officers in charge, and once everything has been documented, the process of removing evidence is begun. The body is usually the first thing to be removed; the coroner's office takes it away for an autopsy. Next, evidence is collected, bagged, and sent to the crime lab for analysis.
An important part of criminal murder investigations is human interactions. After evidence is collected and reviewed, law enforcement official's interview people involved in the murder. Sometimes, a case is very clear cut: a man was witnessed shooting his wife, for example. In this instance, the husband would be interviewed, along with witnesses, so that law enforcement could be assured that no details were missed. In other cases, the identity of the culprit may not be as clear, and an investigation may drag on for a long time before more information is uncovered or the case is officially given up. During this period, law enforcement will follow up on tips made by citizens, and individuals who know anything about a murder are encouraged to contact law enforcement in an effort to bring the criminal to justice
MY TAKE: WERE ALL THESE ESSENTIAL STEPS FOLLOWED? JESHI LETU LA POLISI LINAHITAJI INTENSIVE TRAININIG, LA SIVYO KUNA POSSIBILITY KUBWA YA WATU WENGI AMBAO HAWANA HATIA KUTUPWA JELA!
 
Mkuu NazDaz, with all due respect, please stop this!.

Heshima ni kitu cha bure!, dhihaka sio jambo jema ila dhihaka kwa marehemu ni jambo la hatari zaidi kwa sababu lina bad consequences!. Please just stop this!.

Mkuu Pasco,
Unafikiri ni dhihaka kwa marehemu basi? la hasha! Kimsingi nilishitushwa sana na kauli ya Waberoya kwamba Marehemu alianza uhusiano wa mapenzi na Lulu wakati Lulu akiwa only 14!! Nilishituka na kuogopa!! Am telling u, ilinibidi nijifanye hamnazo wakati naandika !Lakini kama ningeivuta the wholly fact ya Waberoya na kuituliza kwenye ubongo,basi hata huo ujasiri wa kuandika nisingekuwa nao! Au mkuu umeshituka niliposema umbo kubwa la Marehemu?! Ni body structure tu mkuu na si vinginevyo....mbona simpo tu!!!!
 
kwa nini lulu na mdogo'ake kanumba wasingesaidiana kumpa huduma ya kwanza? Lulu hakwepeki kwenye hizo lawama, iweje atoe tu taarifa na kukimbia asitoe ushirikiano kumpatia msaada kanumba! Mimi nasema lulu hawezi kujinusuru ktk hzo lawama.

kwa uchunguzi wa daktari hawangeweza kufanya lolote liule hata kama angepona asingekuwa mtu wa kawaida,

soma ripoti hapa chini


MSANII nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba amefariki dunia kutokana na tatizo la mtikisiko wa ubongo linalojulikana kitalaamu kama Brain Concussion, taarifa za kitabibu zimeeleza.
Taarifa hizo za ndani, zilizopatikana jana baada ya jopo la madaktari bingwa watano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kuufanyia uchunguzi mwili wa marehemu huyo, zimeeleza kuwa tatizo hilo linaweza kumfanya mtu apoteze maisha mara moja au baada ya siku kadhaa. Mmoja wa madaktari hao ambaye aliomba jina lake lisitajwe gazetini alisema waligundua tatizo hilo baada ya kumfanyia uchunguzi huo kwa zaidi ya saa mbili.

“Tulianza kuufanyia uchunguzi mwili wa marehemu kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 6:45 mchana na tukagundua kuwa marehemu alifariki kutokana na mtikisiko wa ubongo kwa kitaalamu, Brain Concussion,” alisema daktari huyo. Alisema Kanumba alipata mtikisiko wa ubongo ambao husababisha kufeli kwa mfumo wa upumuaji (cardio-respiratory failure) “Kilichomuua hasa ni mtikisiko wa ubongo, ambao endapo unatokea katika sehemu ya nyuma ya ubongo (cerebrum), huua kwa haraka” alisema daktari huyo na kuongeza kuwa mtikisiko wa ubongo wa nyuma, husababisha matatizo ya mfumo wa upumuaji na hilo limeonekana katika mwili wake.

“Baada ya ubongo wake kutikiswa kwa nguvu, mfumo wa upumuaji ulifeli na ndiyo maana tumekuta kucha za Kanumba zikiwa na rangi ya bluu, huku mapafu yake yakiwa yamevilia damu na kubadilika kuwa kama maini, hizo ndizo dalili za kufeli kwa mfumo wa upumuaji.”

“Mtu aliyepata mtikisiko wa ubongo huweza kutokwa na mapovu mdomoni na hukoroma kabla ya kukata roho na ndivyo ilivyokuwa kwa Kanumba kabla hajafariki.”

Daktari mwingine aliyeshiriki katika uchunguzi huo ambaye pia aliomba jina lake lisitajwe alisema ubongo wa mwigizaji huyo ulikuwa umevimba na kushuka karibu na uti wa mgongo na hivyo kuathiri mfumo wa upumuaji.
Alisema sehemu ya maini na majimaji ya machoni ya marehemu, vimepelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali ili kubaini endapo kuna sumu au kitu kingine katika mwili huo.
 
Mh, Kwamba Lulu alitoka kumtaarif mdogo mtu kuhusu ajali akiwa kama ALIVYOZALIWA, nayo inahitaji tafakuri yakinifu ya kumnasua huyu kijana wa watu na UPUUZI wake...ww just imagine!!!!!!
 
Mh, Kwamba Lulu alitoka kumtaarif mdogo mtu kuhusu ajali akiwa kama ALIVYOZALIWA, nayo inahitaji tafakuri yakinifu ya kumnasua huyu kijana wa watu na UPUUZI wake...ww just imagine!!!!!!
Kwani ni lini Lulu hajawai kutembea uchi?........inawezekana mdogo wake Kanumba ana makengeza, Lulu akivaa nguo hana tofauti na mwanamke ambaye yuko uchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…