Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

SMU kwa wanasheria wazuri, hii case iko straight forward as simple as abc and as clear as crystal kulitokea ugomvi and whatever happen be it self defence/provocation, or just an accidental death, there was only 'actus reus' but there was no 'mens rea'!, Lulu is off hook!.
Okay. Ngoja tusubiri report ya daktari ambayo kwa kiasi kikubwa itatoa direction ya kesi nzima na hata uchunguzi wa polisi.
 
Nashukuru kwa kutaka kujua ukweli, unajua ukweli juu ya mtu wa mungu anataka kujua hata kile shetani anchofanya ima kwenye giza au la mchana. Illuminati ambao ndio hao hao Freemason, hii pia ni njia tu ya kuwafool watu wawe na maswali juu ya kupambanua makundi haya mawili, ila ndugu yangu wote hawa ni identical twins wanaovaa nguo tofauti. Ninasikitika sana juu ya watu wengikutotambua vitu wa kadha ambavyo tunavifanya bila kujua (kwa walio wengi) kwa ulimbukeni wa USASA, ila ni kama tunajipiga chapa au muhuri kuhimidi "illuminati". Kwanza ujue kua Illuminati one of their objective ni kumchallenji mungu, na huu ndio mzizi wa fitina zao zote, they want to see what god can do. Wanatumia Alama nyingi sana (jicho moja, punda mweusi, alama za mikono n.k). Nikipata muda zaidi nitachambua kwa kina kwa kadiri ya uwezo wangu kwenye fursa ingine. Ila

Kwa msingi tu, Illuminati wanatumia falsafa ya namba (numerology) kuwasiliana na kufanya majambo yao kadha ikiwemo kafara, yaani kama wakrsto na waislamu wanavyotumia lunar na solar calendar kusherehekea sikukuu zao mbalimbali na vitu vinginewe, basi nao Iluminati wanatumia namba ingawa wao hawaishii kwenye tarehe kwa kuwa namba zina mantiki kubwa sana kwao. Namba hizi 11, 7, 33, 9 ni namba zinazobeba mantiki kubwa sana. Nadhani unaweza kuziona namba hizi kwenye makasino ya kamari na kwingineko kunakofanana na starehe zinazohusisha wanawake na ngono na vinginevyo, namba hizi hazipo pale tu kama urembo kaka zinabeba maana kubwa sana.Mwanamke kama symbol ya dhambi ni agent muhimu sana katika utekelezaji wa ishu zao, angalia muvie inaitwa Eyes wide shut, Devils Kingdom, Queen of the Damned, Twilight na zinginezo; angalia miziki kama Power (Kanye west) na kadha wa kadha. Matukio kama September 11,2001 (yaani 9,11,3) na zaidi angalia namba za ndege nne zilizotumika kufanya makaveli American Airlines Flight 11=21=3,11, United Airlines Flight 175=20,1+7+5=13 then 20+13=33, American Airlines Flight=21(2+1)=3, 77, na United Airlines Flight 93.=20,9,3=9+2+0=11,3. You may think these numbers are chosen randomly, they don't do random, and carries a very significant meaning. The use of their numbers extends to time, names, places, amount of people around and the like.

So kuna ushahidi kadha wa kadha juu ya hii secret society. Ila sheria ni moja njia uliyoingilia ndiyo utakayotokea kama hutakubaliana na masharti yao, you know when you sell your soul to the devil dont expect when you want to get off he will let you, there is a price to pay, na mara nyingi ndio wanazitumia kama kafara ya kucleanse the kingdom, na hapo watatumia namba kwa makini sana kusafisha ufalme wao, bahati mbaya hawakukosi kwa kuwa tayari una doa la giza lao. Na hivyo mara nyingi wakishampin point victim wao watamuinduce na kadhaa kadha wa kadha ili kudamage public image yake (na hapa tunasikia maneno mabaya ya marehemu kanumba juu ya mzee wake), na hiiinatokea bila ya victim kujua ni kama yukokwenye hypnosis ya hali ya juu, sababu jiulize kwa nini maneno hayo yanasemwa sasa na sio siku nyingi zilizopita. Na kisha public image ya victim ikiwa imepuvuka kidogo basi hutafutwa scapegoat (ataetupiwa lawama) kwa msingi wa kuconceal their crooks, na tukio husetiwa kiasi ambacho scapegoat na victim watabeba uhusika mkubwa juu ya uzembe uliosababisha kitakachotokea. Note hawa jamaa ni wasiri so wanafanya mambo yao kwa parables and puzzles, Tafakari haya kwa kureflect deaths of Michael Jackson (June, 25, 2009) ambayo ni 6-7-11, ni sawa na 3,3,7,11, Left eye, Aaliya (August 25,2001)=8,7,3 pia wsawa na 7, 11, Whitney Houston (February, 11, 2012) ukiibaisha hii kwenye utaratibu wa 11, 2, 2012 =11, 7, Saddam hussein (December 30, 2006) yaani 12=3,3,9. Osama Bin Laden (May, 2=7,'11=11) na amezikwa kwenye bahari kureflect "Rain Man" ambayo ina herufi SABA. Gaddafi (20 october, 2011) =2+0+1+0=3, 2+0+11=13, then 13+3=16, then 1+6=7, jina lake lina herufi Saba=7,na kumi na moja yetu ipo 11. Tafakari ni matukio gani makubwa yalitokea Tanzania Tarehe 14 (7+7), October, 1999, na 21 May 1996 na jaribu kuchanganya namba hizo utanielewa sasa kuwa kuna world order=11. Namaba kumi na moja inarepresent fundamental rejuvination of Kingdom of the Dark. na matukio makubwa kama yale ya september eleven hutokea kila baada ya miaka kumi na moja na mwaka huu 2012 ni miaka kumi na moja tangu september 11, kaa mkao wa kujihami. Unaweza kuona jinsi gani kifo cha ndugu yetu kilivyomatch namaba hizi Kuoga=rain man=7, saa saba=7, tarehe saba=7, na jina lina herufi saba pia, angalia tena Steven =6, Charles=7,Kanumba=7, ambayo ni sawa na 3,3,7,7.hizi ni namba za jackpot bingo kama bado uko nami kwenye mantiki ya namba.

Na pia tufahamu kuwa anapodondoka high profile celebrity kama hivi usually two more moderately low profile celebrity should escort, let see who is who. So bad even most of them celebrities do not know ABOUT ILLUMINATI OPERATIONS AND ITS WHEN THEY ARE TOLD ABOUT IT BY THE RAIN MAN, THAT THEY REFUSE TO OBEY THINKING THEY GOT THE FAME BY THEMSELVES, THAT'S WHEN ITS TOO LATE AND YOU WILL NEVER LEAVE WITH HEAD INTACT.

THATS LITTLE I HAVE KNOWN ABOUT THESE PEOPLE ANS I ASSURE YOU THEY EXIST AND THIS IS HOW THEY WORK. THEY DON'T ARE OWNERS OF BIG CORPORATIONS, RICH PEOPLE AND THE ALIKE.
Mkuu Saidon, this is serious and not a joke!. Nakuomba anzisha thread yenye heading yoyote ifuatayo!.
- KIFO CHA KANUMBA: NI KAFARA YA ILLUMINATI?!.
au
KIFO CHA KANUMBA: LULU ALITUMIWA BILA KUJIJUA?!.
au
KIFO CHA KANUMBA: ILLUMINATI AT WORK!-WENGINE WAWILI KUMFUATA SOON!.

Mini nitachangia kuhusu kikundi kiitwacho "Rosae Crussis" ambao members wao huitwa rosecrussians wana nguvu za ajabu!. Ukiwa member wake unakula kiapo cha damu na unapata mafanikio makubwa, ukitaka kujitoa utakumbwa na kifo cha ajabu!.
 
Hello Mr. Pasco,
Nimevutiwa sana na tafakuri ya mazingira ya kifo cha Kanumba. Kiukweli mimi binafsi niligubikwa na simanzi nzito ingawa niko mbali sana kwa sasa takribani mwaka mmoja niko china. Kanimba ni mmoja wa wasanii ambao niliwakubali sana katika tasnia ya filamu na hata akanifanya nikubali bongo muvie, na siku ya tukio nilikua naangalia muvie yake ya "Crazy Love", na niliumia sana kwenye scene ile ya yeye kupigwa baada ya kukutwa na mke wa mtu, akapigwa hata akapoteza timamu zake kwa muda. Mimi sina mengi juu ya hukumu yake kwani Allah ndiye hakimu.

LAKINI,

Nikafunguka fahamu na kujiuliza maswali wa kadha, ambayo pia yamenifanya nijiunge na jamii forum kwani sikua mwanachama wa platform hii. Kiukweli haya ni majambo ya kiinteligensia kweli na labda kuna vyombo ambavyo viko responsible kushughulikia kwa mujibu wa katiba yetu, ila mwananchi mwema hakatazwi kutoa mchango wa kuliona hili kwa upana kwani hata hao ambao wanahusika kwa sasa watategemea watu ambao walikuapo kwenye tukio. Nilijiuliza maswali mengi na si kwa mantiki ya kumgandamiza Lulu, ila swali langu ni kama ifuatavyo;

1. Nini kilifanya Lulu aondoke ilhali yule ni mpenziwe na sidhani kulikua na kitisho chochote kwake kutoka kwa bwana bosco ambacho kilimfanya yeye akimbie?

Halafu tafakuri ya muvie alizoigiza kanumba kaka zinanipa mshutko juu ya nguvu za hawa watu wanaitwa "Illuminati", inasadikiwa by saa saba usiku wa tarehe saba bwana kanumba alifariki dunia akitokea kuoga. Kuna vitu kadha hapa vya kuvitafakari, saa saba (7), tarehe saba (7) na jina lake likiwa na herufi saba (7), jumla yake ni zile triple seven (777) zinazohusishwa na kafara ya daraja ya juu kabisa kwa hawa freemason, na kuoga kumerepresent "Rain Man". Nina wasiwasi tukio hili ni zaidi ya Lulu, kwa kuwa kwa ninavyomjua mimi Lulu hana ubavu wa kumsukuma the great, na Lulu alikua kama alivyozaliwa, freemason wanawatumia wanawake kama agent of evil, naye lulu alikua katika umbo lile la ibilisi tena kwenye ijumaa kuu (siku ya saba katika juma). Utajiuliza kwa nini muda wote huo kama ulivyoeleza hapo juu, saa sita mpaka saa kumi na moja alfajiri, kivipi?, hapo palikua na mipango inafanyika. Na pia huyu jamaa wa nigeria anaeitwa Ramsey alikua Bongo few weeks ago, unajua alikuja kufanya nini? huyu ndie walie act muvie pamoja ile ya Evil Kingdom, unapata somo gani kutoka muvie ile? jiulize kwa kina utapata majibu. Kwa hivyo kwa tafakuri yangu mimi Lulu alikua scapegoat kufanikisha lengo la kafara ya juu kabisa na hivyo High profile celebrity Kanumba karata ilimwangukia na wengine wanafuata muda utakapofika.

Karibuni tuchanganue.
Mkuu Saidon ukikubali kuanzisha hii thread unaweza kuanza na hizi nondo za posti yako hii!. Please do!.
 
Waberoya
tell me u're kidding!!! ru serious kwanza alianza kukamega wakati ana umri wa miaka 14?! omg.....!!! Ina maana kama alianza kukamega akiwa 14 (bila shaka wa2 ndo waligundua) then kuna possibility kwamba alianza kukamega rasmi kabla ya huo umri...!! Anyway, alianza kukatekenyatekenya lini?! Bila shaka, wakati anakapa ki2 kwa mara ya kwanza, alikuwa ameshaanza kukaandaa kisaikolojia kama vile kukashika shika vititi na mambo mengine kama hayo muda mrefu nyuma!
Na kama ni kweli alianza kukamega while 14, basi inaweza kuwa hiyo ni sababu mojawapo ya yuke mtoto kutotulia…HOW?! Hakuna ubishi kwamba Kanumba mwenyewe alikuwa kicheche…..na kutokana na ustaa wake, skendo zake nyingi zilikuwa zinavuja!! What next? Hapo kademu kake ambako kadogo anasikia bwana wake ana demu huyu na yule….si ajabu kutokana na umri wake anaona huo ndio ustaa wenyewe….unakuwa na huyu, kesho yule ukiandikwa; ndo sehemu ya maisha ya ustaa! Si hivyo, kutokana na age difference kuwa kubwa…huku ikichangiwa zaidi na tofauti kubwa ya maumbo yao ambayo kimsingi Kanumba alikuwa na umbo kubwa zaidi…..si ajabu Kanumba alikuwa anaona aibu kuwa close na Lulu wakati wote…!!! Mtoto keshaonjeshwa pipi ya kijiti; mwonjesha pipi mwenyewe anaona soo kuwa na mtoto….wht next?!


I am not kidding, I am very very serious and very sure of what I have posted!! Vicent kigosi naye ameishakapitia vizuri tu tangu enzi hizo

jamaa wanatia kinyaa kwani katoto haka kalikuwa na ujinga wa dunia na ulimbukeni wa mapenzi na umbumbumbu wa hali halisi ya dunia hii

kalianza umaarufu tangua hakajabalehe......wakakakuza haraka

baadaye kakasema yeye ni 'kubwa shoo' na sio 'toto shoo'

hawa watu... marehemu, akina Lulu...bongo flavour ndio wanaopelekea matokeo mabaya ya form four...( I am also not kidding)...............wae-influence kila kitu

k
 
Sina nia mbaya but mimi nataka niorodheshe makosa ya marehemu. Mniwie radhi lakini kufariki napo haukumuondolei marehemu makosa yake pia kwani ingetokea hajafa hapa watu mgekua hata yeye mnapoint out makosa yake. Kwa hiyo tusiwe wanafiki.

1. Hawa "big brothers" wa sinema za Kitanzania kila ukiwauliza kuhusu waigizaji wa kike utasikia maneno kama "sisi ni kama kaka na dada tu" au "uhusiano wetu ni wa kikazi tu" lakini bado mahusiano kati ya hawa "macelebrity" hayaishi. Sawa haki yao. Ukiwauliza kuhusu wakina Lulu likua huyu ni mdogo wetu oh tuna muongoza tu kumbe wana fanya nacho mapenzi. Sasa kama wanaficha ina maana they know something is wrong.

2. Sifa za Lulu zina julikana tokea kitambo tu mpaka picha zake za uchi zime toka mitandaoni. Hakuna asiejua haka kabinti ni kahuni. Sasa katika wasichana wote kwa nini aamue kuwa na uhusiano nae? Maana tetesi ni kwamba alimkuta anaongea na simu na bwana mwingine je alikua hajui hizo sifa za huyu binti?

3. Japo miaka 18 kisheria ni mtu mzima lakini je ilikua busara kwa mtu wa miaka 28 kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti wa miaka kumi na nane? Si walisha semaga huyu ni mdogo wao? Sasa leo kaka anatoka na kidogo chake cha miaka 18?

Kusema ukweli hili liwe fundisho kwa wote. Bahati mbaya ndugu yetu hato pata a second chance. Ila jamani tunapo amua kuwa na wapenzi tuangalie wanawake wa kuwa nao. Ukiacha ukweli kwamba binti tayari alikua na sifa mbaya ya kihuni sidhani kama ni busara mtu wa miaka 28 uwe na binti wa miaka 18.

Anway R.I.P. kaka. I wish you had a second chance.


You are truly mwanafalsafa....imefikia wakati watanzania wasikie kile ambacho huwa hawapendi kusikia

kanumba mzinzi, amekufa akifanya uzinzi!
 
Ooh,yeah this is jamii forum kama una akili kila siku unajifunza kitu kipya au unaongeza kitu.
ni Kweli hapa nako pakufunguana macho na ubongo zuri chukua baya wacha au yote beba lol! Mie pia Kuhusu Freemason na hizo taka zengine na wasiwasi nazo ila Fact 10 za jamaa kuhusu Uzembe ni kweli kabisa. Tukija sasa kwenye ma freemasons na mengine je zile Safari za Nigeria inakuwaje zile je Monalisa naye awe Makini?
 
From Ba Mdogo kwenye ile clip ka Lulu Ba mdogo nipeleke Shule mpaka hapo dah Lulu akiweza kutoka amrudie Mungu asipofanya hivyo ndio basi tena, Inshallah mwenyezi atawafungua wengi macho siamini mambo ya Nyota ila mtoto wa sheikh Yahya nasema ni Kubahatisha alibahatisha kwenye Michuzi kwamba 2012 kutatokea Kifo cha superstar atauliwa na superstar mwenzake hapa Tanzania.
 
Naunga mkono hoja mkuu Pasco. Ni uchelewevu mkubwa sana umefanyika. Labda watu wakiwa wengi mambo kwangu Mimi huharibika maana kila mtu husema lake. Hata Kama Lulu alimsukuma Kanumba, alikuwa akijijitetea kwa kipigo, Na ishu hapa ni kuua bila kukusudia.
 
I think with knowledge I have this is what was to be followed by our police force….
All murder investigations start with the murder itself, which is usually reported by someone who comes across the victim. The person who finds the victim is asked to remain on site, and a law enforcement team arrives at the scene, along with a medical team. The first thing that occurs on any murder site is verification that the victim is actually dead. Usually paramedics arrive first, followed by the coroner, who pronounces death and turns the scene over to law enforcement. Next, an officer is put in charge of the murder investigation, and he or she sets about securing the scene to minimize contamination of evidence. An officer in charge has usually had prior experience with murder investigations.
A log of all individuals on or around the site is immediately established. Usually the medical response team will be finger and foot printed, along with any bystanders, so that markings found on the scene can be readily identified. The next step for murder investigations is to observe and photograph the scene. Nothing is moved, including the body, until the scene has been fully written up and photographed, to ensure that nothing is missed. As crews photograph the scene, they put tags on items that should be collected for evidence, such as bloodstained clothing, weapons, and other objects of interest on the site.
During all murder investigations, the people on site are very careful to avoid contaminating evidence by accident. Gloves and protective booties for shoes are worn, and suits are used to cover clothing so that fibers, hair, and other detritus from the investigators do not contaminate the scene. The scene is tightly controlled by the officers in charge, and once everything has been documented, the process of removing evidence is begun. The body is usually the first thing to be removed; the coroner's office takes it away for an autopsy. Next, evidence is collected, bagged, and sent to the crime lab for analysis.
An important part of criminal murder investigations is human interactions. After evidence is collected and reviewed, law enforcement official's interview people involved in the murder. Sometimes, a case is very clear cut: a man was witnessed shooting his wife, for example. In this instance, the husband would be interviewed, along with witnesses, so that law enforcement could be assured that no details were missed. In other cases, the identity of the culprit may not be as clear, and an investigation may drag on for a long time before more information is uncovered or the case is officially given up. During this period, law enforcement will follow up on tips made by citizens, and individuals who know anything about a murder are encouraged to contact law enforcement in an effort to bring the criminal to justice
MY TAKE: WERE ALL THESE ESSENTIAL STEPS FOLLOWED? JESHI LETU LA POLISI LINAHITAJI INTENSIVE TRAININIG, LA SIVYO KUNA POSSIBILITY KUBWA YA WATU WENGI AMBAO HAWANA HATIA KUTUPWA JELA!
 
Mkuu NazDaz, with all due respect, please stop this!.

Heshima ni kitu cha bure!, dhihaka sio jambo jema ila dhihaka kwa marehemu ni jambo la hatari zaidi kwa sababu lina bad consequences!. Please just stop this!.

Mkuu Pasco,
Unafikiri ni dhihaka kwa marehemu basi? la hasha! Kimsingi nilishitushwa sana na kauli ya Waberoya kwamba Marehemu alianza uhusiano wa mapenzi na Lulu wakati Lulu akiwa only 14!! Nilishituka na kuogopa!! Am telling u, ilinibidi nijifanye hamnazo wakati naandika !Lakini kama ningeivuta the wholly fact ya Waberoya na kuituliza kwenye ubongo,basi hata huo ujasiri wa kuandika nisingekuwa nao! Au mkuu umeshituka niliposema umbo kubwa la Marehemu?! Ni body structure tu mkuu na si vinginevyo....mbona simpo tu!!!!
 
kwa nini lulu na mdogo'ake kanumba wasingesaidiana kumpa huduma ya kwanza? Lulu hakwepeki kwenye hizo lawama, iweje atoe tu taarifa na kukimbia asitoe ushirikiano kumpatia msaada kanumba! Mimi nasema lulu hawezi kujinusuru ktk hzo lawama.

kwa uchunguzi wa daktari hawangeweza kufanya lolote liule hata kama angepona asingekuwa mtu wa kawaida,

soma ripoti hapa chini


MSANII nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba amefariki dunia kutokana na tatizo la mtikisiko wa ubongo linalojulikana kitalaamu kama Brain Concussion, taarifa za kitabibu zimeeleza.
Taarifa hizo za ndani, zilizopatikana jana baada ya jopo la madaktari bingwa watano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kuufanyia uchunguzi mwili wa marehemu huyo, zimeeleza kuwa tatizo hilo linaweza kumfanya mtu apoteze maisha mara moja au baada ya siku kadhaa. Mmoja wa madaktari hao ambaye aliomba jina lake lisitajwe gazetini alisema waligundua tatizo hilo baada ya kumfanyia uchunguzi huo kwa zaidi ya saa mbili.

“Tulianza kuufanyia uchunguzi mwili wa marehemu kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 6:45 mchana na tukagundua kuwa marehemu alifariki kutokana na mtikisiko wa ubongo kwa kitaalamu, Brain Concussion,” alisema daktari huyo. Alisema Kanumba alipata mtikisiko wa ubongo ambao husababisha kufeli kwa mfumo wa upumuaji (cardio-respiratory failure) “Kilichomuua hasa ni mtikisiko wa ubongo, ambao endapo unatokea katika sehemu ya nyuma ya ubongo (cerebrum), huua kwa haraka” alisema daktari huyo na kuongeza kuwa mtikisiko wa ubongo wa nyuma, husababisha matatizo ya mfumo wa upumuaji na hilo limeonekana katika mwili wake.

“Baada ya ubongo wake kutikiswa kwa nguvu, mfumo wa upumuaji ulifeli na ndiyo maana tumekuta kucha za Kanumba zikiwa na rangi ya bluu, huku mapafu yake yakiwa yamevilia damu na kubadilika kuwa kama maini, hizo ndizo dalili za kufeli kwa mfumo wa upumuaji.”

“Mtu aliyepata mtikisiko wa ubongo huweza kutokwa na mapovu mdomoni na hukoroma kabla ya kukata roho na ndivyo ilivyokuwa kwa Kanumba kabla hajafariki.”

Daktari mwingine aliyeshiriki katika uchunguzi huo ambaye pia aliomba jina lake lisitajwe alisema ubongo wa mwigizaji huyo ulikuwa umevimba na kushuka karibu na uti wa mgongo na hivyo kuathiri mfumo wa upumuaji.
Alisema sehemu ya maini na majimaji ya machoni ya marehemu, vimepelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali ili kubaini endapo kuna sumu au kitu kingine katika mwili huo.
 
Mh, Kwamba Lulu alitoka kumtaarif mdogo mtu kuhusu ajali akiwa kama ALIVYOZALIWA, nayo inahitaji tafakuri yakinifu ya kumnasua huyu kijana wa watu na UPUUZI wake...ww just imagine!!!!!!
 
Mh, Kwamba Lulu alitoka kumtaarif mdogo mtu kuhusu ajali akiwa kama ALIVYOZALIWA, nayo inahitaji tafakuri yakinifu ya kumnasua huyu kijana wa watu na UPUUZI wake...ww just imagine!!!!!!
Kwani ni lini Lulu hajawai kutembea uchi?........inawezekana mdogo wake Kanumba ana makengeza, Lulu akivaa nguo hana tofauti na mwanamke ambaye yuko uchi.
 
Back
Top Bottom