hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Mwamba mwanaume
Binaadamu mwenye ushawishi kuliko wote Wa Karne ya 19 mpaka ya 21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba mwanaume
AiseeMwamba mwanaume
Binaadamu mwenye ushawishi kuliko wote Wa Karne ya 19 mpaka ya 21
karibu mkuuNimejifunza kitu leo
Mkuu hebu lete hii story maana hawa miamba waliua sana watu hasa zile kambi zao km sobibor n ile ya pollandHitler naamini alijiua kwenye fuhrer bunker.Hii ni sehemu ambayo ilikuwa chini ya ardhi.Wakati anakaribia kupoteza kwenye vita ya pili ya dunia alikuwa anajificha kwenye hii sehemu yeye na wasaidizi wake kama kina herman goring na yule aliyekuwa waziri wake wa propaganda za kiNazi joseph gobbles.
Katika kitabu chake kinachoitwa Mein Kempf hitler anatueleza alivyokuwa anafikiria kujiua baada ya mapinduzi yake ya kuchukua nchi kufeli mwaka 1923 na alifungwa jela,alipokuwa jela alikuwa na mawazo ya kujiua,mapinduzi haya yalikuwa yanaitwa beer hall pusch.
Kwa kutaka kule kujiua alipokuwa jela kunaonesha kabisa ni mtu ambaye kujiua kwake ni jambo la suluhu pale mambo yanapo muendea mrama.Hivyo kuna uwezekano alipoona ujerumani inapoteza vita ya pili ya dunia akaona ajitoe roho.
Miongoni mwa wasaidizi wake ambao pia walijiua ni Heinrich Himmler(Mkuu wa jeshi la schutzstaffel),Herman Goring(Reich marshal) na joseph goebbels(waziri wa propaganda)
Kuna siku nitakuja na mada inayowaelezea hawa waliokuwa wanaitwa schutzstaffel kwa kifupi SS ambao kofia zao zilikuwa zina alama ya fuvu la kichwa kuashiria ni watu wa kifo.Hakujawahi kutokea wauaji hapa duniani kama hawa jamaa.Ile idadi ya wayahudi milioni 6 waliouwawa wakati wa Hitler hawa jamaa wanaoitwa ss ndio walikuwa wanahusika.
View attachment 1735324
Huyu pichani anaitwa Himmler ndio alikuwa mkuu wa vikosi vya schutzstaffel nchi nzima.Huyu ndio alikuwa mtekelezaji mkuu wa mauaji ya wayahudi
Nadhani wayahudi walipokuwa wanaona mtu mwenye nguo kama za huyu hapa chini wakati ule wa utawala wa Hitler basi wayahudi walikuwa wanakiona kifo kipo karibu yao
View attachment 1735633
Hatariii sanaMkuu hebu lete hii story maana hawa miamba waliua sana watu hasa zile kambi zao km sobibor n ile ya polland
Sobibor yenyewe ilikuwa Poland,kulikuwa Luna kambi za aina hiiMkuu hebu lete hii story maana hawa miamba waliua sana watu hasa zile kambi zao km sobibor n ile ya polland
aiseee🤔🤔Sobibor yenyewe ilikuwa Poland,kulikuwa Luna kambi za aina hii
Concentration camp(Dachau,Buchenwald)
Death camp(Sobibor,Belzec,Auschwitz)
Labour camp(Mauthausen,flossenburg)
POW(Prisoner of War Camp) nimezisahau
Ingawa walizicategorised kwa namna hii lakini kwenye kila aina ya kambi hizi kulikuwa na mateso,ukatili,vifo na kazi ngumu.Hizi death camp zilikuwa zinaitwa death camp kwa kuwa kulikuwa na vyumba maalumu kwa ajili ya kuuwa watu wengi kwa wakati mmoja kwa kutumia gas sumu mfano Zyklon B imetumika sana Auschwitz kuua watu na inasemekana ni death camp iliyoua watu wengi zaidi kuliko nyingine
Aisee shukraani san mkuu kwa kutongezea kituJeshi la Ujerumani la wakati wa Hitler( wehrmacht) lilikuwa ni jeshi imara na lenye nguvu.Kuna neno Hitler alikuwa analitumia kumaanisha speed ambayo hili jeshi lake linaitumia kupigana vita.Neno lenyewe ni Blitzkrieg ni neno la kijerumani likimaanisha Lightening War yaani vita yenye spidi ya radi(ule mwanga wa radi unaopiga kwa spidi).
Hitler alikuwa anamaanisha jeshi lake linavamia nchi za ulaya na kuzikamata kwa spidi ya radi.Jeshi hili la Ujerumani lilipokuwa linazivamia nchi mbalimbali kama Poland na hata Soviet Union,lilikuwa linaambatana na vikosi fulani ambavyo vilikuwa na kazi maalumu na wala si kupigana vita.Vikosi hivi vilikuwa vinaitwa Einsatzgruppen kwa kijerumani.Kwa jinsi vikosi hivi vilivyokuwa vinafanya kazi tunaweza kuviita Mobile Killing Squad.Kwa sababu vilikuwa vinatoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kutekeleza mauaji.Jeshi la Ujerumani lilikuwa kazi yake kupigana vita ila hawa einsatzgruppen walikuwa na kazi maalumu ya kudeal na Jews na walikuwa hata wanalalamikiwa na jeshi la ujerumani kwa mauaji waliyokuwa wanafanya lakini jeshi halikuwa na namna kwasababu order ya mauaji ilikuwa inatoka kwa Hitler.
Kazi kubwa ya hivi vikosi ilikuwa; pale jeshi la ujerumani likishavamia nchi fulani na kuikamata einsatzgruppen kazi yao ilikuwa kuwazunguka wayahudi katika miji na vijiji mbalimbali na si wayahudi tu na hata watu fulani fulani ambao walikuwa wanatakiwa kuuwawa kama wasomi na watu wengine muhimu pia hata wale ambao walikuwa wanapinga uvamizi.Ukiachana na einsatzgruppen pia nchi zilizokuwa zinavamiwa na ujerumani kulikuwa kunamwagwa Police fulani wanaofanya kazi zao kwa siri,hawa walikuwa wanaitwa Gestapo(Geheime Staatspolizei) au tuwaite Germany Secret Police,hii ilikuwa ni kama Intelligence Agency ya Nazi Germany.Madikteta huwatumia sana hawa secret police kutengeneza fear.Hawa Gestapo wa Hitler hata ujerumani kwenyewe walitengeneza hofu kubwa kwa wajerumani na walikuwa wanaogopeka sana.
Wayahudi (watoto,wanawake,wazee) baada ya kuzungukwa na hivi vikosi vya einstatzgruppen na Gestapo walikuwa wanaongozwa kwenye sehemu maalumu mfano nje ya miji na kwenye maeneo yaliyojitenga huko waliamrimshwa kuchimba Mashimo baada ya hapo wanajipanga pembezoni mwa hayo Mashimo na kupigwa risasi nyuma ya kichwa na kudondokea kwenye hayo Mashimo kisha yanafukiwa.Saa nyingine walikuwa wanalazimishwa kuvua nguo na kuuliwa wakiwa uchi nguo hizo zilikuwa zinachukuliwa na kupelekwa ujerumani,na si nguo tu walikuwa wanachukua na vitu vingine vya wayahudi wanaowaua kama hela,mikufu,miwani,meno ya dhahabu mdomoni na vinginevyo.
Hali ilikuwa mbaya sana Imagine watu wanavuliwa nguo baba,mama na watoto wote wako pamoja hakuna cha mzee wala mtoto wote wanavuliwa nguo.
kwa siku moja einsatzgruppen walikuwa wanaweza kuuwa maelfu watu japo namna hii ya uuaji ilikuwa inawaletea madhara kisaikolojia hata wauaji wenyewe imagine,unawauawa watoto wadogo wa miaka mitatu minne na kuendelea na wewe ni baba wa familia. Na kila siku hawa wauaji walikuwa wanapeleka idadi ya watu waliowaua kwa siku bila shaka ni kwa heinrich Himmler mkuu wa SS(Schutzstaffel) au kwa kijerumani walikuwa wanamuita Reichsfuhrer-SS yaani kiongozi wa SS kitaifa
Baada ya wakuu wa vikosi hivi kuona askari wao wanaathirika sana na kuua kwa risasi ndipo mwaka 1941 walikaa kikao na kupata suluhu ya namna ya kuwauwa wayahudi kwa ufanisi.Suluhu hii iliitwa "the final solution to the Jewish question" sobibor ni miongoni mwa zao la kikao hiki.
Kabla hawajaja na solution hii kuna engineer wa kijerumani alitengeneza gari ambalo kwenye Kebin lilikuwa na gas chamber,gari hilo lilikuwa linatumika Kuwaua wayahudi kwa njia ya gesi ya sumu japo lilikuwa haliko efficient,lilikuwa linaweza kuua watu wachache wachache.Ni hivi engine ya lile gari ilikuwa inabomba ambalo lilikuwa linapeleka hewa ya carbonmonoxide kwenye cabin hivyo mtu akiingizwa kwenye cabin na ikawa sealed ile engine ikiwashwa ule moshi au tuseme gas inayotoka kwenye engine inaingia kwenye cabin na yule mtu aliefungiwa kwenye cabin anaivuta huku akiwa hapati oxygen hivyo baada ya kama dk 25 anapoteza maisha.Wakishakufa mlango wa cabin unafunguliwa wanasubiri dakika kadhaa kisha wanazitoa Maiti na kuwaingiza watu wengine.
Hizi ni baadhi ya picha za siri walizokuwa wanapiga wenyewe wauaji ambazo zilipatikana baada vita mobile killing squad(einstatzgruppen) wakionekana wakifanya mauaji kwa wayahudi.
View attachment 1741771
View attachment 1741772
View attachment 1741773
View attachment 1741774
Na hili ni gari(Gas van) ambalo lilikuwa equipped na gas chamber kwenye cabin kwa ajili ya mauaji
View attachment 1741776
Vip mkuu
Baada ya ujerumani kuona dalili za kushindwa vita ya pili ya dunia iko dhahiri walijua kitakachofuata ni kukamatwa na majeshi ya ushirikiano(Allies) ambayo yalikuwa ni majeshi ya nchi ya nchi tatu Great Britain,Russia,na United States).Wajerumani walijua watakapotiwa mikononi na haya majeshi watakuwa na hali ngumu ukizingatiwa walikuwa wamefanya uhalifu mbaya dhidi ya binadamu,walijua kabisa kitakachofuata ni kushtakiwa.Baadhi ya viongozi wa SS walianza kutoroka huku wakimsaliti Hitler, mmoja wao akiwa ni huyo Heinrich Himmler ambaye alikuwa ameamua kutoroka akisafiri kwa kutumia fake documents lakini alikamatwa na majeshi ya allies.Aisee shukraani san mkuu kwa kutongezea kitu
Hao SS under himler binafsi nmewavulia kofia natamani kujua hatma yao ilikuwaje na ubabe wao
Kwanini hitler alikuwa anaua sana wayahudiJeshi la Ujerumani la wakati wa Hitler( wehrmacht) lilikuwa ni jeshi imara na lenye nguvu.Kuna neno Hitler alikuwa analitumia kumaanisha speed ambayo hili jeshi lake linaitumia kupigana vita.Neno lenyewe ni Blitzkrieg ni neno la kijerumani likimaanisha Lightening War yaani vita yenye spidi ya radi(ule mwanga wa radi unaopiga kwa spidi).
Hitler alikuwa anamaanisha jeshi lake linavamia nchi za ulaya na kuzikamata kwa spidi ya radi.Jeshi hili la Ujerumani lilipokuwa linazivamia nchi mbalimbali kama Poland na hata Soviet Union,lilikuwa linaambatana na vikosi fulani ambavyo vilikuwa na kazi maalumu na wala si kupigana vita.Vikosi hivi vilikuwa vinaitwa Einsatzgruppen kwa kijerumani.Kwa jinsi vikosi hivi vilivyokuwa vinafanya kazi tunaweza kuviita Mobile Killing Squad.Kwa sababu vilikuwa vinatoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kutekeleza mauaji.Jeshi la Ujerumani lilikuwa kazi yake kupigana vita ila hawa einsatzgruppen walikuwa na kazi maalumu ya kudeal na Jews na walikuwa hata wanalalamikiwa na jeshi la ujerumani kwa mauaji waliyokuwa wanafanya lakini jeshi halikuwa na namna kwasababu order ya mauaji ilikuwa inatoka kwa Hitler.
Kazi kubwa ya hivi vikosi ilikuwa; pale jeshi la ujerumani likishavamia nchi fulani na kuikamata einsatzgruppen kazi yao ilikuwa kuwazunguka wayahudi katika miji na vijiji mbalimbali na si wayahudi tu na hata watu fulani fulani ambao walikuwa wanatakiwa kuuwawa kama wasomi na watu wengine muhimu pia hata wale ambao walikuwa wanapinga uvamizi.Ukiachana na einsatzgruppen pia nchi zilizokuwa zinavamiwa na ujerumani kulikuwa kunamwagwa Police fulani wanaofanya kazi zao kwa siri,hawa walikuwa wanaitwa Gestapo(Geheime Staatspolizei) au tuwaite Germany Secret Police,hii ilikuwa ni kama Intelligence Agency ya Nazi Germany.Madikteta huwatumia sana hawa secret police kutengeneza fear.Hawa Gestapo wa Hitler hata ujerumani kwenyewe walitengeneza hofu kubwa kwa wajerumani na walikuwa wanaogopeka sana.
Wayahudi (watoto,wanawake,wazee) baada ya kuzungukwa na hivi vikosi vya einstatzgruppen na Gestapo walikuwa wanaongozwa kwenye sehemu maalumu mfano nje ya miji na kwenye maeneo yaliyojitenga huko waliamrimshwa kuchimba Mashimo baada ya hapo wanajipanga pembezoni mwa hayo Mashimo na kupigwa risasi nyuma ya kichwa na kudondokea kwenye hayo Mashimo kisha yanafukiwa.Saa nyingine walikuwa wanalazimishwa kuvua nguo na kuuliwa wakiwa uchi nguo hizo zilikuwa zinachukuliwa na kupelekwa ujerumani,na si nguo tu walikuwa wanachukua na vitu vingine vya wayahudi wanaowaua kama hela,mikufu,miwani,meno ya dhahabu mdomoni na vinginevyo.
Hali ilikuwa mbaya sana Imagine watu wanavuliwa nguo baba,mama na watoto wote wako pamoja hakuna cha mzee wala mtoto wote wanavuliwa nguo.
kwa siku moja einsatzgruppen walikuwa wanaweza kuuwa maelfu watu japo namna hii ya uuaji ilikuwa inawaletea madhara kisaikolojia hata wauaji wenyewe imagine,unawauawa watoto wadogo wa miaka mitatu minne na kuendelea na wewe ni baba wa familia. Na kila siku hawa wauaji walikuwa wanapeleka idadi ya watu waliowaua kwa siku bila shaka ni kwa heinrich Himmler mkuu wa SS(Schutzstaffel) au kwa kijerumani walikuwa wanamuita Reichsfuhrer-SS yaani kiongozi wa SS kitaifa
Baada ya wakuu wa vikosi hivi kuona askari wao wanaathirika sana na kuua kwa risasi ndipo mwaka 1941 walikaa kikao na kupata suluhu ya namna ya kuwauwa wayahudi kwa ufanisi.Suluhu hii iliitwa "the final solution to the Jewish question" sobibor ni miongoni mwa zao la kikao hiki.
Kabla hawajaja na solution hii kuna engineer wa kijerumani alitengeneza gari ambalo kwenye Kebin lilikuwa na gas chamber,gari hilo lilikuwa linatumika Kuwaua wayahudi kwa njia ya gesi ya sumu japo lilikuwa haliko efficient,lilikuwa linaweza kuua watu wachache wachache.Ni hivi engine ya lile gari ilikuwa inabomba ambalo lilikuwa linapeleka hewa ya carbonmonoxide kwenye cabin hivyo mtu akiingizwa kwenye cabin na ikawa sealed ile engine ikiwashwa ule moshi au tuseme gas inayotoka kwenye engine inaingia kwenye cabin na yule mtu aliefungiwa kwenye cabin anaivuta huku akiwa hapati oxygen hivyo baada ya kama dk 25 anapoteza maisha.Wakishakufa mlango wa cabin unafunguliwa wanasubiri dakika kadhaa kisha wanazitoa Maiti na kuwaingiza watu wengine.
Hizi ni baadhi ya picha za siri walizokuwa wanapiga wenyewe wauaji ambazo zilipatikana baada vita mobile killing squad(einstatzgruppen) wakionekana wakifanya mauaji kwa wayahudi.
View attachment 1741771
View attachment 1741772
View attachment 1741773
View attachment 1741774
Na hili ni gari(Gas van) ambalo lilikuwa equipped na gas chamber kwenye cabin kwa ajili ya mauaji
View attachment 1741776
Huwa sielewi kabisa. Mtu anayeua mpaka watoto anakuinspire vipi? Imagine katoto kako ka kike na ww na mkeo mmepanga mstari mkiwa watupu mnasubiri risasi kwa amri ya anayekuinspire. He was a fool with military powers.i read him as an inspiration at some points,he was a fighter
Kwanza kabisa kuna kitu kinaitwa anti semitism.Anti semitism ni chuki ambayo walijengewa wayahudi kwenye jamii za ulaya toka vizazi na vizazi.Wazungu walikuwa wanawaona Wayahudi ni watu wa tofauti hasa kiutamaduni.Kama unavyojua wayahudi wana dini zao ambazo walikuwa wanazi practise hata huko ugenini.Embu angalia hata wahindi wanavyoishi hapa kwetu,unaweza kusema ni wenzetu?,unaweza kusema ni jamii moja na sisi?,Kwanini hitler alikuwa anaua sana wayahudi
Alikuwa na beef gani nao
Nakazia hapo "he was a fool with military powers" halafu inawezekana alikuwa na matatizo ya kisaikolojia imagine Hitler alikufa na 56 years hakuwa haya na mtoto.Kuna fununu kuwa inawezekana jogoo lilikuwa halipandi mtungi.Ujue watu wa namba hii huwa wanakuwa na inferiority complexHuwa sielewi kabisa. Mtu anayeua mpaka watoto anakuinspire vipi? Imagine katoto kako ka kike na ww na mkeo mmepanga mstari mkiwa watupu mnasubiri risasi kwa amri ya anayekuinspire. He was a fool with military powers.