Kifo cha Lowassa: Rekodi ziendelee kuwekwa sawa vingenevyo historia itapotea

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
  • Lowassa hakuwa Mmasai bali ni Mmeru aliyezaliwa umasaini;
  • Hakuna mtu aliyefika matanga ya Lowassa na kupata nafasi ya kuongea ambaye hajawahi kumsema Lowassa vibaya;
  • Lowassa na Kikwete hawajawahi kuwa marafiki bali ni watu waliofanya mambo mengi pamoja;
  • Mahusiano ya Lowassa na Kikwete ni ya muda mrefu sana kuliko muda aliokaa CHADEMA na yalihusu maisha zaidi kuliko ugombea urais
  • Historia ya Lowassa haiwezi kukamilika bila kumtaja Kikwete pia
  • Kama watu wangemskiliza Mbowe, Lowassa angekufa kwa kuchomwa moto
  • Kama watu wangeskiliza Lema watu wangemzomea Lowassa badala ya kumlilia
 
Mpumbavu mkubwa!
 

Haijakupendeza ehe?! Bahati mbaya hakuna namna ya kukusaidia-POLE
How do you feel comments zote wanakunanga?? Uko na Tatizo
 
Ungeweka na ile video ambayo ninyi CCM mlimtukana amejinyea ili kuwe na mlinganyo sahili.
WAZO;Hilo bango ni vema umtafute mchapishaji mzuri atengeneze kalenda.Utauza sana.
 
Kweli mental.case....closed
 
Rubbish 🗑 🚮 ,yaani upumbavu huu ndio ulioifikisha Tanzania yetu kwenye hali hii,hatuna usd,umeme,maji Safi na salama na sasa sukari, na hii imetokana na middle class wenye upumbavu huu, kwani wewe ulikua msemaji wa hao uliowataja?,60yrs ya utawala huu ,Singida bado kuna umasikini wa kutupwa
 
kanywe chai sasa🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…