Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuongelei umaskini hapa; tunaongelea wasifu wa LowassaRubbish š š® ,yaani upumbavu huu ndio ulioifikisha Tanzania yetu kwenye hali hii,hatuna usd,umeme,maji Safi na salama na sasa sukari, na hii imetokana na middle class wenye upumbavu huu, kwani wewe ulikua msemaji wa hao uliowataja?,60yrs ya utawala huu ,Singida bado kuna umasikini wa kutupwa
View attachment 2908714
- Lowassa hakuwa Mmasai bali ni Mmeru aliyezaliwa umasaini;
- Hakuna mtu aliyefika matanga ya Lowassa na kupata nafasi ya kuongea ambaye hajawahi kumsema Lowassa vibaya;
- Lowassa na Kikwete hawajawahi kuwa marafiki bali ni watu waliofanya mambo mengi pamoja;
- Mahusiano ya Lowassa na Kikwete ni ya muda mrefu sana kuliko muda aliokaa CHADEMA na yalihusu maisha zaidi kuliko ugombea urais
- Historia ya Lowassa haiwezi kukamilika bila kumtaja Kikwete pia
- Kama watu wangemskiliza Mbowe, Lowassa angekufa kwa kuchomwa moto
- Kama watu wangeskiliza Lema watu wangemzomea Lowassa badala ya kumlilia
Wivu wa kike tena> nimeuliza tu kwamba kama ungetaka story yako iwe balanced ungeweka na picha, nazungumzia picha kuliko paragraph, ungeweka picha pia za akina makonda wakimtusi LowasaMkuu soma kipengele cha pili utaelewa na tafadhali usilete wivu wa kike kwa kuingiza hoja za uchama
Huyu alimuita Mzee Lowasa kuwa ni Malaya na kwamba sio muadilifusaidia tu mkuu ziweke humu. Aidha angalia kipengele cha pili utaelewa kuwa siwasemi watu wa chama chochote; mie naangalia historia ya Lowassa tu
Mkuu soma kipengele cha pili utaelewa na tafadhali usilete wivu wa kike kwa kuingiza hoja za uchama
nikajua umefunga kwaresma šchai hapana, nafungua kinywa kwa ugali na nyama ya kuchoma
Nimesema wivu wa kike kwa sababu unadhani nimewasema CHADEMA na kutowasema CCM kana kwamba unajua kuwa mimi ni CCM na nina video walizosema akina Makonda. JF ni uwanja wazi hukatazwi kuweka ulichonacho. Hata hivyo nirudie nimesema kati ya wote walisema kwenye matanga ya Lowassa hayupo hata mmoja ambaye hakuwahi kumsema Lowassa vibaya. sasa sijui unakwama wapi.Wivu wa kike tena> nimeuliza tu kwamba kama ungetaka story yako iwe balanced ungeweka na picha, nazungumzia picha kuliko paragraph, ungeweka picha pia za akina makonda wakimtusi Lowasa
huwezi kuasili kabila-ethnicity. Kama ni kweli- hilo lilisemwa?Makabila ya kaskazini yana taratibu za kimila za kuasili watu amboa kiasili sio ukoo/kabila hilo na baadaye kuwa na ukoo/ kabila mpya. Weather Loawasa ana wazazi wa asili ya umeru lakini hilo lilishafutika kwa kukubalika kuwa sehemu ya jamii ya kimasai tena akawa kiongozi mkubwa wa kimala Lenguanan hivyo losawa ni mmasai
mchango mzuri na mjadala uendeleeHuyu alimuita Mzee Lowasa kuwa ni Malaya na kwamba sio muadilifu
View attachment 2908791
Mchango mzuri- hivi ndiyo ulipaswa kufanya. Na utakubaliana na mimi sasa wale wote walikwenda kwenye matanga ya Lowassa karibu wote walishamsema Lowassa vibaya.comte nimeweka na ya Makonda, hizi hapa tayari, tafadhali zipandishe ili Uzi wako uwe na balanced argument
View attachment 2908793