Kifo cha Lowassa: Rekodi ziendelee kuwekwa sawa vingenevyo historia itapotea

Hatuongelei umaskini hapa; tunaongelea wasifu wa Lowassa
 

Usiishie hapo tu. Weka na zile quotes za akina Nape na Makonda wakimsema ......!!!
 
Mkuu soma kipengele cha pili utaelewa na tafadhali usilete wivu wa kike kwa kuingiza hoja za uchama
Wivu wa kike tena> nimeuliza tu kwamba kama ungetaka story yako iwe balanced ungeweka na picha, nazungumzia picha kuliko paragraph, ungeweka picha pia za akina makonda wakimtusi Lowasa
 
saidia tu mkuu ziweke humu. Aidha angalia kipengele cha pili utaelewa kuwa siwasemi watu wa chama chochote; mie naangalia historia ya Lowassa tu
Huyu alimuita Mzee Lowasa kuwa ni Malaya na kwamba sio muadilifu
Your browser is not able to display this video.
 
Makabila ya kaskazini yana taratibu za kimila za kuasili watu amboa kiasili sio ukoo/kabila hilo na baadaye kuwa na ukoo/ kabila mpya. Weather Loawasa ana wazazi wa asili ya umeru lakini hilo lilishafutika kwa kukubalika kuwa sehemu ya jamii ya kimasai tena akawa kiongozi mkubwa wa kimala Lenguanan hivyo losawa ni mmasai
 
Wivu wa kike tena> nimeuliza tu kwamba kama ungetaka story yako iwe balanced ungeweka na picha, nazungumzia picha kuliko paragraph, ungeweka picha pia za akina makonda wakimtusi Lowasa
Nimesema wivu wa kike kwa sababu unadhani nimewasema CHADEMA na kutowasema CCM kana kwamba unajua kuwa mimi ni CCM na nina video walizosema akina Makonda. JF ni uwanja wazi hukatazwi kuweka ulichonacho. Hata hivyo nirudie nimesema kati ya wote walisema kwenye matanga ya Lowassa hayupo hata mmoja ambaye hakuwahi kumsema Lowassa vibaya. sasa sijui unakwama wapi.
 
huwezi kuasili kabila-ethnicity. Kama ni kweli- hilo lilisemwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…