Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Apumzike kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bange x3 by 20percentBange
Unawaonea tu, pesa nzuri ya sanaa ipo kwenye shows za gavoo na other institutions ambazo middlemen wake ni allies wa gavoo. So wakiwa hivyo unasema, watapataje shows nzuri?Hiii kweli wasanii kwenye baadhi ya mambo ambayo sio fair yanayofanywa na viongozi huwa hawakemei licha ya kua na platform ya kufanya hvo yakiwafika wanataka support ya wananchi
Katika maslahi naungana na wewe lakini wasanii wapo mbali sana na baadhi ya mambo ya kijamiii yanayopaswa kupaziwa sauti na kukemewa kwa pamoja mfano mrahisi tu juzi kati Kuna yule binti alifanyiwa udhalilishaji uliona msanii yeyote akitoa neno.... tufanye wasanii wa kiume haiwahusu vipi hawa wa kike kuna aliejaribu kulaani tukio lile?Unawaonea tu, pesa nzuri ya sanaa ipo kwenye shows za gavoo na other institutions ambazo middlemen wake ni allies wa gavoo. So wakiwa hivyo unasema, watapataje shows nzuri?
Au unahisi show anayoandaa promota huko katoro anaweza kumlipa mbosso mil 10?
Mrengo flan huwa unatafsirika vipi? Ni pale utapokua unafanya hayo unasema, yes ni ya kawaida but yatakuweka kwenye macho ya mrengo flani na kutafsirika"sio mwenzetu"Katika maslahi naungana na wewe lakini wasanii wapo mbali sana na baadhi ya mambo ya kijamiii yanayopaswa kupaziwa sauti na kukemewa kwa pamoja mfano mrahisi tu juzi kati Kuna yule binti alifanyiwa udhalilishaji uliona msanii yeyote akitoa neno.... tufanye wasanii wa kiume haiwahusu vipi hawa wa kike kuna aliejaribu kulaani tukio lile?
Oy bro ndo demokrasia hiyo. Unataka Kila mtu awe upande uutakao? Uhuru wa kupenda ukitakacho uko wapi?Hawa wasanii sio wa kuwaonea huruma wakifulia, hebu ona wanavyoipamba CCM
Matukio kibao yanatokea nchii hii wako kimya hawatumii ushawishi wao kwenye jamii kukemea
Wakipatwa na matatizo eti jamii tuwakumbuke big NO
Kanye ulipokula
Mwizi ukaibe kanisani tena siku ya Ibada jumapili? Polisi wanasema mlinzi alimuona marehemu kwenye Banda la mbwa ndio akamuitia mwzi Cha kujiuliza mtu mwenye akili timamu kama Mandonjo akajifumbukize kwenye Banda la mbwa kweli?Ila kwa muonekano tu wa uyu mwamba ni wazi kabisa alikuwa anaizo tabia coz sometimes alosto zinawaelemea, ata ivyo isingekuwa rahis watu kumtambua kuwa uyu ni mandojo sabab wasanii wa kale hawatrend sana kwa mionekano yao kumtambua kirahisi kuwa uyu ni fulani. Mfano leo umuone PNC sio rahis kumtambua japo alivuma kipindi hapakuwa na media
Hayajakukuta mkuu dunia duara, si vzr kuhukumu bila kujuaLazima alikuwa mwizi Kuna mwingine Yuko kigamboni wa enzi hizohizo 2004 ukimwona wakikuambia mwizi huoni sababu ya kukataa
Watoto wa 2000 kaka hawaelewi wao ku jaji tu bila ku reasons yaani mandojo akaibe kanisani siku ya ibada jumapili kweli?Mwizi ukaibe kanisani tena siku ya Ibada jumapili? Polisi wanasema mlinzi alimuona marehemu kwenye Banda la mbwa ndio akamuitia mwzi Cha kujiuliza mtu mwenye akili timamu kama Mandonjo akajifumbukize kwenye Banda la mbwa kweli?
Unaongea tu kana kwamba CCM wakikuwekea hata mil 5 umtukane utaweza kaza.Hawa wasanii sio wa kuwaonea huruma wakifulia, hebu ona wanavyoipamba CCM
Matukio kibao yanatokea nchii hii wako kimya hawatumii ushawishi wao kwenye jamii kukemea
Wakipatwa na matatizo eti jamii tuwakumbuke big NO
Kanye ulipokula
Ukisikiliza mazingira, hauwezi kuwalaumu saaaana, waliofanya hilo tukio. Haiwezekani mtu aje ajibanze nyumbani kwa mtu, ofisini, au kwenye nyumba ambayo sio kwao, wakati kuna giza. Hata ingekuwa ni mchana, lazima utajua kuwa huyo mtu ana nia ovu!Watoto wa 2000 kaka hawaelewi wao ku jaji tu bila ku reasons yaani mandojo akaibe kanisani siku ya ibada jumapili kweli?
Mbona maelezo yameelezwa na rafiki na ndugu zake kuhusu tukio zima.
mmezoea kupotosha na kupokea maneno matamu tamuHayajakukuta mkuu dunia duara, si vzr kuhukumu bila kujua
Sidhani mtu wa tittle kama mandojo akaibe kanisani! Realy?
Tuwe na adabu na kujudge taarifa za misiba aisee.