Kifo cha mashabiki wa WCB: Diamond anawafunza wasanii wenzake Public Relations

akil fupi kama mavi ya mbuzi Diamond ame engage kwenye misiba mingap? hadi useme anakuza jina? hiyo inaonesha ni kiasi gani anavyojali mashabiks zake ila si vinginevyo peleka huko mawazo yako ya kishetan
Fuatilia majibizano uelewe kwamba kuna mtu hapo juu alisema kwamba Diamond anafanya "public relations for brand promotion" kwenye msiba huu kama vile hilo ni jambo zuri.

Nikamwambia katika utamaduni wetu, msibani ni sehemu ya kutoa rambirambi na farajakwa wafiwa,kwaubinadamu tu,bilakutafuta "brand promotion", na kamaDiamond anafanya "public relations forbrand promotion" kwenye msiba, anakosea, kwa sababu msibani ni sehemu ya kufariji wafiwa, si sehemu ya ku promote brand ya Diamond.

Ndipo mjadala ulipotokea na kuendelea, mpaka mwenyewe aliyesema hivyo akakubalikwamba amekosea.

Haya nimajadilianoya kifalsafa kuhusu kamahilijambo la "public relations for brand promotion"msibani likoje, huyo aliyesema hilo huenda -most probably- hajuani na Diamond, kajivika ushabiki kiranga tu kuisemea team Diamond akifikiri anaisifu kwa ujuzi wake wa public relations stunts, na kusema ni mfano wa kuigwa na wasanii wengine, wakati kiukweli anaisema inafanya kituko cha kujitangaza kibiashara kwa kupitia misiba ya mashabiki.

Kabla ya kuchangia kwa jazaba, soma mjadala uelewe muktadha, mantiki, majibishano na mawazo ya wachangiaji.

Usije ukajichanganya kwa kujadili kisichosemwa na kutojadili kilichosemwa.
 
Subiri mitusi ya chupini kutoka kwa team kikaptula.
 
Kiukweli katika wasanii nawakubali ni diamond ingawa mi sipo timu yoyote labda team kibamia.nakumbuka kuna siku tumelewa na washkaji tukamwita diamond kizarau aroo we domo kuja hapa tupige picha!!!ajabu nilijua ataleta nyodo lakini alikuja akitabasam na akauliza km tumetosheka!toka siku hiyo nikamtofautisha na wasanii wote tanzania
 
Wcb ni company wapumzike kwa amani marehemu sikuzote mondi ni mtu wa watu.
 


Kwa nini unakomaa na ishu ya promotion? diamond haitaji msiba kukuza brand yake, yeye alichofanya ni kuonyesha upendo na kujali watu wanaompa sapoti.
 
Kwa nini unakomaa na ishu ya promotion? diamond haitaji msiba kukuza brand yake, yeye alichofanya ni kuonyesha upendo na kujali watu wanaompa sapoti.
Nakomaa na issue ya promotion kwa sababu mleta mada kandika kwamba timu ya Diamond kwenda kutoarambirambi msibani ni mbinu ya biashara. Kwamba timu ya Diamond inajua kutumiamisiba kujitangaza kibiashara. Kwamba hili ni jambo zuri ambalowengine hawajaweza kufanya.

Marigi akasema "ni public relation on how to create reputation, creadibility and image promotional, disseminate organisation brand ni pamoja na kushiriki community issues........"

Watu wanatetea Timu Diamond kutumia msiba kujitangaza na kujipaisha kibiashara kwa brand promotion.

Mimi nasema msiba uwe msiba tu, watu waende kufariji na kutoa rambirambi kwa misingi ya ubinadamu, siyo kufanya matangazo ya brand ili kujinufaisha kibiashara kupitia msiba, usichoelewa ni nini?

Umesoma na kufuatilia mjadala au unajiandikia tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…