Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Fuatilia majibizano uelewe kwamba kuna mtu hapo juu alisema kwamba Diamond anafanya "public relations for brand promotion" kwenye msiba huu kama vile hilo ni jambo zuri.akil fupi kama mavi ya mbuzi Diamond ame engage kwenye misiba mingap? hadi useme anakuza jina? hiyo inaonesha ni kiasi gani anavyojali mashabiks zake ila si vinginevyo peleka huko mawazo yako ya kishetan
Nikamwambia katika utamaduni wetu, msibani ni sehemu ya kutoa rambirambi na farajakwa wafiwa,kwaubinadamu tu,bilakutafuta "brand promotion", na kamaDiamond anafanya "public relations forbrand promotion" kwenye msiba, anakosea, kwa sababu msibani ni sehemu ya kufariji wafiwa, si sehemu ya ku promote brand ya Diamond.
Ndipo mjadala ulipotokea na kuendelea, mpaka mwenyewe aliyesema hivyo akakubalikwamba amekosea.
Haya nimajadilianoya kifalsafa kuhusu kamahilijambo la "public relations for brand promotion"msibani likoje, huyo aliyesema hilo huenda -most probably- hajuani na Diamond, kajivika ushabiki kiranga tu kuisemea team Diamond akifikiri anaisifu kwa ujuzi wake wa public relations stunts, na kusema ni mfano wa kuigwa na wasanii wengine, wakati kiukweli anaisema inafanya kituko cha kujitangaza kibiashara kwa kupitia misiba ya mashabiki.
Kabla ya kuchangia kwa jazaba, soma mjadala uelewe muktadha, mantiki, majibishano na mawazo ya wachangiaji.
Usije ukajichanganya kwa kujadili kisichosemwa na kutojadili kilichosemwa.