Kifo cha mashabiki wa WCB: Diamond anawafunza wasanii wenzake Public Relations

We jamaa kwa battle upo vizuri.
Naeleza tu baada ya kufikiri mambo kwa kina.

Kwa mwendo huu wa kufanya misiba sehemu ya "public relations for brand promotion" watu wataanza kusaini mikataba.

Mtu atasema, msiba wangu udhaminiwe na kampuni ya bia, nikifariki kampuni ya bia iilipe familiayangu, lakini kwenye msiba pote kuwe na matangazo ya kampuni ya bia.

You "monetize" your own death and funeral!

Na kidau kikiwa kikubwa sana, na familia yangu ina matatizo sana, nawahi kujiua tu ili mradi najua kampuni ya bia itailipa hela nzuri familia yangu, katika juhudi nzima za kufanya misiba iwe sehemu ya brand promotion.

A very sick predicament.

Ndiyo maana nasema kama wameenda kutoa rambirambi on humanitarian grounds,kwa mapenzi kwa mashabiki tu, kwa uchungu kwamba mashabiki wamefariki, hilo ni jambo zuri la kuigwa.

Lakini kama wameenda kwa public relations reasons kukuza brand, waandikwe, jina lipae, wameufanya msiba sehemu ya kujitangaza kibiashara, ni jambo baya sana.
 
Ni public relation, kwenye angle tunaita public/community engagement.
Si kwenye msiba.

Hiyounafanya kwenye kujenga visima huko au ku sponsor ligi za mchangani etc.

Soma post namba 23 na 28 hapo juu.
 
Usilazimishe hisia zako ndio uwe utaratibu maalum... Engagement ni dhana pana wewe kama upendi haizuii hiyo kuwa pr.
 
Kama unaenda kufanya public relations engegement kwenye msiba kwa lengo la kupaisha brand, kimsingi unafanya matangazo ya biashara kwa kupitia msiba.

Kiswahili hiyo ni habari ya uchuro.

Brand ikishuka na washabiki hawafi, utataka kuwaua ili upate nafasi ya kupandisha brand. Ndipo hapo watu watakaposema Diamond Freemason anatoa watu kafara kusafisha nyota.

Utakuwa umewapa msemo.
 
Naeleza tu baada ya kufikiri mambo kwa kina.

Kwa mwendo huu wa kufanya misiba sehemu ya "public relations for brand promotion" watu wataanza kusaini mikataba.

Mtu atasema, msiba wangu udhaminiwe na kampuni ya bia, nikifariki kampuni ya bia iilipe familiayangu, lakini kwenye msiba pote kuwe na matangazo ya kampuni ya bia.

You "monetize" your own death and funeral!

Na kidau kikiwa kikubwa sana, na familia yangu ina matatizo sana, nawahi kujiua tu ili mradi najua kampuni ya bia itailipa hela nzuri familia yangu, katika juhudi nzima za kufanya misiba iwe sehemu ya brand promotion.

A very sick predicament.

Ndiyo maana nasema kama wameenda kutoa rambirambi on humanitarian grounds,kwa mapenzi kwa mashabiki tu, kwa uchungu kwamba mashabiki wamefariki, hilo ni jambo zuri la kuigwa.

Lakini kama wameenda kwa public relations reasons kukuza brand, waandikwe, jina lipae, wameufanya msiba sehemu ya kujitangaza kibiashara, ni jambo baya sana.
Tafsiri yako imekua kubwa mno imetoka nje ya mada..Misiba mingapi inatokea Tanzania hatuoni yale yanayotokea akifa mtu maarufu?
Misururu ya magari na watu wazito walioacha shughuli zao michango mikubwa hutolewa,hotuba nzuri na mapambio mengi mengi pamoja na mashada ya maua ya bei kubwa..Wengine wanaprint tshirt kabisa.
Yanga wamemzika Athumani chama kwa heshima zote ni kwamba walikua wanafanya promotion?
Si jambo la ajabu alilolifanya Diamond tena ni la kuigwa sana.Mtu anaepoteza muda wake kukushabikia anapopata tatizo yy maana yake umepoteza sehemu ya kiungo chako..lzm uonyeshe kuguswa na wala sio promo kama unavyoitafsiri wewe.
Ameonyesha njia ...wengine waige ili mashabiki waone kumbe wanathamani.
 
Kama unaenda kufanya public relations engegement kwenye msiba kwa lengo la kupaisha brand, kimsingi unafanya matangazo ya biashara kwa kupitia msiba.

Kiswahili hiyo ni habari ya uchuro.

Brand ikishuka na washabiki hawafi, utataka kuwaua ili upate nafasi ya kupandisha brand.

Ndipo hapo watu watakaposema Diamond Freemason anatoa watu kafara kusafisha nyota.

Utakuwa umewapa msemo.

Public relations = uhusiano wa jamii

Engagement = ushiriki/uhusikaji

Wewe kwenye maelezo yako ata sielewi unazungumza kitu gani.
 
Kama unaenda kufanya public relations engegement kwenye msiba kwa lengo la kupaisha brand, kimsingi unafanya matangazo ya biashara kwa kupitia msiba.

Kiswahili hiyo ni habari ya uchuro.

Brand ikishuka na washabiki hawafi, utataka kuwaua ili upate nafasi ya kupandisha brand. Ndipo hapo watu watakaposema Diamond Freemason anatoa watu kafara kusafisha nyota.

Utakuwa umewapa msemo.
akil fupi kama mavi ya mbuzi Diamond ame engage kwenye misiba mingap? hadi useme anakuza jina? hiyo inaonesha ni kiasi gani anavyojali mashabiks zake ila si vinginevyo peleka huko mawazo yako ya kishetan
 
Iyo kweny market tunasema Ni social responsibility

Hongera zake an r I p ndugu zetu....
 
Tafsiri yako imekua kubwa mno imetoka nje ya mada..Misiba mingapi inatokea Tanzania hatuoni yale yanayotokea akifa mtu maarufu?
Misururu ya magari na watu wazito walioacha shughuli zao michango mikubwa hutolewa,hotuba nzuri na mapambio mengi mengi pamoja na mashada ya maua ya bei kubwa..Wengine wanaprint tshirt kabisa.
Yanga wamemzika Athumani chama kwa heshima zote ni kwamba walikua wanafanya promotion?
Si jambo la ajabu alilolifanya Diamond tena ni la kuigwa sana.Mtu anaepoteza muda wake kukushabikia anapopata tatizo yy maana yake umepoteza sehemu ya kiungo chako..lzm uonyeshe kuguswa na wala sio promo kama unavyoitafsiri wewe.
Ameonyesha njia ...wengine waige ili mashabiki waone kumbe wanathamani.
Watu wanazikana, wanachangiana, wanapeana rambirambi, sana tu, ndiyo utamaduni wetu, hili ni jambo zuri.

Ni moja kati ya tabia zinazomtenganisha binadamu na wanyamawengi, ni ubinadamu.

Nimesema hapo juu, kwamba, kama hili ndilo lililofanyika, ni mfano wa kuigwa, ni ubinadamu, ni jambo la heri.

Nilichokisema kwamba kitu kibaya ni hii habari ya kwenda kwenye msiba kufanya "public relations for brand promotion".

Unaelewa maana yake nini hiyo?

Maana yake unafanya msiba wa mtu kuwa ni sehemu ya kujitangaza biashara yako.

Hilo nijambo la kishenzi kwa wanaoelewa utamaduni wetu.

Soma vizuri nilivyoandika, naandikakwa nuance.

Usitake kunifanya nimepinga watu kupeana rambirambi misibani,siko huko.

Nachambua mambo kwa undanizaidi ya hapo.
 
Public relations = uhusiano wa jamii

Engagement = ushiriki/uhusikaji

Wewe kwenye maelezo yako ata sielewi unazungumza kitu gani.
Fuatilia majibizano yangu na niliowanukuu kuanziamwanzo ujue mwanzo wa mzozo nihabari nzimaya "public relations for brand promotion", kitu ambacho mwenyewe aliyekiandika hapo awali kabisa amekiri kwamba ameelewa kuwa si ubinadamu kufanya "public relations for brand promotion"kwenye msiba.

Unapochangia, soma kwanza uelewe muktadha wa majadiliano, usidandie tu kitu ambachohujui kimeanzaje kwa kunukuu maneno manne matano ambayoyana ufinyu wa muktadha na udhoofu wa mantiki..
 
Back
Top Bottom