Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Nchi hii hatuna Rais bali tuna mama mlezi wa taifa …… mitano tenaAkiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera.
Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe.
Natoa wito wa kusoma, tukio lile la kusikitisha linataka Kauli ya Amri ya Rais, sio sala na maombi huku watu wanaendelea kufa.
Kasimu ndo atatoa kauliAkiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera.
Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe.
Natoa wito wa kusoma, tukio lile la kusikitisha linataka Kauli ya Amri ya Rais, sio sala na maombi huku watu wanaendelea kufa.
yaani mkuu!hawa wanatakiwa kula shaba hadharani!sio kuwanyonga hakafu adhabu haitekelezwi watu wanakula ugali wa bure jela mpk wanazeeka!sio sawa kabisaaAcha tu! Katoto kamechinjwa kama kuku!! Wakipatikana na ushahidi, adhabu ni kifo.
Kanda ya ziwa watu wana roho mbaya sanaAkiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera.
Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe.
Natoa wito wa kusoma, tukio lile la kusikitisha linataka Kauli ya Amri ya Rais, sio sala na maombi huku watu wanaendelea kufa.
Kila mtu ana hulka yake anaposemea jambo,japo matokeo ni yaleyale,Rais asikitike kifo cha mtoto alafu wauaji wasipatikane!!?,Ingawa neno la ukali la Rais linapooza machungu ya wananchiAkiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera.
Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe.
Natoa wito wa kusoma, tukio lile la kusikitisha linataka Kauli ya Amri ya Rais, sio sala na maombi huku watu wanaendelea kufa.
Pia huamsha uwajibikaji, laiti angetoa tamko toka siku alipotangazwa kupotea kutokana na historia ya hawa watu kuwa kwenye mazingira magumu ya kuwindwa na kuuawa, pengine uhai wake ungenusurika. ndiomana baada tu ya maiti yake kupatikana na watuhumiwa wakakamatwa?Kila mtu ana hulka yake anaposemea jambo,japo matokeo ni yaleyale,Rais asikitike kifo cha mtoto alafu wauaji wasipatikane!!?,Ingawa neno la ukali la Rais linapooza machungu ya wananchi
Umeongea point, kuna wapumbavu walitoka jela kwa kesi ya ujambazi,halafu walivyofika uraiani wakarudia tena tabia yao, aisee sasaivi wapo kuzimu,Serikali ya Samia inapiga kazi kimya kimya.
Kama una ndugu jambazi utaniunga mkono kuwa ashatwaliwa kitambo, mafisadi wapo magerezani kimyakimya, Kila anayezingua anashikishwa adabu bila kelele.
Leo hii mabasi yanafanya kazi masaa 24 bila kutekwa Wala mikwara ya majambazi. Ujue Kuna wanaume wapo kazini 24hrs na SMG na laptop ili tuishi salama.
Kwenye hoja Yako: maelekezo aliyopewa RC na timu yake ni kimyakimya.
Kama una ndugu mganga wa kupiga ramli chonganishi utaketa ushuhuda muda sio mrefu.
Kuwa na adabuRais mbembelezaji huyu hana saut yoyote.hizi shida za kua na Rais mwanamke wanao endeshwa kwa hisia zaid ya akili