Supercomputer
JF-Expert Member
- Feb 13, 2021
- 634
- 1,311
kwani yeye ni nani kini sikitishe .kiufupi wewe unapenda watu maarufuTumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
Masogange alikuwa na wadhifa(mwanachama)gani huko CHADEMA?Kwangu mimi ni kifo cha JPM ila wanachadema wanalisikitishwa na kifo cha Masogange
Hakika masogange aliniuma, lile zigo lote chini daaah.....Kwangu mimi ni kifo cha JPM ila wanachadema wanalisikitishwa na kifo cha Masogange
🤔🤔🤔🤔sipati picha ungekabidhiwa.Sijui ungefanyaje!?Hakika masogange aliniuma, lile zigo lote chini daaah.....
😂😂ntoto jau sanaNtoto jero tu mboloshiiiii overnight
Marc Vivien FoeTumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
Mganga wa ChademaMasogange alikuwa na wadhifa(mwanachama)gani huko CHADEMA?
Wadudu huko chini walinenepaHakika masogange aliniuma, lile zigo lote chini daaah.....