ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Kabisaaa! Kumbe wewe ndo umenielewa vyemaKwa hiyo pande zote nne za dunia wanaitika salamu yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa! Kumbe wewe ndo umenielewa vyemaKwa hiyo pande zote nne za dunia wanaitika salamu yako?
Wajukuu wetu wanamjua huyu mwamba kweli?Mtihani(kwa sauti ya sheikh Kipoozeo)!Easy E..
Ukiona mtu kasikitika kifo cha Jiwe lazima atakuwa na sifa mbili kuu.Chadema wakipita kwenye huu uzi watachoka sana asubuhi mapema hii 😂
Edna wote ni wapole. 💖Wakina Agnes wote niliowaona wana mizigo
Tuchague majina ya kuwapa watoto kwa kweli mfano; Eliza wote ni wazuri ila wafupi😂
Kila mtu asikitike kivyake mana ww hakuna anayekupangia wa kumsikitikiaUkiona mtu kasikitika kifo cha Jiwe lazima atakuwa na sifa mbili kuu.
Mosi,masikini hana ajira au kama ajira mshahara wa kuunga unga.
Kama ni mfanyabiashara atakuwa wale walioruhusiwa kupanga bidhaa barabarani.
Pili,Ukiona ana msifu au kasikitika msiba wake atakuwa mjinga hajui dunia inavyokwenda.
Mtu yoyote anayeshabikia udikiteta wa Jiwe si binadamu wa kawaida ni mpumbavu.
Nchi ya watu million 60 unashabikia one man show Tanzania si Rwanda.
Msiba wa Jiwe uliliponya taifa,binafsi sikusikitika kwakuwa nilijua upendeleo wa Chato ungefikia kikomo.
Nilisikitika msiba wa
Nelson Mandela.
Julius Nyerere
Keneth Kaunda
Muamar Ghadaf
Kuvunjika kwa USSR.
Nasubiria chakooo mkuu kitaniumiza sanaaTumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
Usinikumbushemkuu ardhiiinamezaa achatuHakika masogange aliniuma, lile zigo lote chini daaah.....