Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.

Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
Sokoine na Magufuli.
 
Ukiona mtu kasikitika kifo cha Jiwe lazima atakuwa na sifa mbili kuu.

Mosi,masikini hana ajira au kama ajira mshahara wa kuunga unga.
Kama ni mfanyabiashara atakuwa wale walioruhusiwa kupanga bidhaa barabarani.

Pili,Ukiona ana msifu au kasikitika msiba wake atakuwa mjinga hajui dunia inavyokwenda.
Mtu yoyote anayeshabikia udikiteta wa Jiwe si binadamu wa kawaida ni mpumbavu.
Nchi ya watu million 60 unashabikia one man show Tanzania si Rwanda.

Msiba wa Jiwe uliliponya taifa,binafsi sikusikitika kwakuwa nilijua upendeleo wa Chato ungefikia kikomo.

Nilisikitika msiba wa
Nelson Mandela.
Julius Nyerere
Keneth Kaunda
Muamar Ghadaf
Kuvunjika kwa USSR.
Huu unatosha kuwa uzi unaojitegemea wenyewe..mkuu kama hutajali fungua uzi watu wachangie kwa nafasi.
 
Back
Top Bottom