Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Wengi tu

Whitney Houston
Michael Jackson
Steven Kanumba
Ruge mutahaba
Etc...
 
Lazima utetee kabila lako!
Ni wazuri wa sura, huyo mwenye shepu labda awe ameiba upande wa mama ila wachaga pure shepu ndo hizo nilizoorodhesha.
Apana mimi mama mchaga baba ni wakuja tanzania , mimi sio kabila lolote tanzania sema tu mama ndio mchaga na nimezaliwa uchagani nawajua vizuri
 
MZEE Lowasa aisee,Aliniuma cz alishindwa kutimiza ndoto yake kuwa Rais.
 
This was a tragedy among awoke black Americans. Since, he was the first black superhero. He was expected to bring laverage to Spider Man, Superman and other white super heroes who are role models to majority black American children. The death brought mixed feelings to the race.
 
KIFO CHA ALBERT KENETH MANGWAIR NDIO ULIKUA MWISHO WA KUFUKUZIA NDOTO YANGU PLAN A SASA NIPO NAPAMBANIA PLAN B
 
Mazishi yake yalikuwa live ktk tv sikumbuki ni station gani ile ila yalikuwa live.
Nilikuwa mdogo wakati anafariki so, sikuyaona maisha yake ila baada kukua na kuiona legacy yake. She was one in a million
 
Back
Top Bottom