The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
- JPM
- Diego Maradona
- Stephen Kanumba
- Ngwea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndo wale mnaosemaga "Hela ni vitu vya kupita tu"... kama huna cha kuandika bora ukae kimya.Hakuna mtu maarufu zaidi ya baba na mama yangu na mme pia.
Unajua huyo jamaa ni mpare?Kikubwa kama cha peter msechu😂
I wonder how you trim..teeeh😅😅😅😂Usidanganyike
😂Basi yaishe usije kuninyima likes zako bureehao wachache wa mjini waliojichubua wanakudanganya 😁😁😁😁😁
Najua! Ana kitambi lakini bado ni handsome😜🤸Unajua huyo jamaa ni mpare?
Usikute na wale jamaa wa humu wanaojiita ma hendisamu wana fikra kama hizi😁😁😁😁Najua! Ana kitambi lakini bado ni handsome😜🤸
Tumetoka njee ya mada ujue 😅😅😅😅Najua! Ana kitambi lakini bado ni handsome😜🤸
Usikute na wale jamaa wa humu wanaojiita ma hendisamu wana fikra kama hizi😁😁😁😁
Hamjapewa onyo pm?😂I wonder how you trim..teeeh😅😅😅
Mimi nimeshajirekebisha 🤗Hamjapewa onyo pm?😂
Naomba niondoke kabla sijala ban, kuna mod ni mchaga kanuna😂🤸
yesu sio mtu ni mungu muumbaYesu kristo
Wewe ni ME au KE? Unatupa utata zigo la masogange ulitaka kulifanya nini?Hakika masogange aliniuma, lile zigo lote chini daaah.....
Kuna watu wana mambo ya ajabu sana jf hukuWewe ni ME au KE? Unatupa utata zigo la masogange ulitaka kulifanya nini?
Johnyesu sio mtu ni mungu muumba