Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Mazishi yake yalikuwa live ktk tv sikumbuki ni station gani ile ila yalikuwa live.
Sikumbuki lolote ingawa najua kifo chake kilivunja rekodi ya matukio yaliyotazamwa zaidi ulimwenguni. Na hata hivyo huo mwaka sidhani kama kulikuwa na Tv home zaidi ya radio 😁
 
Baba yangu mzazi,huyu alikua maarufu kuanzia sijajitambua mpaka sasa,may his soul R.I.P,he was a real man,kifo chake kilibadili historia YETU.
 
Sikumbuki lolote ingawa najua kifo chake kilivunja rekodi ya matukio yaliyotazamwa zaidi ulimwenguni. Na hata hivyo huo mwaka sidhani kama kulikuwa na Tv home zaidi ya radio 😁
Hata sisi hatukuwa na TV ndugu yangu sema ilikuwa kama tulio fulani hivi kubwa so kulikuwa na watu wengi sana ktk mabaa yenye tv na sisi ndo tukaonea hapo.
 
Dr. Myles Monroe, yule wa Bahamas alikuja Nkrumah Hall nilikuwepo kumsikiliza.

Akaenda Nairobi. Siku anarudi kwao ndege ili CRUSH.

Nilisikitika sana. Speech yake nkrumahh alisema " Im ready to die i have exhausted all my potential"

Mbaya au nzuri kwake alikufa pamoja na mkewe.
Umenikumbusha Generali Mbita na Mimi nilimuona hapo hapo Nkrumah ndo ikawa mwisho wake.
 
Nikiyasoma hayo majina namkumbuka marehemu Samadu Hassan alivyokuwa anayatamka vizuri.
Kuna mtangazaji wa RFA anaitwa Zubeir Msabaha niliposikia Jamaa amefariki nikajua Jamaa ameacha pengo kubwa maana hakuna mtu mwingine yoyote anaeweza ku-fit kwenye kipindi chake cha Bolingo Time ni yeye pekee, Jamaa nilikua napenda alivyokua anatafasiri miziki ya Congo mingi nilikua nasikiliza na sielewi wanaimba nini maana sijui Kilingala wa kiCongo wala kiKasai
 
Back
Top Bottom