Kifo cha Mustafa Kamal Ataturk laana za allah zimshukie

Mustafa Kamal ataturk ni raisi wa kwanza wa Uturuki, atakumbukwa kuungana na dola za kikafiri Uengereza na Ufaransa kuivunja dola ya kiislamu ya Khilafah tarehe 3 Machi 1924 , na kuigawanya dola hiyo vijinchi vidogo vidogo na kuweka vibaraka wao katika uongozi ili kuongoza kwa maslahi yao. Mmoja wa vibaraka wao akawa ni huyu Mustafa kamal aliyenzisha taifa jipya na kuliita Turkey.
Baada ya Kuivunja dola ya kiislamu, Mustafa Kamal akapiga marufuku dini ya kiislamu nchini humo kama dini ya taifa hilo na kusema dini itenganishwe na maisha ya kawaida, na kupiga marufuku Lugha ya kiiarabu, kuadhiniwa kuadhiniwe kituruki, Quran ichapishwe kituruki, kalenda ya kiislamu ikatupiliwa mbali, wanaume wasivae kofia za kiislamu wavae za kimagharibi na tembo kuwa halali na baadhi ya misikiti kufungwa kama msikiti mkubwa wa Aya Sophia kufanywa makavazi.
Mwaka 1938, Mustafa kamal alianza kuuguwa ugonjwa wa maini uliyosababishwa na kunywa tembo kwa wingi, akawa anaugua akiwa kitandani katika kasri lake, Allah SWT Akamzidishia magonjwa ya kila aina hadi mwili wake mzima ukawa unawashwa kila mahali na kuhisi joto la ajabu mwilini.
Alikuwa akihisi mwili kushika moto hadi kupiga makelele mpaka kasri nzima inasikika kelele zake, Siku moja aliamrisha apelekwe katikati ya bahari ili apigwe na upepo wa bahari lakini haikuwa dawa joto likawa linazidi, mara yengine akaamrisha nyumba yake kumiminiwa maji na wazimamoto masaa 24 kupunguza joto analosikia lakini joto haliku tulia. Mara yengine anaamrisha wafanyikazi wake wamueke madonge ya barafu karibu na mwili wake pia haikumfaa.
Tarehe 26 Septemba 1938, alizidiwa hadi kupoteza fahamu kwa masaa 48 na kupelekea kupoteza akili, tarehe 9 Novemba, 1938 alipoteza fahamu tena kwa masaa 38 siku ya pili yake tarehe 10 Novemba akafariki dunia.
Mwili wake uliketi siku tisa bila ya kuoshwa baada ya mashekhe wote kukataa kuosha maiti yake hadi siku ya tisa alipokuja dadake kuwahimiza mashekhe kumosha na kumkafini.
Mwili wake ulipokuwa unaenda kuzikwa kaburini, MWILI WAKE UKAKATAA KUINGIA KABURINI NA ARDHI IKAMKATAA kila anapopelekwa hadi ikaamuliwa mwili wake kuhifadhiwa katikati ya majiwe ya aina ya Mar-mar na kuwekwa katika Makavazi ya kitaifa ya Etnagrafi katika mji mkuu wa Ankara, kwa muda wa miaka 15 hadi ilipofika mwaka 1953 mwili wake ukagurishwa na kupelekwa kuhifadhiwa katika Jumba moja juu ya mlima katika mji mkuu wa Ankara hadi leo hii viongozi mbali mbali pamoja na Raisi wa sasa wa Uturuki Erdogan wanakwenda kumzuru katika siku za makumbusho ya kifo chake.
Wanazuoni wa wakati huo walisikiwa wakisema, "Si ardhi tu ya Uturuki iloyomkataa mwili wake, bali hata ardhi ya ulimwengu mzima"View attachment 1193169
Zamani kulikuwa na viongoz. Sio sasa, unakuwa rais hadi mbunge tu anakufokea na huna la kumfanya.
 
Hakuna lolote hapo,Mashekhe tu walifanya yao,Maduadua ya vitabu vyao ndio yamemkuta huyo Mheshimiwa,ila si Mungu aliye zuia
kuna mazingira ambayo yalikuwa yakijitokeza yaliyo sababisha somehow kuwa na complications kwenye kuzika...
kutoka kwenye source haijaelezea vizuri ni complications zipi ila kwa kurefer kwa FIR-AUN "FARAOH" naeza elezea jinsi ardhi ilivyokuwa ikimkataa same applied to huyu jamaa.. ilikuwa hivi

Kila mwili ukizikwa ukafukiwa... baada ya mda kidogo unaonekana juu ya kaburi...
 
Mkuu ebu elezea vizuri ardhi kukataa mwili wake. Ni kwamba walivyochimba kaburi lake udongo ukawa hauchimbiki au shimo ulikuwa unajifunga wakitaka kuteremsha mwili? Naomba maelezo ya ziada tafadhali.
Ni aina ya ujanja ujanja wa dini tu hakuna lolote,kama kunaadhimishwa mpaka tarehe ya kifo chake na watu wa dini yake hiyo hiyo it means alikuwa mtu bora bado so hatuwezi kutegemea akaonekana shujaa hata kufikia kuenziwa.

Na huko kuhifadhiwa alihifadhiwa kama wafanywavyo watu wengine mashuhuri mleta mada hili siyo kwamba halijui analijua but ameongeza ardhi kumkataa ili wale wanaofanana nae akili wamshangilie.
 
sio story.kuna watu walikuwa na dhambi.
Kiasi cha kwamba walipokufa.kila wakizikwa leo.kesho maiti zao zipo juu ya makaburi Yao .
Uwiiiiii hizo ndizo zinaitwa story za kusadikika kama uliwahi kusikia.
.
Vijijini enzi za kama muongo mmoja tu uliopita wengine hadi sasa wanaamini kwamba maiti akifa akawa anatokwa damu puani wanasema eti maiti hakufa kihalali hivyo ataanza kusumbua usiku kama kukimbiza watu na kweli mida ya usiku watu hawapiti eneo la kaburi upunguani ulioje.
.
Kwanini sasa hivi hizo ardhi hazikatai watu au wazikwe watokee juu ya kaburi kesho yake huo ni uongo na unajua imani zingine za kishenzi shenzi tu
 
Huoni kama kaula, ni faida kwake. Tuseme jamaa Kaepuka zile adhabu za kaburi, sijui ng'e kama vumbi wanakung'ata puani masikioni, kuta za kuburi kukubana unashindwa kupumua, mara nyoka anakudonoa unaenda mpaka katika ya dunia afu unarudi tena juu. Ila nyie ndugu zangu story zenu, ngoja tu nikae kimya[emoji38][emoji38]
 
Mustafa Kamal ataturk ni raisi wa kwanza wa Uturuki, atakumbukwa kuungana na dola za Uengereza na Ufaransa kuivunja dola ya kiislamu ya Khilafah tarehe 3 Machi 1924 , na kuigawanya dola hiyo vijinchi vidogo vidogo na kuweka vibaraka wao katika uongozi ili kuongoza kwa maslahi yao. Mmoja wa vibaraka wao akawa ni huyu Mustafa kamal aliyenzisha taifa jipya na kuliita Turkey.

Baada ya Kuivunja dola ya kiislamu, Mustafa Kamal akapiga marufuku dini ya kiislamu nchini humo kama dini ya taifa hilo na kusema dini itenganishwe na maisha ya kawaida, na kupiga marufuku Lugha ya kiiarabu, kuadhiniwa kuadhiniwe kituruki, Quran ichapishwe kituruki, kalenda ya kiislamu ikatupiliwa mbali, wanaume wasivae kofia za kiislamu wavae za kimagharibi na tembo kuwa halali na baadhi ya misikiti kufungwa kama msikiti mkubwa wa Aya Sophia kufanywa makavazi.

Mwaka 1938, Mustafa kamal alianza kuuguwa ugonjwa wa maini uliyosababishwa na kunywa tembo kwa wingi, akawa anaugua akiwa kitandani katika kasri lake, Allah SWT Akamzidishia magonjwa ya kila aina hadi mwili wake mzima ukawa unawashwa kila mahali na kuhisi joto la ajabu mwilini.

Alikuwa akihisi mwili kushika moto hadi kupiga makelele mpaka kasri nzima inasikika kelele zake, Siku moja aliamrisha apelekwe katikati ya bahari ili apigwe na upepo wa bahari lakini haikuwa dawa joto likawa linazidi, mara yengine akaamrisha nyumba yake kumiminiwa maji na wazimamoto masaa 24 kupunguza joto analosikia lakini joto haliku tulia. Mara yengine anaamrisha wafanyikazi wake wamueke madonge ya barafu karibu na mwili wake pia haikumfaa.
Tarehe 26 Septemba 1938, alizidiwa hadi kupoteza fahamu kwa masaa 48 na kupelekea kupoteza akili, tarehe 9 Novemba, 1938 alipoteza fahamu tena kwa masaa 38 siku ya pili yake tarehe 10 Novemba akafariki dunia.

Mwili wake uliketi siku tisa bila ya kuoshwa baada ya mashekhe wote kukataa kuosha maiti yake hadi siku ya tisa alipokuja dadake kuwahimiza mashekhe kumosha na kumkafini.
Mwili wake ulipokuwa unaenda kuzikwa kaburini, MWILI WAKE UKAKATAA KUINGIA KABURINI NA ARDHI IKAMKATAA kila anapopelekwa hadi ikaamuliwa mwili wake kuhifadhiwa katikati ya majiwe ya aina ya Mar-mar na kuwekwa katika Makavazi ya kitaifa ya Etnagrafi katika mji mkuu wa Ankara, kwa muda wa miaka 15 hadi ilipofika mwaka 1953 mwili wake ukagurishwa na kupelekwa kuhifadhiwa katika Jumba moja juu ya mlima katika mji mkuu wa Ankara hadi leo hii viongozi mbali mbali pamoja na Raisi wa sasa wa Uturuki Erdogan wanakwenda kumzuru katika siku za makumbusho ya kifo chake.

Wanazuoni wa wakati huo walisikiwa wakisema, "Si ardhi tu ya Uturuki iloyomkataa mwili wake, bali hata ardhi ya ulimwengu mzima"View attachment 1193169

Huyo mzee ana akili sana!

Kutenganisha serikali na dini!

Dini ni upumbavu!

Na yeye kuumwa ni jambo la kawaida maana wanadamu wote huumwa na kufa kwa sababu mbalimbali!

Ndio maana Turkey ni developed country na nchi bora leo!

Anaheshimika huyo mzee mpaka Airport yao wameipa jina lake!

Such a visionary and very smart leader!
 
Msiwe wabishi hilo jambo ni kweli kabisa .Na alikuwa akizikwa ardhini kabisa kesho yake yupo juu ya ardhi kama ilivyo firauni.
Tafuteni watu waliosoma huko watakuambieni.
 
said mohamed Karibu na huku pia
Bujibuji,
Kifo na kuzikwa kwa Kemal Ataturk ni somo linalobeba maneno mengi sana.

Kuna wanaosema kuwa ardhi imemkataa kwa kule yeye kutozikwa ardhini.

Waliomuhifadhi ndani ya nyumba kuwa kaburi lake wanasema Ataturk alikuwa mtu mkubwa mwenye hadhi kubwa kujengewa jumba akahifadhiwa humo ndiyo stahili yake kuheshimu ukubwa na historia yake kama Baba wa Taifa la Uturuki.

Lakini jibu linaloshinda hoja hiyo ni kuwa Mtume Muhammad SAW kazikwa ardhini Madina juu ya kuwa yeye cheo chake ni Mtume wa Allah aliyeumba mbingu na ardhi na mitume yote imezikwa ardhini isipokuwa Issa bin Mariam ambae Allah alimnyanyua mbinguni.

Muislam hachomwi wala hahifadhiwi popote ila sheria inataka azikwe ardhini.
 
Mkuu ebu elezea vizuri ardhi kukataa mwili wake. Ni kwamba walivyochimba kaburi lake udongo ukawa hauchimbiki au shimo ulikuwa unajifunga wakitaka kuteremsha mwili? Naomba maelezo ya ziada tafadhali.

Mkuu, mimi naomba nichangie kidogo katika mada hii ya "ardhi kukataa mwili yaani maiti".

Hiyo ni lugha ya tamathali, maana yake ni kwamba wakati wa kuchimba kaburi, huwa kunatokea vikwazo visivyotarajiwa, mfano mnaweza kuchimba kaburi hatua chache mkakuta mwamba mkubwa, mnapohamia sehemu nyingine mkichimba katika hatua ya mwisho tu mara udongo unaporomoka ndani na hapo inakuwa shughuli pevu kweli au inaweza kunyesha mvua kubwa kabla ya kuzika na kaburi likajaa maji au akatokea nyoka ndani ya kaburi na watu wakasambaratika na kazi ikasimama na kuanza kumtoa nyoka kaburini au mnapochimba kabla ya kufika kina mara chemchem ya maji inaanza kutoka bila matarajio, ni katika hali za aina hiyo zinazofululiza kwa wakati mmoja kwa ajili ya maiti moja ndipo watu husema kwa tamathali ( methali) kwamba ardhi imekataa maiti, na katika hali kama hiyo watu huzika maiti kwa kulazimisha, mfano kama maji yatatokea kaburini basi watamwagia mchanga mkavu na haraka wataweka maiti na kuifukia.

Ni hali kama hizo ndipo watu husema ardhi imekataa maiti, lakini sio kwamba ardhi huitoa maiti kutoka kaburini ilimozikwa. Tamathali za aina hiyo ni nyingi, mfano mtu akikuambia "tupa macho mbele" maana ya methali hiyo ni "uangalie mbele" na wala sio uyatoe kutoka kichwani macho yako na uyatupe.😜😜
 
Aksante kwa ufafanuzi mkuu. Kwenye hayo mazingira kwetu kule kijijini tunaamini maiti ndo haitaki kuzikwa. Nakumbuka nikiwa mdogo kuna mzee moja alisema akifa mwili wake uzikwe kwenye zizi lake la ng'ombe na baada ya mazishi ng'ombe waruhusiwe kutumia hilo zizi kama kawaida. Mzee alipofariki, vijana wake wakaona wamhifadhi mwili wa mzee wao sehemu nzuri ili hata wageni wanakuja wapate kuzuru kaburi wa mpendwa wao kirahisi. Kimbembe ilikuja kila wanapochimba mwamba unatokea, mara udongo unaporomoka mpaka wakaamua kuchimba zizini na hakukuwa na matatizo na wakazika salama. So kwa hapa tunaweza kusema ni maiti ndo haikutaka kuzikwa anyhow. Labda ndicho kilichotokea kwa mwamba huyu.
 
Sawa .baki na Imani yako
Uwiiiiii hizo ndizo zinaitwa story za kusadikika kama uliwahi kusikia.
.
Vijijini enzi za kama muongo mmoja tu uliopita wengine hadi sasa wanaamini kwamba maiti akifa akawa anatokwa damu puani wanasema eti maiti hakufa kihalali hivyo ataanza kusumbua usiku kama kukimbiza watu na kweli mida ya usiku watu hawapiti eneo la kaburi upunguani ulioje.
.
Kwanini sasa hivi hizo ardhi hazikatai watu au wazikwe watokee juu ya kaburi kesho yake huo ni uongo na unajua imani zingine za kishenzi shenzi tu
 
adhabu ya MUNGU hauwezi kuikimbia
Huoni kama kaula, ni faida kwake. Tuseme jamaa Kaepuka zile adhabu za kaburi, sijui ng'e kama vumbi wanakung'ata puani masikioni, kuta za kuburi kukubana unashindwa kupumua, mara nyoka anakudonoa unaenda mpaka katika ya dunia afu unarudi tena juu. Ila nyie ndugu zangu story zenu, ngoja tu nikae kimya[emoji38][emoji38]
 
Mustafa Kamal ataturk ni raisi wa kwanza wa Uturuki, atakumbukwa kuungana na dola za Uengereza na Ufaransa kuivunja dola ya kiislamu ya Khilafah tarehe 3 Machi 1924 , na kuigawanya dola hiyo vijinchi vidogo vidogo na kuweka vibaraka wao katika uongozi ili kuongoza kwa maslahi yao. Mmoja wa vibaraka wao akawa ni huyu Mustafa kamal aliyenzisha taifa jipya na kuliita Turkey.

Baada ya Kuivunja dola ya kiislamu, Mustafa Kamal akapiga marufuku dini ya kiislamu nchini humo kama dini ya taifa hilo na kusema dini itenganishwe na maisha ya kawaida, na kupiga marufuku Lugha ya kiiarabu, kuadhiniwa kuadhiniwe kituruki, Quran ichapishwe kituruki, kalenda ya kiislamu ikatupiliwa mbali, wanaume wasivae kofia za kiislamu wavae za kimagharibi na tembo kuwa halali na baadhi ya misikiti kufungwa kama msikiti mkubwa wa Aya Sophia kufanywa makavazi.

Mwaka 1938, Mustafa kamal alianza kuuguwa ugonjwa wa maini uliyosababishwa na kunywa tembo kwa wingi, akawa anaugua akiwa kitandani katika kasri lake, Allah SWT Akamzidishia magonjwa ya kila aina hadi mwili wake mzima ukawa unawashwa kila mahali na kuhisi joto la ajabu mwilini.

Alikuwa akihisi mwili kushika moto hadi kupiga makelele mpaka kasri nzima inasikika kelele zake, Siku moja aliamrisha apelekwe katikati ya bahari ili apigwe na upepo wa bahari lakini haikuwa dawa joto likawa linazidi, mara yengine akaamrisha nyumba yake kumiminiwa maji na wazimamoto masaa 24 kupunguza joto analosikia lakini joto haliku tulia. Mara yengine anaamrisha wafanyikazi wake wamueke madonge ya barafu karibu na mwili wake pia haikumfaa.
Tarehe 26 Septemba 1938, alizidiwa hadi kupoteza fahamu kwa masaa 48 na kupelekea kupoteza akili, tarehe 9 Novemba, 1938 alipoteza fahamu tena kwa masaa 38 siku ya pili yake tarehe 10 Novemba akafariki dunia.

Mwili wake uliketi siku tisa bila ya kuoshwa baada ya mashekhe wote kukataa kuosha maiti yake hadi siku ya tisa alipokuja dadake kuwahimiza mashekhe kumosha na kumkafini.
Mwili wake ulipokuwa unaenda kuzikwa kaburini, MWILI WAKE UKAKATAA KUINGIA KABURINI NA ARDHI IKAMKATAA kila anapopelekwa hadi ikaamuliwa mwili wake kuhifadhiwa katikati ya majiwe ya aina ya Mar-mar na kuwekwa katika Makavazi ya kitaifa ya Etnagrafi katika mji mkuu wa Ankara, kwa muda wa miaka 15 hadi ilipofika mwaka 1953 mwili wake ukagurishwa na kupelekwa kuhifadhiwa katika Jumba moja juu ya mlima katika mji mkuu wa Ankara hadi leo hii viongozi mbali mbali pamoja na Raisi wa sasa wa Uturuki Erdogan wanakwenda kumzuru katika siku za makumbusho ya kifo chake.

Wanazuoni wa wakati huo walisikiwa wakisema, "Si ardhi tu ya Uturuki iloyomkataa mwili wake, bali hata ardhi ya ulimwengu mzima"View attachment 1193169
Eti ardhi "Ikamkataa" ha ha ha jamani imani nyingine hizi muwe mnapunguza uongo
 
kuna mazingira ambayo yalikuwa yakijitokeza yaliyo sababisha somehow kuwa na complications kwenye kuzika...
kutoka kwenye source haijaelezea vizuri ni complications zipi ila kwa kurefer kwa FIR-AUN "FARAOH" naeza elezea jinsi ardhi ilivyokuwa ikimkataa same applied to huyu jamaa.. ilikuwa hivi

Kila mwili ukizikwa ukafukiwa... baada ya mda kidogo unaonekana juu ya kaburi...
We!! acha uongo wewe!! mwili unarudije juu? au unafukuliwa na fisi?
 
Huyo mzee ana akili sana!

Kutenganisha serikali na dini!

Dini ni upumbavu!

Na yeye kuumwa ni jambo la kawaida maana wanadamu wote huumwa na kufa kwa sababu mbalimbali!

Ndio maana Turkey ni developed country na nchi bora leo!

Anaheshimika huyo mzee mpaka Airport yao wameipa jina lake!

Such a visionary and very smart leader!
Ndugu zangu,
Huu mjadala utakuwa wenye manufaa kama tutajiepusha na kejeli na ghadhabu
tukauliza maswali kiungwana na kutoa majibu kiungwana vilevile.

Historia ya Kemal Ataturk ina mengi ya kuzingatiwa lakini ikiwa mwelekeo ni huu
tutaishia kutukanana na kukashifiana dini zetu.
 
Back
Top Bottom