Kifo cha Mustafa Kamal Ataturk laana za allah zimshukie

Mustafa Kamal ataturk ni raisi wa kwanza wa Uturuki, atakumbukwa kuungana na dola za Uengereza na Ufaransa kuivunja dola ya kiislamu ya Khilafah tarehe 3 Machi 1924 , na kuigawanya dola hiyo vijinchi vidogo vidogo na kuweka vibaraka wao katika uongozi ili kuongoza kwa maslahi yao. Mmoja wa vibaraka wao akawa ni huyu Mustafa kamal aliyenzisha taifa jipya na kuliita Turkey.

Baada ya Kuivunja dola ya kiislamu, Mustafa Kamal akapiga marufuku dini ya kiislamu nchini humo kama dini ya taifa hilo na kusema dini itenganishwe na maisha ya kawaida, na kupiga marufuku Lugha ya kiiarabu, kuadhiniwa kuadhiniwe kituruki, Quran ichapishwe kituruki, kalenda ya kiislamu ikatupiliwa mbali, wanaume wasivae kofia za kiislamu wavae za kimagharibi na tembo kuwa halali na baadhi ya misikiti kufungwa kama msikiti mkubwa wa Aya Sophia kufanywa makavazi.

Mwaka 1938, Mustafa kamal alianza kuuguwa ugonjwa wa maini uliyosababishwa na kunywa tembo kwa wingi, akawa anaugua akiwa kitandani katika kasri lake, Allah SWT Akamzidishia magonjwa ya kila aina hadi mwili wake mzima ukawa unawashwa kila mahali na kuhisi joto la ajabu mwilini.

Alikuwa akihisi mwili kushika moto hadi kupiga makelele mpaka kasri nzima inasikika kelele zake, Siku moja aliamrisha apelekwe katikati ya bahari ili apigwe na upepo wa bahari lakini haikuwa dawa joto likawa linazidi, mara yengine akaamrisha nyumba yake kumiminiwa maji na wazimamoto masaa 24 kupunguza joto analosikia lakini joto haliku tulia. Mara yengine anaamrisha wafanyikazi wake wamueke madonge ya barafu karibu na mwili wake pia haikumfaa.
Tarehe 26 Septemba 1938, alizidiwa hadi kupoteza fahamu kwa masaa 48 na kupelekea kupoteza akili, tarehe 9 Novemba, 1938 alipoteza fahamu tena kwa masaa 38 siku ya pili yake tarehe 10 Novemba akafariki dunia.

Mwili wake uliketi siku tisa bila ya kuoshwa baada ya mashekhe wote kukataa kuosha maiti yake hadi siku ya tisa alipokuja dadake kuwahimiza mashekhe kumosha na kumkafini.
Mwili wake ulipokuwa unaenda kuzikwa kaburini, MWILI WAKE UKAKATAA KUINGIA KABURINI NA ARDHI IKAMKATAA kila anapopelekwa hadi ikaamuliwa mwili wake kuhifadhiwa katikati ya majiwe ya aina ya Mar-mar na kuwekwa katika Makavazi ya kitaifa ya Etnagrafi katika mji mkuu wa Ankara, kwa muda wa miaka 15 hadi ilipofika mwaka 1953 mwili wake ukagurishwa na kupelekwa kuhifadhiwa katika Jumba moja juu ya mlima katika mji mkuu wa Ankara hadi leo hii viongozi mbali mbali pamoja na Raisi wa sasa wa Uturuki Erdogan wanakwenda kumzuru katika siku za makumbusho ya kifo chake.

Wanazuoni wa wakati huo walisikiwa wakisema, "Si ardhi tu ya Uturuki iloyomkataa mwili wake, bali hata ardhi ya ulimwengu mzima"View attachment 1193169
Hii kali...

Hii chai imekolea tangawizi..
 
Nyie jamaa bana... Kwahiyo Allah hasikii kugha yeyote isipokuwa kiarabu? Pia kibagarashee na kanzu ndo nguo za mwenyezi Allah?
 
Ni aina ya ujanja ujanja wa dini tu hakuna lolote,kama kunaadhimishwa mpaka tarehe ya kifo chake na watu wa dini yake hiyo hiyo it means alikuwa mtu bora bado so hatuwezi kutegemea akaonekana shujaa hata kufikia kuenziwa.

Na huko kuhifadhiwa alihifadhiwa kama wafanywavyo watu wengine mashuhuri mleta mada hili siyo kwamba halijui analijua but ameongeza ardhi kumkataa ili wale wanaofanana nae akili wamshangilie.
Na ndiye baba wa taifa la uturuki, waarabu wanataka lugha na tamaduni zao zienee mataifa ya wenzao ambayo waliyakuta na tamaduni zao
 
Kachagua amani na uzima WE ULITAKA ACHAGUE HADITHI ZA MA BIKIRA 72 UKAZANI KWELI NENDA KAFANYE KAZI MSHAMVA WW
Mustafa Kamal ataturk ni raisi wa kwanza wa Uturuki, atakumbukwa kuungana na dola za Uengereza na Ufaransa kuivunja dola ya kiislamu ya Khilafah tarehe 3 Machi 1924 , na kuigawanya dola hiyo vijinchi vidogo vidogo na kuweka vibaraka wao katika uongozi ili kuongoza kwa maslahi yao. Mmoja wa vibaraka wao akawa ni huyu Mustafa kamal aliyenzisha taifa jipya na kuliita Turkey.

Baada ya Kuivunja dola ya kiislamu, Mustafa Kamal akapiga marufuku dini ya kiislamu nchini humo kama dini ya taifa hilo na kusema dini itenganishwe na maisha ya kawaida, na kupiga marufuku Lugha ya kiiarabu, kuadhiniwa kuadhiniwe kituruki, Quran ichapishwe kituruki, kalenda ya kiislamu ikatupiliwa mbali, wanaume wasivae kofia za kiislamu wavae za kimagharibi na tembo kuwa halali na baadhi ya misikiti kufungwa kama msikiti mkubwa wa Aya Sophia kufanywa makavazi.

Mwaka 1938, Mustafa kamal alianza kuuguwa ugonjwa wa maini uliyosababishwa na kunywa tembo kwa wingi, akawa anaugua akiwa kitandani katika kasri lake, Allah SWT Akamzidishia magonjwa ya kila aina hadi mwili wake mzima ukawa unawashwa kila mahali na kuhisi joto la ajabu mwilini.

Alikuwa akihisi mwili kushika moto hadi kupiga makelele mpaka kasri nzima inasikika kelele zake, Siku moja aliamrisha apelekwe katikati ya bahari ili apigwe na upepo wa bahari lakini haikuwa dawa joto likawa linazidi, mara yengine akaamrisha nyumba yake kumiminiwa maji na wazimamoto masaa 24 kupunguza joto analosikia lakini joto haliku tulia. Mara yengine anaamrisha wafanyikazi wake wamueke madonge ya barafu karibu na mwili wake pia haikumfaa.
Tarehe 26 Septemba 1938, alizidiwa hadi kupoteza fahamu kwa masaa 48 na kupelekea kupoteza akili, tarehe 9 Novemba, 1938 alipoteza fahamu tena kwa masaa 38 siku ya pili yake tarehe 10 Novemba akafariki dunia.

Mwili wake uliketi siku tisa bila ya kuoshwa baada ya mashekhe wote kukataa kuosha maiti yake hadi siku ya tisa alipokuja dadake kuwahimiza mashekhe kumosha na kumkafini.
Mwili wake ulipokuwa unaenda kuzikwa kaburini, MWILI WAKE UKAKATAA KUINGIA KABURINI NA ARDHI IKAMKATAA kila anapopelekwa hadi ikaamuliwa mwili wake kuhifadhiwa katikati ya majiwe ya aina ya Mar-mar na kuwekwa katika Makavazi ya kitaifa ya Etnagrafi katika mji mkuu wa Ankara, kwa muda wa miaka 15 hadi ilipofika mwaka 1953 mwili wake ukagurishwa na kupelekwa kuhifadhiwa katika Jumba moja juu ya mlima katika mji mkuu wa Ankara hadi leo hii viongozi mbali mbali pamoja na Raisi wa sasa wa Uturuki Erdogan wanakwenda kumzuru katika siku za makumbusho ya kifo chake.

Wanazuoni wa wakati huo walisikiwa wakisema, "Si ardhi tu ya Uturuki iloyomkataa mwili wake, bali hata ardhi ya ulimwengu mzima"View attachment 1193169
 
Wenzetu hawa wanaamini mambo ya ajabu kabisa.
Mbona nyie munakesha kwa Mwamposa mukiaminishwa kuwa Ngwengwe linapona kwa kuombewa na mjasiliamari huyo hasiyekuwa na hata chembe ya uruma kwa kukusanya vicenti vya nyie mafukara wa kutupwa!?
 
Ardhi haimkatai mtu, uislamu na ukristu ni mambo ya dunia tu, Mungu wa kweli anapatikana katika jadi yako.
 
kwa wale wanaojua kidhungu habar ya huyo mwamba hiihapa.
 
Attachments

  • Screenshot_20240922-195440_Chrome.jpg
    Screenshot_20240922-195440_Chrome.jpg
    288.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240922-195503_Chrome.jpg
    Screenshot_20240922-195503_Chrome.jpg
    166.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom