Kifo cha Mustafa Kamal Ataturk laana za allah zimshukie

Ukiandika DNA inatosha, halafu ukaandika unahitaji Quran kama ukumbusho wako, ume ji contradict halafu hata hujui kwamba ume ji contradict.
Hakika ya Mwanadamu ni mwingi ya kusahau...hivyo anahitaji UKUMBUSHO!
 
Mungu wako kashindwa kuweka ukumbusho huo katika DNA?

Umeandika DNA inatosha, mara tunahitaji ukumbusho wa Quran.

Unaelewa hata unachoandika mwenyewe?

DNA inatosha au tunahitaji ukumbusho wa Quran?
 
Huyu jamaa mwongo tuu
Amekaririshwa uongo huyo.Mtu aliyekataliwa aweza vipi kupewa hadhi ya baba wa taifa.Uwanja wa taifa uliopo Istanbul ambayo ni Constantinople ya kale unaitwa jina lake na kasema viongozi husherekea siku ya kuzaliwa awake ili iweje iwapo alikataliwa? Ikumbukwe Aturtuk ndiye aliyeuokoa mji wa Istanbul usitekwe ma majeshi ya washirika wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia.Dola La Ottoman lilikuwa lazima livunjike maana lilikuwa limejisahau kwa kuendekeza uhafidhina.Wakubwa wa magharibi walishaamua lazima litoweke.Zionists nao walikuwa wamezidishi hara kat I kudai ta if a lao kumbuka Balfour Declaration.
 
kuna mazingira ambayo yalikuwa yakijitokeza yaliyo sababisha somehow kuwa na complications kwenye kuzika...
kutoka kwenye source haijaelezea vizuri ni complications zipi ila kwa kurefer kwa FIR-AUN "FARAOH" naeza elezea jinsi ardhi ilivyokuwa ikimkataa same applied to huyu jamaa.. ilikuwa hivi

Kila mwili ukizikwa ukafukiwa... baada ya mda kidogo unaonekana juu ya kaburi...
Batman vs superman with Dr Strange behind
 
Mustafa Kamal ataturk ni raisi wa kwanza wa Uturuki, atakumbukwa kuungana na dola za Uengereza na Ufaransa kuivunja dola ya kiislamu ya Khilafah tarehe 3 Machi 1924 , na kuigawanya dola hiyo vijinchi vidogo vidogo na kuweka vibaraka wao katika uongozi ili kuongoza kwa maslahi yao. Mmoja wa vibaraka wao akawa ni huyu Mustafa kamal aliyenzisha taifa jipya na kuliita Turkey.

Baada ya Kuivunja dola ya kiislamu, Mustafa Kamal akapiga marufuku dini ya kiislamu nchini humo kama dini ya taifa hilo na kusema dini itenganishwe na maisha ya kawaida, na kupiga marufuku Lugha ya kiiarabu, kuadhiniwa kuadhiniwe kituruki, Quran ichapishwe kituruki, kalenda ya kiislamu ikatupiliwa mbali, wanaume wasivae kofia za kiislamu wavae za kimagharibi na tembo kuwa halali na baadhi ya misikiti kufungwa kama msikiti mkubwa wa Aya Sophia kufanywa makavazi.

Mwaka 1938, Mustafa kamal alianza kuuguwa ugonjwa wa maini uliyosababishwa na kunywa tembo kwa wingi, akawa anaugua akiwa kitandani katika kasri lake, Allah SWT Akamzidishia magonjwa ya kila aina hadi mwili wake mzima ukawa unawashwa kila mahali na kuhisi joto la ajabu mwilini.

Alikuwa akihisi mwili kushika moto hadi kupiga makelele mpaka kasri nzima inasikika kelele zake, Siku moja aliamrisha apelekwe katikati ya bahari ili apigwe na upepo wa bahari lakini haikuwa dawa joto likawa linazidi, mara yengine akaamrisha nyumba yake kumiminiwa maji na wazimamoto masaa 24 kupunguza joto analosikia lakini joto haliku tulia. Mara yengine anaamrisha wafanyikazi wake wamueke madonge ya barafu karibu na mwili wake pia haikumfaa.
Tarehe 26 Septemba 1938, alizidiwa hadi kupoteza fahamu kwa masaa 48 na kupelekea kupoteza akili, tarehe 9 Novemba, 1938 alipoteza fahamu tena kwa masaa 38 siku ya pili yake tarehe 10 Novemba akafariki dunia.

Mwili wake uliketi siku tisa bila ya kuoshwa baada ya mashekhe wote kukataa kuosha maiti yake hadi siku ya tisa alipokuja dadake kuwahimiza mashekhe kumosha na kumkafini.
Mwili wake ulipokuwa unaenda kuzikwa kaburini, MWILI WAKE UKAKATAA KUINGIA KABURINI NA ARDHI IKAMKATAA kila anapopelekwa hadi ikaamuliwa mwili wake kuhifadhiwa katikati ya majiwe ya aina ya Mar-mar na kuwekwa katika Makavazi ya kitaifa ya Etnagrafi katika mji mkuu wa Ankara, kwa muda wa miaka 15 hadi ilipofika mwaka 1953 mwili wake ukagurishwa na kupelekwa kuhifadhiwa katika Jumba moja juu ya mlima katika mji mkuu wa Ankara hadi leo hii viongozi mbali mbali pamoja na Raisi wa sasa wa Uturuki Erdogan wanakwenda kumzuru katika siku za makumbusho ya kifo chake.

Wanazuoni wa wakati huo walisikiwa wakisema, "Si ardhi tu ya Uturuki iloyomkataa mwili wake, bali hata ardhi ya ulimwengu mzima"View attachment 1193169
UBAYA UBWELA
 
Bujibuji,
Kifo na kuzikwa kwa Kemal Ataturk ni somo linalobeba maneno mengi sana.

Kuna wanaosema kuwa ardhi imemkataa kwa kule yeye kutozikwa ardhini.

Waliomuhifadhi ndani ya nyumba kuwa kaburi lake wanasema Ataturk alikuwa mtu mkubwa mwenye hadhi kubwa kujengewa jumba akahifadhiwa humo ndiyo stahili yake kuheshimu ukubwa na historia yake kama Baba wa Taifa la Uturuki.

Lakini jibu linaloshinda hoja hiyo ni kuwa Mtume Muhammad SAW kazikwa ardhini Madina juu ya kuwa yeye cheo chake ni Mtume wa Allah aliyeumba mbingu na ardhi na mitume yote imezikwa ardhini isipokuwa Issa bin Mariam ambae Allah alimnyanyua mbinguni.

Muislam hachomwi wala hahifadhiwi popote ila sheria inataka azikwe ardhini.
Quran inasemaje kwanini Allah hakumnyanyua Mohamed mbinguni?
 
Huyo mzee ana akili sana!

Kutenganisha serikali na dini!

Dini ni upumbavu!

Na yeye kuumwa ni jambo la kawaida maana wanadamu wote huumwa na kufa kwa sababu mbalimbali!

Ndio maana Turkey ni developed country na nchi bora leo!

Anaheshimika huyo mzee mpaka Airport yao wameipa jina lake!

Such a visionary and very smart leader!
Sio Airport tu hadi uwanja wa mpira upo unaitwa Mustafa Kermal Ataturk
 
Kiranga,
Nimecheka.
Qur'an imeandikwa kwa lugha ya Kiarabu na ili uweze kufanya tafsiri ni lazima
uijue lugha hiyo vizuri vinginenevyo ndiyo hayo.

Mimi nitakupa mfano mmoja tu wala sina haja kukujibu yote hayo.
Nakupa mfano huu wa Kiswahili.

Mtu anamweleza mwingine anasema, ''Huyu si mtu.''

Tafsiri yake kama wewe si msemaji wa Kiswahili kama lugha yako maana yake si binadamu labda ni kiumbe kingine.

Lakini maana yake huyu ni mtu mbaya.

Mzungu anaivamia Qur'an kutafuta makosa anajikwaa yeye na kuwa kichekesho.

Huwezi kukitoa makosa kitu ambacho hukijui.
    1. Fight those who believe not in Allah nor the Last Day, nor hold that forbidden which hath been forbidden by Allah and His Messenger, nor acknowledge the religion of Truth, (even if they are) of the People of the Book, until they pay the Jizya with willing submission, and feel themselves subdued," (9:29).
Hii mbaya sana aiseee!
 
Amekaririshwa uongo huyo.Mtu aliyekataliwa aweza vipi kupewa hadhi ya baba wa taifa.Uwanja wa taifa uliopo Istanbul ambayo ni Constantinople ya kale unaitwa jina lake na kasema viongozi husherekea siku ya kuzaliwa awake ili iweje iwapo alikataliwa? Ikumbukwe Aturtuk ndiye aliyeuokoa mji wa Istanbul usitekwe ma majeshi ya washirika wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia.Dola La Ottoman lilikuwa lazima livunjike maana lilikuwa limejisahau kwa kuendekeza uhafidhina.Wakubwa wa magharibi walishaamua lazima litoweke.Zionists nao walikuwa wamezidishi hara kat I kudai ta if a lao kumbuka Balfour Declaration.
Hawa jamaa wanalishana matango pori hadi sio poa.
 
    1. Fight those who believe not in Allah nor the Last Day, nor hold that forbidden which hath been forbidden by Allah and His Messenger, nor acknowledge the religion of Truth, (even if they are) of the People of the Book, until they pay the Jizya with willing submission, and feel themselves subdued," (9:29).
Hii mbaya sana aiseee!
Jizya ni kodi, muislam anatoa zakkat,asiye muislam anatoa jizya,kutolipa kodi ni uhaini, unataka kuangusha dola,sharti udundwe,alipokufa mtume kuna mji wa waislam waligoma kulipa zakkat, khalifa abu bakri akawadunda kwelikweli,wakarudi kulipa
 
Hii chai tamu sana, sikuwa nimeiona.
Mustafa Kamal ataturk ni raisi wa kwanza wa Uturuki, atakumbukwa kuungana na dola za Uengereza na Ufaransa kuivunja dola ya kiislamu ya Khilafah tarehe 3 Machi 1924 , na kuigawanya dola hiyo vijinchi vidogo vidogo na kuweka vibaraka wao katika uongozi ili kuongoza kwa maslahi yao. Mmoja wa vibaraka wao akawa ni huyu Mustafa kamal aliyenzisha taifa jipya na kuliita Turkey.

Baada ya Kuivunja dola ya kiislamu, Mustafa Kamal akapiga marufuku dini ya kiislamu nchini humo kama dini ya taifa hilo na kusema dini itenganishwe na maisha ya kawaida, na kupiga marufuku Lugha ya kiiarabu, kuadhiniwa kuadhiniwe kituruki, Quran ichapishwe kituruki, kalenda ya kiislamu ikatupiliwa mbali, wanaume wasivae kofia za kiislamu wavae za kimagharibi na tembo kuwa halali na baadhi ya misikiti kufungwa kama msikiti mkubwa wa Aya Sophia kufanywa makavazi.

Mwaka 1938, Mustafa kamal alianza kuuguwa ugonjwa wa maini uliyosababishwa na kunywa tembo kwa wingi, akawa anaugua akiwa kitandani katika kasri lake, Allah SWT Akamzidishia magonjwa ya kila aina hadi mwili wake mzima ukawa unawashwa kila mahali na kuhisi joto la ajabu mwilini.

Alikuwa akihisi mwili kushika moto hadi kupiga makelele mpaka kasri nzima inasikika kelele zake, Siku moja aliamrisha apelekwe katikati ya bahari ili apigwe na upepo wa bahari lakini haikuwa dawa joto likawa linazidi, mara yengine akaamrisha nyumba yake kumiminiwa maji na wazimamoto masaa 24 kupunguza joto analosikia lakini joto haliku tulia. Mara yengine anaamrisha wafanyikazi wake wamueke madonge ya barafu karibu na mwili wake pia haikumfaa.
Tarehe 26 Septemba 1938, alizidiwa hadi kupoteza fahamu kwa masaa 48 na kupelekea kupoteza akili, tarehe 9 Novemba, 1938 alipoteza fahamu tena kwa masaa 38 siku ya pili yake tarehe 10 Novemba akafariki dunia.

Mwili wake uliketi siku tisa bila ya kuoshwa baada ya mashekhe wote kukataa kuosha maiti yake hadi siku ya tisa alipokuja dadake kuwahimiza mashekhe kumosha na kumkafini.
Mwili wake ulipokuwa unaenda kuzikwa kaburini, MWILI WAKE UKAKATAA KUINGIA KABURINI NA ARDHI IKAMKATAA kila anapopelekwa hadi ikaamuliwa mwili wake kuhifadhiwa katikati ya majiwe ya aina ya Mar-mar na kuwekwa katika Makavazi ya kitaifa ya Etnagrafi katika mji mkuu wa Ankara, kwa muda wa miaka 15 hadi ilipofika mwaka 1953 mwili wake ukagurishwa na kupelekwa kuhifadhiwa katika Jumba moja juu ya mlima katika mji mkuu wa Ankara hadi leo hii viongozi mbali mbali pamoja na Raisi wa sasa wa Uturuki Erdogan wanakwenda kumzuru katika siku za makumbusho ya kifo chake.

Wanazuoni wa wakati huo walisikiwa wakisema, "Si ardhi tu ya Uturuki iloyomkataa mwili wake, bali hata ardhi ya ulimwengu mzima"View attachment 1193169
 
Jizya ni kodi, muislam anatoa zakkat,asiye muislam anatoa jizya,kutolipa kodi ni uhaini, unataka kuangusha dola,sharti udundwe,alipokufa mtume kuna mji wa waislam waligoma kulipa zakkat, khalifa abu bakri akawadunda kwelikweli,wakarudi kulipa
Jizya na zakkat tofauti yake ni Nini? Mkuu
 
Ila waislamu waongoo sana daaah hii dini ina uongo meingi ikiongozwa na mudi hatari sanaa
 
smh-shade.gif
 
kuna mazingira ambayo yalikuwa yakijitokeza yaliyo sababisha somehow kuwa na complications kwenye kuzika...
kutoka kwenye source haijaelezea vizuri ni complications zipi ila kwa kurefer kwa FIR-AUN "FARAOH" naeza elezea jinsi ardhi ilivyokuwa ikimkataa same applied to huyu jamaa.. ilikuwa hivi

Kila mwili ukizikwa ukafukiwa... baada ya mda kidogo unaonekana juu ya kaburi...
Ila mkuu,,,Mafaraoh wa Misri
  • hawakuwa wanafukiwa ardhini
  • Miwili ilipakwa asali na kuzungushiwa vitambaa
  • Walizikwa kwenye masanduku ya mawe ndani ya Pyramids
  • Lengo ilikuwa ni kuhifadhi miili iwe tayari kwa maisha ya ufufuko
 
Mustafa Kamal ataturk ni raisi wa kwanza wa Uturuki, atakumbukwa kuungana na dola za Uengereza na Ufaransa kuivunja dola ya kiislamu ya Khilafah tarehe 3 Machi 1924 , na kuigawanya dola hiyo vijinchi vidogo vidogo na kuweka vibaraka wao katika uongozi ili kuongoza kwa maslahi yao. Mmoja wa vibaraka wao akawa ni huyu Mustafa kamal aliyenzisha taifa jipya na kuliita Turkey.

Baada ya Kuivunja dola ya kiislamu, Mustafa Kamal akapiga marufuku dini ya kiislamu nchini humo kama dini ya taifa hilo na kusema dini itenganishwe na maisha ya kawaida, na kupiga marufuku Lugha ya kiiarabu, kuadhiniwa kuadhiniwe kituruki, Quran ichapishwe kituruki, kalenda ya kiislamu ikatupiliwa mbali, wanaume wasivae kofia za kiislamu wavae za kimagharibi na tembo kuwa halali na baadhi ya misikiti kufungwa kama msikiti mkubwa wa Aya Sophia kufanywa makavazi.

Mwaka 1938, Mustafa kamal alianza kuuguwa ugonjwa wa maini uliyosababishwa na kunywa tembo kwa wingi, akawa anaugua akiwa kitandani katika kasri lake, Allah SWT Akamzidishia magonjwa ya kila aina hadi mwili wake mzima ukawa unawashwa kila mahali na kuhisi joto la ajabu mwilini.

Alikuwa akihisi mwili kushika moto hadi kupiga makelele mpaka kasri nzima inasikika kelele zake, Siku moja aliamrisha apelekwe katikati ya bahari ili apigwe na upepo wa bahari lakini haikuwa dawa joto likawa linazidi, mara yengine akaamrisha nyumba yake kumiminiwa maji na wazimamoto masaa 24 kupunguza joto analosikia lakini joto haliku tulia. Mara yengine anaamrisha wafanyikazi wake wamueke madonge ya barafu karibu na mwili wake pia haikumfaa.
Tarehe 26 Septemba 1938, alizidiwa hadi kupoteza fahamu kwa masaa 48 na kupelekea kupoteza akili, tarehe 9 Novemba, 1938 alipoteza fahamu tena kwa masaa 38 siku ya pili yake tarehe 10 Novemba akafariki dunia.

Mwili wake uliketi siku tisa bila ya kuoshwa baada ya mashekhe wote kukataa kuosha maiti yake hadi siku ya tisa alipokuja dadake kuwahimiza mashekhe kumosha na kumkafini.
Mwili wake ulipokuwa unaenda kuzikwa kaburini, MWILI WAKE UKAKATAA KUINGIA KABURINI NA ARDHI IKAMKATAA kila anapopelekwa hadi ikaamuliwa mwili wake kuhifadhiwa katikati ya majiwe ya aina ya Mar-mar na kuwekwa katika Makavazi ya kitaifa ya Etnagrafi katika mji mkuu wa Ankara, kwa muda wa miaka 15 hadi ilipofika mwaka 1953 mwili wake ukagurishwa na kupelekwa kuhifadhiwa katika Jumba moja juu ya mlima katika mji mkuu wa Ankara hadi leo hii viongozi mbali mbali pamoja na Raisi wa sasa wa Uturuki Erdogan wanakwenda kumzuru katika siku za makumbusho ya kifo chake.

Wanazuoni wa wakati huo walisikiwa wakisema, "Si ardhi tu ya Uturuki iloyomkataa mwili wake, bali hata ardhi ya ulimwengu mzima"View attachment 1193169
Ottoman Empire ilishindwa vita vya dunia...ikaparanganyika kutokana na kutofautiana kwa makabila

1.Nchi zote zilizoshindwa vita zilivinjwa ili kuzipunguza nguvu
2.Ziliwekewa masharti dhidi ya Majeshi Yao
3.Ilifanywa kwa Ujerumani,Italia,Japan na Hata Hungary....
4.Ataturk ndiyo aliyokomboa Uturuki dhidi ya Ugiriki...

Soma Historia acha soga za vijiweni
 
Back
Top Bottom