Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Nilikuwa Std 1 Bunge primary narudi home saa 7 namkuta mshua anamskiliza mzee mkapa akihutubia kwenye radio
Loh nasikia furaha kukuona mdogo wangu sisi wakubwa zako tulitolewa darasani na Mwl. Nzowa (alikua mdada flani sista duu ana weusi mzuri na tako kama lote anakaa kota za BOT) natumai ulimkuta akakufundisha hesabu. Tukaenda kupanga foleni mjengo mweupe wakatwambia tushike tama na mkono wa kushoto tukachomwa jua saaaana mpaka gari iliyobeba mwili ilipofika tulikua hoi
 
Mimi nadhani nilikua nyumbani maana apo nlikua na miezi kama 10 ivi
 
Hao siwajui my dear..huyo Mwalimu kajiru naishi nae jirani hapa na baadhi ya rafiki zangu nilisoma nao walimaliza hapo
Na Lupembe, na yule mwalimu wa kingereza mweusii mmama alikua na mtoto wake wa kike std4 alikua anachapa balaa..
 
yap, madam Nzowa cku ile machozi yalimtoka pale assemble, Bunge primary wale walimu kazi yao ilikuwa kwenye damu' walikuwa wanajituma sana mwombeki,kapinga,shirima,beatrice,manyama,kanyambo,urassa, madilu ..
Dah mpaka nahisi machozi ya furaha kuona haya majina
 
Haha naona wenge la usingiz limekuanza

Usiku wa matisa
Hapana sio usingizi, naona hii bange nimeuziwa sio. Sinaga ratiba ya kulala usiku so siwezi patwa na hilo wenge
 
Hao siwajui my dear..huyo Mwalimu kajiru naishi nae jirani hapa na baadhi ya rafiki zangu nilisoma nao walimaliza hapo
Alikua anachamba balaa.... Amezeeka Siku hizi au bado na mapanki yake ? Bado anakaa kulekule ukivuka daraja linalopita reli upande wa kulia kwa juu? ( kama bado anakaa huko basi utakua umeelewa)
 
Watoto wa Facebook na Instagram wamevamia jf aisee
Kwahiyo ukubwa wako numesaidia nini jf yetu ama taifa letu kama sio nyie wakubwa ndio zao la uzwazwa huu kama mkubwa mwenzenu jiwe
 
Anazeeka vichambo vipo palepale

Bado yupo palepale ..tuko jirani hata akikooa namsikia
Alikua anachamba balaa.... Amezeeka Siku hizi au bado na mapanki yake ? Bado anakaa kulekule ukivuka daraja linalopita reli upande wa kulia kwa juu? ( kama bado anakaa huko basi utakua umeelewa)
 
Ila nilichokigundua kutoka kwa Mkapa ni kuwa Nyerere alifariki siku nyingi ila kutangazwa ilikuwa siku kama ya leo maana zilianza taarifa hali ya baba waTaifa si nzuri siku kadhaa ndio akatangaza

RIP JK Nyerere
 
Nilikuwa Form One!Kumbuka sana ticha wa hesabu alipita kwenye korido za madarasa anasikitika sana!(R.I.P Mr. Consider now Consider) Ilikuwa ni siku ya Huzuni sana Shule nzima ilipoa.
Nikiwa Form Two tulienda Umisseta Taifa Mwanza; Kwaya ya kanda ya Magharibi(Western Super Bulls) ilichukua Ushindi wa Kwanza kwa Utunzi mzuri wa Wimbo bora wa Kifo cha JKN.
...tarehe 14 ya mwezi Oktoba giza lilitanda Kifoo umemtwaa Shujaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…