Loh nasikia furaha kukuona mdogo wangu sisi wakubwa zako tulitolewa darasani na Mwl. Nzowa (alikua mdada flani sista duu ana weusi mzuri na tako kama lote anakaa kota za BOT) natumai ulimkuta akakufundisha hesabu. Tukaenda kupanga foleni mjengo mweupe wakatwambia tushike tama na mkono wa kushoto tukachomwa jua saaaana mpaka gari iliyobeba mwili ilipofika tulikua hoiNilikuwa Std 1 Bunge primary narudi home saa 7 namkuta mshua anamskiliza mzee mkapa akihutubia kwenye radio