Zakamwamoba
Senior Member
- Jul 28, 2016
- 177
- 609
Shikamoo kakaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nilikuwa secondary form four tunaandaa mahafali keshokutwa j.mosi Alafu Jumapili mikumi. zikafutwa hapo hapo
Dah mpk najisikia aibu aisee vitoto vingi sana humuKumbe watoto wadogo wengi humu la pili, la tatu???
means una miaka 23 au 24,Me nilikuwa std one
[emoji1] unafikiri alikuwa analilia raha, tulishaambiwa akifa tu VITA.Lazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
Nakumbuka jamaa mmoja humu aliandika Kuwa, unaweza ukajadiliana mambo ya mapenz na mdogo wako au mwanao humu, halafu hamjuani..... Hii ni thread ni mojawapo ya tafiti za Rika humu jf... [emoji16] [emoji16] [emoji16]Kumbe watoto wadogo wengi humu la pili, la tatu???
Utakuwa classmate wanguLazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
Hivi ndivyo vituko vya jf,... Hata dogo utamwita mkuu[emoji16] [emoji16]marahaba mkuu
Umeona eeeeeDah mpk najisikia aibu aisee vitoto vingi sana humu
Kweli kabsaNakumbuka jamaa mmoja humu aliandika Kuwa, unaweza ukajadiliana mambo ya mapenz na mdogo wako au mwanao humu, halafu hamjuani..... Hii ni thread ni mojawapo ya tafiti za Rika humu jf... [emoji16] [emoji16] [emoji16]
on a serious note,nilikuwa nimeuweka usingizi baada ya kutoka nightshift,nilikuwa nafanya tempo ya receptionist ktk hotel,nashituka saa tisa nan mchana nasikia watoto wa wenye nyumba,nilikua nimepanga wanaongea uwani ,nyerere kafa,nikaoga faster na kuwahi job ili nikaangalie ktk Tv,nilikua naingia saa tisa job,ndo nikakuta nyimbo za maombolezo,nakumbuka usiku yake tukiwa job,mi na wahudumu wa kike tulikuwa tuna alternate kutoka kutizama iTv na video kwani tulikuwa na mkanda wa x,ulikuwa unasaidia kutusahaulisha majonzi,ha ha haNilikua std 6 Niko mwananyamala Mara nkaona Komba anaombolezaa eti Nyerere kafa...
Nakumbuka nilienda hadi taifa kuuona mwli wake!