Kwa kweli nimechoka balaa. Most of the time here we're dealing with kidsKumbe watoto wadogo wengi humu la pili, la tatu???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli nimechoka balaa. Most of the time here we're dealing with kidsKumbe watoto wadogo wengi humu la pili, la tatu???
Wakati huo ukikaririshwa kitu na kiongozi unakariri haswa...[emoji1] unafikiri alikuwa analilia raha, tulishaambiwa akifa tu VITA.
Watoto wengi sana humu. Hatareee!
Kwa kweli nimechoka balaa. Most of the time here we're dealing with kids
ha ha ha,mkuu nilikua natania tu,ila utakuwa umenizidi kidogo tuDaah! Mpaka hapa labda nitakwenda sambamba na mkuu elungata,maana mi mwaka huo ndio nimetimiza mwaka mmoja toka tuachishwe kazi kampuni ya simu wakati huo baada ya kuitumikia kwa miaka 12! .
Mkuu enzi hizo Umbwe kulikuwa na girlsNilikuwa form 5 kipindi hicho Umbwe boys
Nilikua darasa la 3 sm ndanda mtwara,walimu walikua na redio ofisini,
Shikamoo babahahaha kumbe wengi wadogo humu. nlikua kazini mitaa ya ohio Dar. kazini ilikua ni mwaka wa pili. chuo nlishamaliza na CPA juu.
Mungu anakuona nduguNilikua ndo namalizia phd yangu...kipindi icho nipo office ya rais.
ukubwa unaanzia wapi??Leo watoto wadogo tumewajua hapa jf
we ulikua la ngapi??[emoji85] [emoji85] [emoji85]Dah mpk najisikia aibu aisee vitoto vingi sana humu
Mungu anakuona..!Mimi nilikuwa elephant and castle. Na kazi nilikuwa st. Thomas. Katikati ya London. Nilipofika job naambiwq your president is dead!! Wakati jana yake nilikuwa nao (mama Maria na mwl. Akiwa ICU) nilikuwa nategemea kitu kama hicho. But when sikujua.
na mie piaUtakuwa classmate wangu
Kama ww ulikuwa bado hujazaliwa haina haja kukwambia nilikuwa wap,hilo swali anatakiwa aniulize baba yakoUmeulizwa ulikuwa wapi siku hiyo wewe unaleta maelezo! View attachment 417879