Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Daah! Mpaka hapa labda nitakwenda sambamba na mkuu elungata,maana mi mwaka huo ndio nimetimiza mwaka mmoja toka tuachishwe kazi kampuni ya simu wakati huo baada ya kuitumikia kwa miaka 12! .
ha ha ha,mkuu nilikua natania tu,ila utakuwa umenizidi kidogo tu
 
nilikuwa na miaka 2 sijui nilikuwa chanjo
 
Duh, nilikuwa darasa la kwanza huko sengerema mwanza, nafika shuleni asubuhi na fagio langu, mwalimu anasema hakuna masomo nendeni nyumbani Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kafariki, nilipofika home pia nikauliza huyu nyerere ni nani ndo hapo nikaanza kupewa simulizi
 
Mimi nilikuwa elephant and castle. Na kazi nilikuwa st. Thomas. Katikati ya London. Nilipofika job naambiwq your president is dead!! Wakati jana yake nilikuwa nao (mama Maria na mwl. Akiwa ICU) nilikuwa nategemea kitu kama hicho. But when sikujua.
Mungu anakuona..!
 
Back
Top Bottom