robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
UDOM ni chuo kichanga kilichojaa vituko vya maadili mabovu. Maadili mabovu kwa waalimu na watumishi wengine hadi kufikia VC na DVC wake kuwa ni watu wa hovyo hovyo tu! Kumefanyika mabadiliko ya uongozi na huyu anayeitwa Kusiluka ndo VC wa chuo aliyeletwa ili chuo kibadilike. Ni wazi sasa VC mpya naye ni hovyo tu! Tunaambiwa hata alikotoka hakuna kitu alichofanya Zaidi ya kujikomba.
Ajali ya Dodoma ni ya naibu waziri. Huyu kwa cheo ni mtu mdogo sana ukilinganisha na VC wa Chuo kikuu anayejitambua, kwa uelewa na heshima! Lakini VC anaamua kutoa taarifa ya mtu mwingine ili kuinua kituko tusahau mambo ya naibu waziri! Ni ushenzi tu, kwamba mwanafunzi alifia Uchira! Eti hizo taarifa zilifika chuoni kupitia ndugu wasiotajwa majina.
Huyu naibu waziri analindwa kwa uzembe wake. Hii inaonesha wazi kwamba viongozi wetu ni wa hovyo kupindukia na tunalazimishwa tuwaone ni wazuri. Haka ni ka naibu waziri kanalindwa hivyo je, rais anafanya mangapi yanafukiwa tuone ni malaika?
Polisi ni wadhaifu kwa wanasiasa, wameunda ajali yao na gari lao. Wanafunzi na staff wa UDOM wote wanafahamu kilichotokea. Nani atatueleza kwamba nchi hii ina maadili yoyote ya kuigwa kwa vijana? Sasa tunaelewa kwa nini watu maofisini ni wezi na wapo tu! Watu ni wazembe bado tunawachekea, eti naibu waziri! Nyooooro!