Nchi imeoza tangu ikulu,Raisi mwenyewe ni kilaza kabisa,hqna hatq hadhi na elimu ya kuwa mkuu wa wilaya,Leo eti ndio rais wa nchi,!!
Leo kila kona ni wizi,kwa mie jambo Moja linaloniuma,
Ni kuona ujinga unaofanyika hatq kwenye sekta ya usalama wa nchi,
Pale kambi ya jwtz lugalo,Mkoa wa Dar,ardhi,fence ya kambi inamegwa ili kujenga flem za kukodisha,na Sina shqka ni mradi wa wakubwa huko jeshini,unajenga flem za biashara eneo la jeshi,Sasa usalama wa nchi upo wapi,hapo ni rahisi kudukuliwa,hatq kama lengo ni kuongeza vyanzo vya mapato,kuwaza flem,ni akil ndogo sana,badala ya kuwaza viwanda vya magsri,bunduki,risasi,
Mambo ya IT,drones,large scale irrigation schemes,mbwa wa jeshini wanawaza kupata vifedha kupitia flem za kukodisha!!!