Kifo cha mwanafunzi Nusura; VC wa UDOM Kusiluka unadanganya kwa faida gani?

Unapoandika chochote kumhusu Rais(mkuu wa nchi) kuwa na nidhamu.
Uhuru wako usikuondolee hata akili ndogo uliyobaki nayo.....think about your family kwa kauli kama hizo.
 
Yaaani unathubutu kutaka raisi namna hiyo kweli??
 
Kuna kitu hapa sikielewi! Niliwagi kuambiwa UDOM Ina wanachuo zaidi ya elfu ishirini! Huyo mwanachuo alikuwa ana marafiki, alikuwa ana classmates wake, alikuwa na watu ambao labda anasali nao pamoja, alikuwa na ndugu, inawezekana vipi hao wanaoficha Ili hii story isifikie public waweze kuwazuba mdomo watu wote hao? Yaani hata humu JF hayupo hata mmoja wa kuleta stori kamili?
 
Kwani wazazi wa binti wanasemaje?? Mana msichafue watu kwa sababu ya tetesi za kigogo tu
 
Kwani Mkuu wa wilaya anatakiwa awe na elimu kiwango gani ambayo Mhe Rais Samia hana?? Mana yeye ana Master's degree.
 
Sasa Dogo unaloloma nini? Wewe kama ukweli unaujua si uuweke hapa JF "Where We Dare to Talk Openly"? Au ulisoma MEMKWA nini?
 
SI uwafuate Sasa huko udom sio unaanzia kupiga kelele tu hapa jf
 
Wewe kichwa maji, kwani chuo kikuu ni shule ya msingi au sekondari kwamba watoto wanatunzwa na chuo? Chuo Kikuu ni elimu ya watu wazima wanaopaswa kujiongoza na kujiratibu wenyewe.

Sasa huyo mtoto ata kama alikua anatembea na muuza genge akapata ajali akafa yeye mkuu wa chuo ina muhusu nini zaidi ya kutoa tu taarifa ya kisiasa kwa umma na jamii nzima ya chuo?

Mbona unamtengenezea zengwe mtu ambaye hata hausiki, yaani nyege za watu wengine zianze kuchafua sifa ya mtu mwingine.

KUWENI NA KIASI BASI KATIKA TUHUMA ZENU, HESHIMUNI WATU, ATA KAMA UMEPEWA HELA UMCHAFUE SIYO KWA STYLE HIYO
 
Wajibu wa udom kutoa taarifa za tanzia marehemu alikufaje hyo kazi ni ya mamlaka nyingine kisiwe kigezo cha kukishushia weledi chuo
 
Umeongea kwa uchungu mkubwa sana,pole mkuu,dunia ni tambala bovu
 
Siyo kila unachokiona ukadhani kipo kama unavyofikiria vingine acha vibaki kama vilivyo mpaka kufikia hapo wao si wapuuzi kiasi hicho. Pia kuwa kauli njema kwa mkuu wako wa nchi.
 
Dodoma kumejaa uznz
Hapo kama waznz wanateteana

Ova
 
je mamako anafaa kuwa kiongozi wa nini km ameshindwa kukulea wewe inavyotakiwa? Mshenzi huna adabu.
 
nchi hii ni ya ajabu sana, watu wanalindana vya hatari. hapo familia ya mwanafunzi itakosa haki zao kwa taarifa ya uongo ya polisi
sijui ni lini tutapata rais hii nchi
 
Mkuu naomba kwa heshima na taadhima anzisha uzi kuhusu ili swala Fremu za Lugalo... Ni aibu ya karne hii.. Uchafuzi wa mazingira pamoja na uharibifu wa uoro wa asili pale Lugalo....

Zilisitishwa lakini naona fitna imepigwa sasa zinarejea kwa kasi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…