Kifo cha mwanafunzi Nusura; VC wa UDOM Kusiluka unadanganya kwa faida gani?

Samia ajue kwamba aliyekatishwa uhai ni mtoto wake na mwanamke mwenzake itashangaza dunia kama hata mfyatua Dungage.
 
UDOM! Mulipoletewa kiumbe huyu tu, nikajua hakuna kitu hapo. Huyu Kusiluka anafahamika tangu akiwa Open University akiwa ni deputy wa VC Mbwete. Aliishia kuondolewa kwa wizi wa pesa. Kulikuwa na kesi sijui ilifunikwa vipi ghafla namuona eti ni boss wa UDOM!

UDOM kuna mkosi gani hadi kushindwa kupata profesa wa maana kuongoza chuo?
 
Vioski vya Lugalo hivyo, kama vinbavyoonekana kwenye Google earth. Sijuyi ni ukosefu wa nini nchi hii!! .
 

We mpuuzi acha kumtukana Rais wa Nchi yetu, kilaza ni wewe usiye jua Lugha ya staha.
 
Nchi hii ni ya kipuuzi sana na imelaaniwa milele. Waziri mzima anadanga na wanafunzi wa chuo halafu poliCCM nao wanakuja mbele ya kamera kutunisha mitumbo yao kumtetea mdangaji. Nchi ya kiqumer sana hii.
 
Mzee, vitu vingine kama hujui kaa kimya kuliko kujianika kwa upumbafu wako, aliyekudanganya mradi wa Frame za pale kawe ni umegaji wa ardhi wa vigogo ndani ya jeshi ni nani? Unafahamu bar inayoitwa 361 karibu na daraja la Mlalakuwa pale mwenge nao wamemega ardhi vigogo sio? Ile bar ya 'Dar service Park' Opposite na frame nayo ni ya nan? Unafahamu ilipo jengwa Dar service ni eneo la jeshi? Unafahamu mgogoro wa ujenzi wa kituo cha mabasi eneo lile kati ya Halmashauri na viongozi wa serikali za mitaa kawe?

Mwendazake alipozitaka taasisi za kijeshi kuanzisha miradi yake kwa kila kambi kubuni miradi ilikutokuwa mzigo wa uendeshaji wa Jeshi alikua anamaanisha nn?

Kwahiyo hata ile Suma JKT cataring service ni umegwaji wa ardhi wa vigogo wa JKT?

Inaonekanna husomi, hufuatilii taarifa za habari lakini pia ni mjinga mwandamizi.

Lugha yako tu inaonesha namna akili zako zilivo fupi sawa na gidamu za nguo yako ya ndani!
Huwezi kum address Mkuu wa nchi kwa lugha ya hovyo namna hiyo, unless mama yako naye unamjibu zaidi ya hivi.

Tunataifa la vijana wapumbavu kama wewe JUAN MANUEL usiyefanya tafiti wala kudadisi zaidi ya kuendesha na mihemko ya kisiasa! Ni mpumbavu mwenzako kama wewe atakaye kuamini, Fala sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…