Kariobangi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2022
- 480
- 435
Hauo uliyoandika ukiombwa ushahidi utatoa?Kwa hapa Tanzania ukiukwaji wa maadili ya kingono siyo ishu.
Mkapa alikuwa na mchepuko Ritha Mlaki ambaye alitamba sana enzi hizo. Mkapa hakufanywa kitu
Kikwete akichepuka na akina Vicky Kamata, Sophia Mjema, mtoto wa Zakhia Meghji, na wengine wengi. Kikwete hakufanywa kitu ..
Magufuli akiwa waziri akichepuka na mwanafunzi wa UDSM mpk akampa nyumba ya serikali. Akiwa rais kamjengea mpk hotel. Hakuishia hapo tuna hadithi yake na mrembo Angela. Magufuli hakufanywa kitu.
Hapa nimegusa majina ya marais tu. Sijashuka kwa hawa wateule na wabeba mikoba wao.
Mwacheni Ndugange atumie hela na nguvu zake za kiume kwa ustawi wa maisha yake.