Kifo cha Mwanafunzi UDOM kinachunguzwa kwa ajili ya nini?

Kifo cha Mwanafunzi UDOM kinachunguzwa kwa ajili ya nini?

Ukifa wewe na ukazikwa kwenye kigunia bado tutapiga kelele, why? hamna Akili

Ukifa wewe na ukazikwa kwenye kigunia bado tutapiga kelele, why?
Watakaofanya hivyo watakuw sio wazima kichwani maana Hakuna atakayeishi Duniani Milele,

Hat hivyo hakuna faida yoyote anayoipata mtu kwa kuishi Muda mrefu hapa Duniani kwahyo hoja yako haina Mashiko mkuu kwani kwa uelewa wako Kati ya waliokufa Na sisi tuliopo Hai ni yupi anafaidi sana na Yupi anataabika Sana ?
 
Ukifa wewe na ukazikwa kwenye kigunia bado tutapiga kelele, why?
Mi kwanza nmeshasema siku nikifa Mwili wangu uchomwe Moto tu nisifukiwe asije nikajaza Ardhi bure wakt kuna watu wanaendelea kuzaliana duniani na Watahitaji ardhi kwaajili ya Kujenga makazi yao.
 
Mi kwanza nmeshasema siku nikifa Mwili wangu uchomwe Moto tu nisifukiwe asije nikajaza Ardhi bure wakt kuna watu wanaendelea kuzaliana duniani na Watahitaji ardhi kwaajili ya Kujenga makazi yao.
Kisheria huruhusiwi kufa bila sababu.
Na ikigundulika una mpango wa kudhulumu uhai wa serikali utashitakiwa.
 
Waziri Ni mtu mzima!

Huyo Nasra Ni mtu mzima!

Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG, tunapambana na weak politics!

Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha kutoka kwa CAG, na katuweka huku.

Je,Kuna Sheria inayomkataza waziri kuchepuka?

Okay, kimechunguzwa imekutwa ni kweli, what's next? Sisi Kama Taifa inatusaidia nini?
Maadili ya viongozi ni muhimu kwani wao ni kioo cha jamii. Kiongozi unachepuka halafu unataka bado uaminiwe na jamii?!
 
Okay, kimechunguzwa imekutwa ni kweli, what's next? Sisi Kama Taifa inatusaidia nini?

Ndio nyinyi mnaosema ni sawa tu kuwapoteza akina Ben Saa8 na Mawazo, simply wamekufa basi you don't give a shit

Naelezea sanctity of life.
Na hapo kifo cha mtu yeyote kakiwezi kuwa irrelevant.
Hivyo yule mwanzfunxi uhai wake ni wa maana sana na uhsi huo hauwezi kudhulumiwa.
sasa kwani ameuawa au Ni ajali tu iliyotokea bahati mbaya !?

Kam ni ajali mi naona haina haja ya watu kupoteza muda wao kufatilia vitu kam hvi kam mna uchungu sana na Vifo vya watu basi Anzeni kutembelea mochwari kuuliza Kila sabbu ya kifo cha Maiti za huko na kuzitafutia haki zao.
 
CAG na uhai...

You must be crazy young man
Not crazy at all. Waziri and his girlfriend are adults. They did what they planned to do. They harvested what they planned.

Non of our business.
 
Dunia simama ili nishuke, middle class wa kitanzania ni mazuzu, yaani binadamu mwenzetu amekufa kwenye mazingira tatanishi eti tuache kuongelea hili na maisha yaendelee, kweli humu JF kuna watu wenye ukatili wa hali ya juu, aliyetoa mada hii honest kwangu nakuona ni mtu katili na bora nisisome tena mchango wako hapa JF

Hao middle class ya Watanzania kuwaita mazuzu wewe fala huna afabu hata kidogo, yaani kwa kuwa family yako na ukoo wako ni Ma zuzu wewe una kwenda kuwatukana watu ambao hawaja kukosea kitu, hakika wewe ni psychopath lunatic[emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
Lugano5
1. Waziri is a public figure.
2. Kuna uwezekano gari aliyotumia ni ya umma.
3. Maisha ya mtu yamepotea.
Ni kweli sio kosa kwa waziri kuchepuka na mwanamke 18++ infact hakuna Sheria inayomkataza mtanzania kuonja onja hata Kama Ni mke wa MTU.
Vile vile sio kazi yetu kama mke kamfumania mumewe ambaye Ni waziri.
Vile vile sio our business Kama waziri anamuogopa Sana mke wake. That is their private matter.
 
Dunia simama ili nishuke, middle class wa kitanzania ni mazuzu, yaani binadamu mwenzetu amekufa kwenye mazingira tatanishi eti tuache kuongelea hili na maisha yaendelee, kweli humu JF kuna watu wenye ukatili wa hali ya juu, aliyetoa mada hii honest kwangu nakuona ni mtu katili na bora nisisome tena mchango wako hapa JF
Najiuliza sijui kwa nini? Roho ime kuuma sana
 
Back
Top Bottom