Kifo cha Mwanafunzi UDOM kinachunguzwa kwa ajili ya nini?

Hauo uliyoandika ukiombwa ushahidi utatoa?
 
Sexless: Nifanyeje nihongwe magari na majumba?
 
Jamaa anatakiwa kulipa gari la serikali aliloliharibu. Huo ndio uwajibikaji.
 
Na nyepesi nyepesi huyo 'hotel' kesharudi kwa jamaa yake Wa kitambo na maisha yanaendelea. Jamaa alipitia wakati mgumu pressure full kisukari. Ila Mungu Huyu [emoji122][emoji122]jamaa yuko safi sasa hela imerudi kwa kasi afya safi.
 
Hivi wewe ni mtoto, mbona hutembei "uchi wa mnyama" na ukitembea hivyo watu wataacha kukushangaa
 
Je? Unajua kuwa kiongozi ni kioo Cha jamii?

Je? Unafahamu kuwa kiongozi wa umma anapaswa kuwa mwadilifu?!

Kama Kiongozi wa umma ana saliti ndoa yake kwa kuvhepuka, unadhani kiongozi huyo atashindwa kufanya ubadhirifu wa fedha za umma ili amuhudumie mchepuko?!!

Uzinzi na uasharati ni chanzo kikuu Cha ukosefu wa maadili ktk maofisi ya umma na matokeo yake ni wizi na ufujaji wa fedha za umma.
 

Kama familia yake Iko kimya, ndugu na jamaa wapo kimya, nyie mnapiga kelele za nini?
 


Unamzungumzia kiongozi wa Bara Gani? Africa au ulaya
 
Humu ndio maana kuna majukwaa, kila mtu anaunga bando lake kwa gharama zake na kwa muda wake pia anaingia humu kwa hiari yake kwa hiyo tusipangiane habari za kufuatilia... kila nyuzi ina kichwa cha habari ukiona heading ya nyuzi haina tija kwako huna haja ya kuifungua na kitendo cha kushawishi wengine waone haina tija kwao kwa mtizamo wako ni UZUZU; Mwisho nadhani huyo binti angekuwa mke, mtoto au dada yako sidhani kama ungefungua nyuzi ya kipuuzi kama hii.!
 
Watanzania wanataka tu ukweli. Hakuna kingine.
 
Ukifa wewe na ukazikwa kwenye kigunia bado tutapiga kelele, why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…