Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Ukifa wewe na ukazikwa kwenye kigunia bado tutapiga kelele, why? hamna Akili
Watakaofanya hivyo watakuw sio wazima kichwani maana Hakuna atakayeishi Duniani Milele,Ukifa wewe na ukazikwa kwenye kigunia bado tutapiga kelele, why?
Mi kwanza nmeshasema siku nikifa Mwili wangu uchomwe Moto tu nisifukiwe asije nikajaza Ardhi bure wakt kuna watu wanaendelea kuzaliana duniani na Watahitaji ardhi kwaajili ya Kujenga makazi yao.Ukifa wewe na ukazikwa kwenye kigunia bado tutapiga kelele, why?
Kisheria huruhusiwi kufa bila sababu.Mi kwanza nmeshasema siku nikifa Mwili wangu uchomwe Moto tu nisifukiwe asije nikajaza Ardhi bure wakt kuna watu wanaendelea kuzaliana duniani na Watahitaji ardhi kwaajili ya Kujenga makazi yao.
Kaka umeelewa kweli nilichokiandika na Ulichonijibu ?Kisheria huruhusiwi kufa bila sababu.
Na ikigundulika una mpango wa kudhulumu uhai wa serikali utashitakiwa.
Naelezea sanctity of life.Kaka umeelewa kweli nilichokiandika na Ulichonijibu ?
Maadili ya viongozi ni muhimu kwani wao ni kioo cha jamii. Kiongozi unachepuka halafu unataka bado uaminiwe na jamii?!Waziri Ni mtu mzima!
Huyo Nasra Ni mtu mzima!
Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG, tunapambana na weak politics!
Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha kutoka kwa CAG, na katuweka huku.
Je,Kuna Sheria inayomkataza waziri kuchepuka?
Okay, kimechunguzwa imekutwa ni kweli, what's next? Sisi Kama Taifa inatusaidia nini?
sasa kwani ameuawa au Ni ajali tu iliyotokea bahati mbaya !?Naelezea sanctity of life.
Na hapo kifo cha mtu yeyote kakiwezi kuwa irrelevant.
Hivyo yule mwanzfunxi uhai wake ni wa maana sana na uhsi huo hauwezi kudhulumiwa.
Not crazy at all. Waziri and his girlfriend are adults. They did what they planned to do. They harvested what they planned.CAG na uhai...
You must be crazy young man
Dunia simama ili nishuke, middle class wa kitanzania ni mazuzu, yaani binadamu mwenzetu amekufa kwenye mazingira tatanishi eti tuache kuongelea hili na maisha yaendelee, kweli humu JF kuna watu wenye ukatili wa hali ya juu, aliyetoa mada hii honest kwangu nakuona ni mtu katili na bora nisisome tena mchango wako hapa JF
Najiuliza sijui kwa nini? Roho ime kuuma sanaDunia simama ili nishuke, middle class wa kitanzania ni mazuzu, yaani binadamu mwenzetu amekufa kwenye mazingira tatanishi eti tuache kuongelea hili na maisha yaendelee, kweli humu JF kuna watu wenye ukatili wa hali ya juu, aliyetoa mada hii honest kwangu nakuona ni mtu katili na bora nisisome tena mchango wako hapa JF